Buddah (@ItsAbtii) header
Buddah (@ItsAbtii) profile picture

GOOD or BAD I take it as a MAN wateva MEANT for ME.

Niko Area
Joined May 2012
Photo by Buddah (@ItsAbtii)Photo by Buddah (@ItsAbtii)Photo by Buddah (@ItsAbtii)Photo by Buddah (@ItsAbtii)Photo by Buddah (@ItsAbtii)Photo by Buddah (@ItsAbtii)Photo by Buddah (@ItsAbtii)Photo by Buddah (@ItsAbtii)Photo by Buddah (@ItsAbtii)Photo by Buddah (@ItsAbtii)
"Mkamzike Mzee Alute Lissu Mughwai" Mhe. @TunduALissu akitoka mahakamani baada ya kuhukumiwa miaka 4 Jela.
11
1
34
795
“Waheshimiwa Majaji nashukuru kwa fursa ya kuzungumza. Naomba mnisikilize kwa makini kama ambavyo mmenisikiliza kwa makini mwaka mzima. Naomba pia m’rekodi proceedings kama mlivyo’rekodi vizuri mwaka mzima na nusu. Leo Waheshimiwa majaji ni siku ya 577 nikiwa gerezani kwa kosa la uhaini. Ndiyo kosa kubwa Kuliko yote katika Jamhuri ya Muungano. Ndiyo kosa pekee lililotamkwa katika katiba, kosa la uhaini. Kwa siku 577 nimeitwa mhaini. Kosa ambalo kwa mujibu wa kifungu cha 39(2)(d) ambapo adhabu yake inaeeza kuwa ni KIFO. Baada ya siku 577 baaada ya wingu jeusi la adhabu ya kifo kuning’inia juu ya kichwa changu. Leo Waheshimiwa Majaji mmeniita MCHOCHEZI. Kosa ambalo wala halijapangiwa adhabu. Unaona hapa, wakili mkuu wa serikali anahangaika kutafuta hii adhabu yake ni nini., anasema nipewe adhabu kali ili iwe fundisho kwa wengine, nihukumiwe kifungo cha miaka mitano gerezani. Hii maana yake ni nini Waheshimiwa Majaji? Waheshimiwa majaji mmesema wenyewe hakukuwa kosa. Kwa hiyo nimekaa gerezani siku 577 bila kosa lolote. Kuna kitu kimoja hamjakisema nitakisema kwa ajili ya kumbukumbu za Mahakama. Ushahidi wangu umethibitisha kwamba hii ilikuwa kesi ya kisiasa. Kugeuza Mahakama kuwa uwanja wa mapambano ya kisiasa, it’s an obvious political persecution. Kwa sababu ni political persecution inabidi vi’sababu vitangenezwe vya kumfunga huyu mgomvi wetu. Vi’sababu vya kumfunga huyu mpinzani wetu. Hili kosa la UCHOCHEZI ni kisa ambalo ninyi Waheshimiwa Majaji mmelitengeneza. Mimi nilishitakiwa kwa UHAINI na kusambaza taarifa za uongo. Mmetafuta kosa ambalo halikuwepo, mmenipa. With all due respect mmefanya hivyo kwa sababu za kisiasa na kwa maelekezo ya kisiasa tu. Ni kama mmeambiwa, huyu mtu hana kosa lakini tafuteni kosa lingine dogo, isije ikaonekana serikali imepata aibu. Mimi ninajua mtani’hukumu. Na mnaonekana tayari mnayo hukumu, l feel it in my heart.” Tundu Antiphas Mughwai Lissu, O6 November 2026, Mahakama Kuu ya Tanzania katika hukumu ya kesi yake ya uhaini.
67
435
15
1,983
107,058
With Court considering sedition, a charge likely preferred to appease Dodoma, Tundu Lissu is likely to face a 3 to 5-year jail sentence or a fine of at least $2,000. Wanangu, kama mmenielewa, kaeni rada tuondoke na mtu wetu leoleo!
