Steph retweeted
Watu wa daslamu wanazani wenyewe tu ndiyo wana ungua na joto, wamesahau sisi wa mikoani ndiyo hatujalizoea joto, tunaungua zaidi yao na hatulalamiki.
Steph retweeted
Hili joto na jua kali limefanya nijue siwezi survive motoni Wacha nibadilike Wakuu! 😅🙌🏽
Steph retweeted
Leo nimefika Kijiweni (Chanji) nikakuta wazee wa Sumbawanga wameenda Lwiche kumwagilia mchicha, acha nikaungane nao. Aliyepo kantalamba, Kizwite, O.T.C aseme nimpitie tuende wote shamba🤝
Kama mnataka Mali, mtazipata shambani📌
Goodmorning X family🫶
Steph retweeted
MAMBO 5 UNAYOPASWA KUJIAMBIA KILA ASUBUHI.
•Mungu yupo pamoja nami.
•Mungu ana mipango mizuri kwa ajili yangu.
•Mungu ataongoza hatua zangu.
•Mungu ananipa faraja.
•Mungu anabeba mizigo yangu.
Mungu nakupenda.
Kama unampenda Mungu, usiache kusema, Amina.🙏
Steph retweeted
Kwa hali ninayoiona leo…. Dar tujiandae kwa mvua nzuri tu hata kama sio leo basi kesho🙌🏻










