Mwaka 1961 hadi Aprili 2025 umeme wetu ni megawati 4,031.
Ndani ya miaka mitano ijayo tutazalisha megawati 4,000, hivyo kufikia megawati 8,000.
#MamaYukoKazini
𝐄𝐋𝐈𝐌𝐔 𝐁𝐎𝐑𝐀 𝐊𝐖𝐀 𝐊𝐈𝐋𝐀 𝐌𝐓𝐎𝐓𝐎
Miaka minne iliyopita Mama ameajiri walimu wapya 39,000.
Ndani ya siku 100, anaanza kwa kuajiri walimu 7,000.
#Siku100zaSamia
#MamaYukoKazini
Mama hamwachi yeyote nyuma kwenye safari ya maendeleo.
#Siku100zaSamia
#MamaYukoKazini
Halima retweeted
Awamu ya Sita inapoanza kipindi cha pili, haya ni baadhi ya malengo makuu ya Serikali;
🔘 Kujenga uchumi imara, jumuishi na shindani.
🔘 Kulinda amani, usalama na utulivu.
🔘 Kuimarisha ustawi wa Watanzania.
🔘 Kufungua fursa zaidi za ajira na biashara.
#MamaYukoKazini
Halima retweeted
Ndani ya #Siku100zaSamia Walimu 7,000 wataajiriwa.
Lengo ni kutoa elimu bora na kupunguza changamoto ya ajira.
#MamaAnafanikisha
Halima retweeted
Speaking from Nairobi 😅
#TANZANIA: CHADEMA CALLS ON ICC TO INVESTIGATE HUNDREDS OF KILLINGS TANZANIA
Tanzania's main opposition party, Chadema, calls on the UN and the ICC to investigate and "establish the truth on the ground" as hundreds are feared dead in elections that descended into chaos, with crowds taking to the streets across the country.
MORE: youtu.be/ebfYWvdDbI0
Halima retweeted
ALERT‼️FAKE NEWS ON 2025 TANZANIA ELECTIONS.
This Post is from a suspended account. Learn more
Halima retweeted
Peaceful protestors burning down petrol stations, rape incidents, looting, cutting people’s fingers 🙌🏾🙌🏾 #Tanzania🇹🇿 Some with heavy foreign accent. This was no normal protest. Tanzania was attacked. I hope all security organs get into the details.
Halima retweeted
ALERT‼️FAKE NEWS ON 2025 TANZANIA ELECTIONS.
If a politician had died, artists would be tripping over themselves to release tribute songs by now. Since the allegedly over 1,000 who lost their lives in Tz were ordinary citizens and not politicians, there’s no songs, no tribute. It’s painful how silence reigns when it’s the poor who perish, their lives don’t seem to inspire art only statistics.
Halima retweeted
Can we use the same logic for 9/11? Marekani na vyombo vyake vya ulinzi walishindwa kazi.
unavailable

