66
158
8
842
29,028
Here, here.
Walai joh God Faoooo!
1
1
78
Kaka mkubwa @godbless_lema , watu wana haki ya kutilia mashaka mienendo ya viongozi isiyoeleweka. Mange na wengine ni whistle blowers, ni jukumu lako kutumia matendo yako kuuaminisha umma vinginevyo. Speculations za whistle blowers hata zikiwa tamu kiasi gani kwenye masikio ya wasikilizaji, haziwezi kuishinda nguvu ya matendo yako sahihi. Ni vigumu sana kuuaminisha umma kuwa maneno ya whistle blowers ni ya uongo, ikiwa matendo yako yanashuhudia maneno yao. Tundu Antiphas Lissu aliposimama kwenye mkutano wa hadhara pale Iringa kipindi cha uchaguzi wa kanda, aliongea wazi kuwa kuna mabilioni ya pesa za Abdul na mama yake zinasambazwa ndani ya chama. Watu wakamlaumu Lissu weeehhhh na kusema anafanya character assassination. Muda mfupi baadae matendo ya wale wale aliowatuhumu yakaanza kushuhudia maneno yake. Wenje akatuambia yeye na Abdul ni washkaji, na kwamba alimpeleka mpaka kwa Lissu kutengeneza kandarasi. Siku tatu baadae, Wenje yupo CCM. Mbowe naye hivyo hivyo. Anawekwa magereza karibu mwaka mzima kwa tuhuma za ugaidi halafu ghafla anatoka na kwenda ikulu moja kwa moja kisha paaaaapppp anaanza kuhubiri sifa na utukufu wa mtawala. Hatujakaa vizuri, mara tunamwona anafanya kazi ya kuchukua pesa chafu ya mtawala na kuisambaza makanisani kwa pretext ya “michango ya ujenzi.” Kwenye “COVID 19” nako hivi hivi; ile timu ya mercenary wa CHAUMA nayo hivi hivi. Kwa backdrop ya aina hii, ni vigumu sana kuuaminisha umma kuwa yanayosemwa na Mange au whistle blower mwingine yeyote yule ni uongo na kwamba unayosema wewe ndio ukweli. Kama ukweli ni maneno tu, basi mazingira yanafavor zaidi UKWELI WA MANGE kuliko UKWELI WA LEMA. Hoja yangu ya msingi ni hii: DO THE RIGHT THING and LET IT SHIELD YOU FROM LIES. Umma una akili ya kupembua chuya kutoka kwenye mchele. Best!
10
32
1
137
7,237
CDM inataka kuwa kama CUF, mjumbe wa kamati kuu anamshutumu mjumbe mwenzake wa kamati kuu kisa maneno ya kuambiwa, taasisi imekua kama shamba la bwana heri asee.
