Pinned Tweet
🚨 JUST IN
Jina la Prince Dube ni moja kati ya majina yanayotajwa kuongeza nguvu kwenye Safu ya ushambuliaji ya Simba sc, kwenye Dirisha dogo la usajili… kama mbadala wa Doumbia.
Japo bado hakuna mazungumzo ya moja kwa moja yanayoendelea
MTANZANIA 🇹🇿 retweeted
Ukiona kuna mtu kapata matatizo au shida yoyote halafu wewe unajisikia furaha ni hatari sana.
MTANZANIA 🇹🇿 retweeted
Siku moja utaelewa kwa nini ulimuoa mwanamke ambaye ulifanya naye zinaa kabla ya ndoa.
MTANZANIA 🇹🇿 retweeted
Wanangu Kuna jamaa juzi sio masikini Tena kapuma 128000000 Kwa stake ya 300 odds zilikuwa laki 2 tuendelee kuamini mchakato you never know wagonga ulimbo👊
MTANZANIA 🇹🇿 retweeted
Ombi la Simba SC kwenda CAF kuomba kuutumia Uwanja wa Uhuru kwenye mechi za Makundi CAF Champions league limejibiwa
➡️CAF wamepitisha ombi hilo kwa sharti la Simba kuingiza mashabiki Elfu 6 tu kwa kila mechi
Bado Simba hawajathibitisha ikiwa watatumia Uwanja wa Uhuru au Lah!
MTANZANIA 🇹🇿 retweeted
Pochettino ndo anakuja kuwa kocha mkuu wa Manchester United mamae bora tuendelee na Carrick tuu 😁 hii team haiko serious kabisa 🙌
MTANZANIA 🇹🇿 retweeted
Nimefika ile stage ya kiuchumi ambayo namkopa huyu.. ilikulipa Deni la huyu namkopa yule,
Na ili nimlipe yule namkopa yuleee ipi apewe huyu, yaani Uchumi wangu ni huyu, yule, yulee na huyu.😅🫵🏾
MTANZANIA 🇹🇿 retweeted
Netanyahu hataki kuunda serikali na magaidi na hataki serikali ya ushirikiano.
MTANZANIA 🇹🇿 retweeted
Leo nimefika Kijiweni (Chanji) nikakuta wazee wa Sumbawanga wameenda Lwiche kumwagilia mchicha, acha nikaungane nao. Aliyepo kantalamba, Kizwite, O.T.C aseme nimpitie tuende wote shamba🤝
Kama mnataka Mali, mtazipata shambani📌
Goodmorning X family🫶
MTANZANIA 🇹🇿 retweeted
Waefeso 1:17
“Bwana wa Yesu Kristo, Baba wa utukufu, awape ninyi roho ya hekima na ya ufunuo katika kumjua yeye.”