12
14
5
173
7,522
Tusijenge utamaduni wa kuamini watu kwa sababu tu wana wafuasi au wanajitangaza kuwa wanaitetea nchi,Tuchunguze hoja zao kama tunavyochunguza za wengine, Kizazi cha sasa hakihitaji miungu ya kisiasa ya kukiongoza,kinahitaji taarifa sahihi, fikra huru na uwezo wa kufanya maamuzi
12
44
3
184
6,820
My random highlights and takeaways from @godbless_lema's presser earlier today -First, for some intellectual honesty, I must declare a conflict of interest: I have issues with LA influencer (Mange), mostly regarding her sourcing of info and her self-righteousness. So, this is perhaps not a very neutral take, I guess. Thought I should mention that because she features a lot in the presser -Well, that was a very long, combative 🥊 and at times emotional presser. Lema had a lot to get off his chest, totally understandable -He went very hard on 🇺🇸 LA influencer, called Mshezi, Muongo & Mpumbavu. Lema emphatically says she is feeding CDM supporters lies, innuendo, slander and lots of gossip. Says it is pure character assassination, and he had to defend himself and his family -Lema is pissed off CDM members are just swallowing rumors and gossips peddled by LA influencer and her loyal fans. He looked super disappointed here especially with how CDM members are letting LA influencer and her fans influence how they feel about him and the party. Basically sheep who follow herd without any thoughts of their own. He has a point -He's ready to take accountability if the 'middlemen' allegations plus other rumors are confirmed by the party. He has nothing to hide. This is very important -Says Wanaharakati must be realistic and pragmatic about operating climate, overseas vs Tz-based, considering varying degrees of risks and exposure vs the state. Can't argue with that. He gave an example here which I'm sure will rattle some 🔧 -He advised Pambalu not to travel back to Tz due to impending security risks and was shocked to see him in Arusha. Contrary to rumors spread by Hilda and others. Lema brought a young CDM cadre to prove that -Lema also called on CDM leaders to intervene and respond timely when leaders are being attacked and their image tarnished by wanaharakati. He feels isolated and suggests the party is somehow scared to condemn some issues. Over to you @jjmnyika -On Maaridhiano and asali 🍯 allegations: Lema says CDM central committee has already made it very clear about the 2 main conditions for maaridhiano. But he added he has been doing 'strategic engagements' and lobbying behind closed doors which is normal in politics and doesn't imply kulamba asali. Perhaps this raises questions about this kind of bargaining, engagement, and deal-making. Even if he is doing so with good intentions, is he operating outside party structures? Perhaps he has CDM's blessing in all of this, or maybe not! I completely understand those with concerns and reservations. The party should tell us more; again, evidence matters -After a barrage of attacks, it's great that he finally got a chance to share his side of the story IMO. He is not perfect; no one is. Ohh wait, LA influencer is perfect and always perfect and right according to her blind faithfulls -My final thoughts: The absolute last thing CDM needs is infighting and divisiveness. The real danger is losing sight of the bigger picture. TAL verdict is a few days away; all cadres and supporters must stick together, the stakes couldn't be higher. As I wrote 2 months ago, the tension (within CDM) between wanasiasa and certain section of wanaharakati is at all time high, and serving no one apart from CCM party-state which loves seeing CDM fractured with infighting 😟 🎤💤💤
42
50
7
236
22,051
Na asenali tumechapa livakuku..
Leo FVS upande wa yanga😁
1
1
1
82
While many run for shelter, others continue to struggle for their daily bread.
23
226
13
1,724
143,511
Buddah retweeted
head up lads, European football is back this week. Oh Wait.
437
2,748
255
17,273
514,730
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Leo Agosti 27, 2026 Last time tuliishia part 288 so leo tunaendelea na -; Part 289 Majaji wameingia muda huu na Mwenyekiti ameingia Mahakamani. Anasimama Karani wa Mahakama anasema Criminal Session No. 19605/2025 Jamhuri dhidi ya Tundu Lissu. Iwapendeze Majaji Naitwa Ajuye Zengeli, Nassoro Katuga, Job Mrema, Cathbert Mbiringe, Winiwa wote tunaiwakilisha Jamhuri na Mtuhumiwa yupo hapa. Tuko tayari kuendelea na maswali ya Dodoso. Mh. Lissu naomba nipate nafasi ya kuconsult mawakili wangu kidogo. Anasimama Dr. Nshala anashauriana nae hapo kizimbani kwa dakika kama tano. Sasa niko Tayari. Katuga: Kaka angu Shikamoo? Mhe. Lissu: Marahaba Katuga: Kama nilikuelewa unasema kuna tuzo ulipewa ilitokana na kupigania haki kwa nchi za Afrika. Je ulitaja hizo nchi za Afrika ulizopogania? Mhe. Lissu: Sikutaja Katuga: Ulisema heshima imeongezeka ulifanya sensa wapi? Mhe, Lissu: Heshima haipatikani kwa sensa. Inatokana na watu wanaoheshimika wakakuheshimu. Katuga: Kwahiyo imeongezeka ni kwasababu wazungu wamesema? Mhe. Lissu: sijasema wazungu nimesema Jumuiya za Kimataifa na zinaheshimika kweli. Katuga: Ulisema mgombea wa Mlimba alirudisha fomu akakuta ofisi imefungwa? Je ulikuwepo? Mhe. Lissu: Hizo ni taarifa rasmi sio lazima niwepo, nilisoma kwenye taarifa rasmi. Katuga: Ukitoa mashahidi kutoa Jeshi la Polisi hawa waliolindwa hawajulikani na mtu yeyote? Mhe:Lissu: Ndio Katuga: Haya maneno umesema kuonesha ukweli wako? Mhe. Lissu: Kweli Katuga: Uamuzi wa Majaji ulisemaje kuhusu mashahidi wa siri? Mhe. Lissu: wawaone wao. Katuga: Uliwaambia kuwa hawawajui majina na kila kitu? Mhe. Lissu: ni ushahidi wangu hawawajui ndio Katuga: kwahiyo hawawajui majina? Mhezx Lissu: Sasa mtu gani anaitwa P2, Sijui P Katuga: Kwahiyo hayo ya P1, P2 sio majina? Mhe. Lissu: Sio majina hayo nimesema. Katuga: Hizo si ni synonim? Mhe, Lissu: Synonim sasa ni majina? Hayo sio majina. Katuga: Umesema ni sheria gani shahidi anapaswa kutoa jina? Mhe, Lissu: CPA na sheria ya Ushahidi zote zinasema jambo hilo. Katuga: Naomba Kifungu? Mhe, Lissu: Kifungu cha 192 cha CPA Katuga: kisome sasa wapi wanasema wataje majina? Mhe, Lissu: kisome uone kinasemaje ngoja nikusomeee kinapotaja hitaji la jina? Katuga: sitaki ukisome. Mhe. Lissu: Hutaki tena nisome. Katuga: Kwahiyo neno la kuwa lazima watoe jina lipo? Mhe: Lissu: Unadhani kwanini mashahidi huwa wanaulizwa majina yao Mahakamani? Katuga: Hilo sijakuuliza. Mhe, Lissu: Hiyo sasa utajua mwenyewe kama hujaniuliza. Katuga: Pw 17 alisema kuna muda waandishi wa habari walitolewa mkabaki wenyewe na kikao cha ndani? Uliwahi kukanusha hilo? Mhe. Lissu: Nikanushe la nini? Ndio ukweli Katuga: Una volunteer sana information. Mhe.Lissu: Ndio kazi yangu. Katuga: Majibu yako yana vutia sana. Mhe. Lissu: then, you should be happy. Katuga: Kwahiyo nichekecheke Mhe. Lissu: Fanya hivyo Katuga: Kwahiyo mliwatoa waandishi nje, wewe na wenzako? Mhe. Lissu: Tuliwatoa. Katuga: Mliwatoa kwasababu hayo mengine hayakuwa sehemu ya mliyowaitia. Kwahiyo yale ambayo mlitaka wayachapishe ndio mliruhusu wawepo? Mhe. Lissu: Ndio. Katuga: Ambayo hukutaka yachapishwe mliwatoa waandishi? Mhe. Lissu: Yote tuliyotaka watu wajue waliyajua. Katuga: Je kwenye ushahidi wako ulisema sheria mahsusi kwamba ukigundua kosa la uhaini unapaswa kuwasiliana na DPP? Mhe.Lissu: Nikitaje cha nini? Haina maana hakipo kama sikukitaja. Katuga: Mimi lazima nikuulize maswali nisipofanya nitakuwa sifanyi kazi yangu Mhe. Lissu: Fanya kazi yako. Katuga: Ulisema kuna mgogoro binafsi na Wambura na Kingai? Mhe. Lissu: nimesema kuna chuki kubwa dhidi yangu. Nimekuwa persecuted maliciously 24yrs. Katuga: Umewahi kufungua malicious prosecution Mhe. Lissu: Haina maana yoyote sijawahi kuwafungulia lakini haiondoi ukweli wowote. Part 290 itaendelea kwenye post inayofuata, Naomba Repost yako
10
388
3
1,162
50,248
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 271 Muda huu saa tisa kasorobo. Majaji wameingia na Mwenyekiti Lissu pia ameingia. Kelele za Rais, Rais, Rais ni nyingi sana. Inapigwa Courttttttt Majaji wanaingia na watu wananyamaza. Waandishi wanashusha chini Camera zao. Mwenyekiti Lissu anahamia upande wa pili wa kizimba. Hapa Mahakamani vipo vizimba vya wazi viwili, kile ambacho hukaa watuhumiwa na kile cha mashahidi. Kulia kwa Majaji ni kizimba cha watuhumiwa na kushoto kwao ni Mashahidi. Mwenyekiti Lissu yuko Kushoto kwa Majaji. Anasimama Ajuaye Zengeli na kusema wako tayari kuendelea upande wa Serikali. Mh. Lissu nae amesimama kwa sasa. Masuala ya Uchaguzi na masuala ya uendeshaji wa Uchaguzi yasipowekwa sawasawa huwa yanaleta maafa kwa taifa. Leo mtu yeyote anayesema hivyo hawezi kuonekana kicha kabla ya October 2025 ulikuwa ukisema hivyo unaonekana kichaaa. Sisi ni Jamhuri ya Muungano wengi wetu kwasababu hatufundishwi historia sawasawa hatuelewi imekujaje. Tunafikiria Nyerere na Karume walikaaa wakasema tuunganishe nchi, tumekuwa Jamhuri ya Muungano kwasababu Zanzibar walifanya mapinduzi ya umwagaji wa damu kwasababu ya uchaguzi. Ripoti ya tume ya Nyalali ndio ushahidi wangu, 17 Feb. 1992 Tume ya Nyalali ilisema baada ya wazanzibar kuchoka wakachukua silaha na kupindua serikali. Tume ya Nyalali iliyotupendekezea Vyama vingi vya siasa ndo ilisema hivyo. Tangu mwaka 1992 tulikataaa kuona huo ukweli, tokea mwaka jana kama haijatufungua macho then tuna tatizo. Tume ya Othman Chande imesema ya mwaka jana yanatokana na matatizo ya muda mrefu ikiwemo Matatizo ya Demokrasia, Uonevu wa Vyama Vya siasa, matatizo ya Uchaguzi. Tulifanya kila jitihada kuepusha Oktoba 2025 ili kuepeusha maafa, tukaonekana vichaaaa. Sasa Uchaguzi ni masuala nyeti sio ya kuchezea, ukichezea matokeo yake ni haya. Mfumo wetu wa uchaguzi matatizo yake ni ya miaka mingi sana na yameandikwa kila mahali kwenye Ripoti za Uchaguzi na waangalizi mbalimbali. Walisema tusipoangalia tutaenda kubaya. Sisi wa CHADEMA sasa baada ya Magufuli kufariki na SAMIA kuingia madarakani nilikuwa uhamishoni. Nilikoswa koswa koswa mwaka 2020, nikakimbilia Ubalozi wa Germa badae nikakimbia nchini. 17/02/2022 Rais Samia alifanya ziara Ulaya na kulikuwa na Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Kiafrika na Zile za ULAYA. AU EU SUMMIT akaja Ubelgiji. Akanitumia ujumbe kupitia watu wake. Watu wanasema niliomba hapana sikuomba, aliniomba yeye wakati huo Mwenyekiti Mbowe yuko Gerezani. Nilivyopata ujumbe nikashauriana na Viongozi wenzangu. Nikaenda, tukaonana alisema kimsingi anataka amalize haya matatizo yaliyotokana na utawala wa mtangulizi wake. Nikamwambia anza kwanza kumuachia Mbowe. Pili, Tuzungumze Katiba Mpya na Mfumo huru wa Uchaguzi. Akasema niko tayari na pia nikamwambia tumekimbia nchi kwa kuogopa kifo sasa utangaze tutakuwa salama. Akatangaza Hamad Masauni sio yeye, akiwa Bungeni. Na baadae akamuachia Mh. Mbowe na tukapata faraja ya kurudi nyumbani. Tulirudi tukamwambia tunataka wafungwa wetu wote waachiwe na kuachiwa. Tukaanza mazungumzo yanaitwa Maridhiano. Tukaanza na Kinana anawakilisha CCM na Mbowe anawakilisha CHADEMA. Tulipendekeza marekebisho ya Katiba na kubadilisha Tume ya Taifa ya Uchaguzi. Mapendekezo ya maandishi na ratiba ya mabadiliko. Na kwa ratiba yetu tungepata Katiba Mpya mwaka 2024 mwaka mmoja kabla ya mwaka wa Uchaguzi. Tukashangaaa hakuna hatua inayofanyika, tunapeleka maandishi lakini wao wanajibu kwa mdomo, hawataki kuandika. Part 272 itaendelea kwenye post inayofuata. Naomba Repost yako.
16
349
4
1,018
44,767
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 261 Mhe. Tundu Lissu anaendelea kusema kuwa shitaka dhidi yangu linahusiana na kauli yangu niliyoitoa Aprili 3, 2025 kuhusiana na uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 Nataka nisema kwamba mimi nina uzoefu mkubwa sana na masuala ya uchaguzi wa Tanzania. Nilipiga kura kwa mara ya kwanza mwaka 1985 kwenye uchaguzi mkuu nikiwa na miaka 18. Kati ya mwaka 1985 na mwaka jana (2025) nimeshiriki katika uchaguzi mkuu either kama mgombea au mpiga kura katika chaguzi zote isipokuwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2000 na yale maafa ya mwaka jana Watu wanacheka 😂😂😂😂😂 Mwaka 2000 sikuwepo Tanzania nilikuwa nafanya kazi Marekani na mwaka jana nilikuwa gerezani. Waheshimiwa majaji kwenye uchaguzi mkuu wa kwanza wa vyama vingi mwaka 1995 nikiwa mwanafunzi chuo kikuu cha Warwick Uingereza nilirudi Tanzania kuja kugombea Ubunge jimbo la Singida Kusini, nilisimamisha masomo ya masters. Waheshimiwa Majaji ukiachilia ushiriki huo, nimeshiriki kwenye masuala ya kesi za Uchaguzi tangu mwaka 2005, ninaamini kabisa kwamba kwenye kesi za uchaguzi mimi ni mjuaji sana na nimjuaji kweli kweli kwasababu nimeshiriki sana kuliko Mawakili wengi wa nchi hii. Ninaamini kuna Majaji wengi wa Mahakama hii na Mahakama ya Rufani wamejifunzia kwangu kesi za uchaguzi (wala kusema hivi sijitapi) Waheshimiwa Majaji nje ya huo ujuzi wa kuwa wakili, kuanzia mwaka 2021 hadi nakamatwa mwaka jana nimefanya utafiti mkubwa sana kuhusu mfumo wetu wa uchaguzi sio tu sheria, mfumo mzima tangu kipindi cha ukoloni, ningekuwa sipotezewi Muda Ukonga ningekuwa nimeshachapisha kitabu kuhusu mfumo wa uchaguzi wa nchi hii na uchafu wake. Jaji Ndunguru anauliza hivi sasa ni saa kumi na moja vipi tuendelee au tuahirishe hadi Jumatatu? Jaji Ndunguru anamuuliza wakili wa Serikali unasemaje? Anajibu kinyonge sana kuwa ndio nilikuwa naelekea huko tuahirishe hadi jumatatu. Tundu Lissu anasema naomba nimalizie ili tuahirishe hadi Jumatatu. Kwasababu ya uzoefu huo waheshimiwa majaji nimekuwa mstarinwa mbele kabisa kupigania mfumo mpya wa uchaguzi hapa nchini. Hakuna hoja yoyote ya uchaguzi ya CHADEMA kwa miaka hii kumi ambayo haijapitia kwenye mikono yangu. Tutaendelea jumatatu waheshimiwa majaji. Majaji wanaahirisha kesi hadi Jumatatu saa tatu kamili asubuhi na Jaji Ndunguru anasema mshtakiwa tunaamini Jumatatu utamaliza ushahidi wako hivyo summons zitolewe kwa mashahidi Tundu Lissu anasema hapana waheshimiwa majaji siwezi kumaliza Jumatatu bado kuna kazi. Majaji wanahirisha kesi hadi jumatatu tarehe 24 Agosti saa tatu kamili asubuhi ambapo Tundu Lissu ataendelea kutoa ushahidi wake. Kwa namna anavyotoa ushahidi na anavyojua vitu nadhani tumtegemee kutoa ushahidi kwa siku mbili za wiki ijayo. Inapigwa High Courrrrrrrrrt Majaji wanatoka sasa Lissu anaagana na Mawakili wake na wananchi. Wananchi kwa vibe sana wanaimba Katiba Mpyaaaaaaaaaaa Wengine wanaitikia FreeTundu Lissu. Naomba Repost yako.
34
320
3
785
38,193
Again, cover yourself in prayer at these jobs.
69
3,310
52
20,821
369,225
- Haruki Murakami
6
133
2
964
29,012
Buddah retweeted
🚨 FIFA IS RIGGED! REPOST TO SPREAD THE MESSAGE 😠
213
13,437
80
37,501
333,014
Buddah retweeted
TO ALL MEN, YOU CAN: - Be confused at 25 - Broke at 29 - Start over at 32 - Glowing at 33 - Thriving at 37 - Unstoppable at 40 You're not behind. Keep becoming him, bro.
7
24
101
4,459
Buddah retweeted
Familia nyingi za ki-Africa zinawafundisha watoto wao nidhamu ya fedha ndio maana hata 200Tsh ikipotea lazima kila mmoja wenu kwenye familia aitwe kuulizwa. Changamoto ya wazazi wetu wa ki-Africa ni kutokutoa support kwa watoto wao ili waendelee kiuchumi. Tunaona fahari sana mtoto kuanzia sifuri. Ilihali familia ipo ngazi ya pili mbele. Ikumbukwe ili ufanikiwe unahitaji vitu vitatu. - nidhamu ya fedha. - nidhamu ya namna ya ku-manage fedha. - nidhamu ya namna ya ku-manage cashflow. Sadly wazazi wetu wanatulea vyema kwenye mawili ya mwanzo wanasahu kutulea kwenye misingi ya namna ya kutengeneza na ku-manage cashflow. Na hapa ndipo generational ya umasikini inapozaliwa kila baada ya kizazi na kizazi. Wazazi watakusisitiza "usitumie fedha vibaya" lakini hawatakuonesha namna inavyopatikana. Wazazi watakusisitiza "hakikisha chenchi unaitunza eeh!" lakini hawatakuonesha baada ya kutunza chenchi ufanye nini. Tukubali tukatae kuna namna umasikini wetu unaanzia kwenye ngazi ya familia na background tulizotokea. Ndio maana leo hii mzazi akifariki alivyokua akimiliki hapo kabla vinapukutika bila kujua ni wapi vimeelekea. Kwenye hili ndugu zetu weupe especially wahindi wanaishi kimkakati sana. Ni kawaida kumkuta kijana baada ya masomo yupo ofisini kwa baba yake anachota ujuzi fulani. Mtoto anajifunza kwa vitendo tokea akiwa mdogo fedha inapatikanaje na sio inatunzwaje tu. Tukubali tukatae elimu ya fedha inabidi ianzie kwenye ngazi ya familia. ...@iamNehemia ✍️
4
8
33
2,017