
Lawyer by day, Mic-slayer by night | #Optimist #Visionary | Walking proof that passion beats the odds. Views are mine.
Arusha
Joined November 2019
- Tweets4.9K
- Following3.2K
- Followers603
- Likes12.8K
Pinned Tweet
Ngoma yangu mpya Usirushe Taulo nikishirikiana na Fidovato ๐. Hii sio tu muziki, ni manifesto ya wasio kubali kusurrender. Sikiliza YouTube & all digital platforms ๐ฅโukisikiliza utashare bila kuambiwa ๐. #UsirusheTaulo link hii hapa๐๐พ youtu.be/z7Y5_yb8i-I?si=xn7lโฆ
Mr_Rockytz retweeted
Unajua unaweza kupoteza thamani ya TSh MILIONI 1.8 kwa mwaka bila hata kutumia pesa zako? ๐ณ๐น๐ฟ
Mfano: Mshahara wako ni TSh 2,000,000 kwa mwezi = TSh MILIONI 24 kwa mwaka.
Januari 2026:
๐ต $1 = TSh 2,470
๐ฐ Milioni 24 = $9,717
Novemba 2026:
๐ต $1 = TSh 2,654
๐ฐ Milioni 24 = $9,043
Yaani mshahara wako wa mwaka, ukipimwa kwa dola, umepungua thamani kwa $674 (takriban TSh milioni 1.8)!
Hujapunguziwa mshahara, lakini uwezo wa pesa zako kununua vitu vinavyouzwa kwa USD umepungua.
Sasa badala ya kulalamika, tufanye nini? ๐
- ๐น๐ฟ Wekeza kwenye hisa za DSE
- ๐ฆ Angalia Treasury Bills na Bonds za Serikali
- ๐ต Hifadhi sehemu ya akiba kwa USD
- ๐ Wekeza kwenye mifuko ya pamoja kama UTT AMIS
- ๐ผ Jenga chanzo kingine cha kipato
Usifanye kazi kwa ajili ya pesa tu. Hakikisha pesa zako pia zinafanya kazi kwa ajili yako.
Mr_Rockytz retweeted
Siku moja, kila kitu unachomiliki kitatumiwa na wengine, kitatolewa kama msaada, au kitatupwa. Kile kitakachobaki si mali uliyokusanya, bali ni mabadiliko chanya uliyoyaleta katika maisha ya watu wengine.
Mr_Rockytz retweeted
Normalize cutting off toxic family members and friends. You cannot keep sacrificing your peace, dignity and mental health simply because you share blood, history or memories.
Relationships should be sustained by mutual respect, not guilt, obligation or fear of being judged.
Mr_Rockytz retweeted
BRO TO BRO
Heshimu mahusiano ya mwanaume mwenzako, Usikubali tamaa za muda mfupi zikakupotezea heshima na utu wako.
Jifunze kuheshimu mipaka, linda misingi yako na elekeza nguvu zako katika kujenga maisha yenye thamani. Kumbuka, Sio kila tamaa unayohisi inastahili kuifuata
Mr_Rockytz retweeted
Replying to @MP_Soldier9
Inabidi serikali iweke sheria ya kusimamia matumizi ya AI kwenye matangazo.. kama wanavyofanya nchi za ulaya.
Mfano unatumiaje picha ya AI kwenye tangazo la lotion n.k.. hairuhusiwi baadhi ya nchi, watu kama Jihan watafanya kazi gani?? ๐ค๐ค๐ค
"Be nice to people on your way up, because you might meet them on your way down."
(Uwe mwema kwa watu wakati unapanda juu, maana unaweza kukutana nao tena wakati unashuka chini.)
14
Mr. Rocky - SHERIA ft Boblim & Ruff G (Official Video) youtu.be/voN7fCSiVzQ?si=xZiWโฆ via @YouTube
25
Mr_Rockytz retweeted
Life is already hard enough. You shouldnโt have people around you who make it harder. Keep people who feel like home, bring you comfort, calm your mind, and make life feel lighter. Peace is not boring. Itโs a blessing.
Mr_Rockytz retweeted
Hakuna haja ya kusubiri uingie shimoni ndipo ujue shimo ni hatari.
Jifunze kutokana na makosa ya wengine, chukua somo bila kulipa gharama ileile, na tumia uzoefu wao kujenga maamuzi bora zaidi kwa maisha yako ๐ค๐ผ
Mr_Rockytz retweeted
Endesha gari kwa uangalifu kwenye barabara hii inayoitwa maisha kwa sababu watu watabadilisha njia bila ishara
Mr_Rockytz retweeted
Siku moja, utaacha kujieleza kwa watu ambao tayari wameamua kukuelewa vibaya.
Sio kwa sababu uliacha kujali, bali kwa sababu hatimaye uligundua kuwa amani ina thamani zaidi kuliko kueleweka na kila mtu.
Masters na degree peke yake haviwezi kulipia kodi au kununua unga. Maarifa bila execution ni karatasi tu. Kaza buti.
13
Mr_Rockytz retweeted
Vitu Rahisi vinavyowezwa kufanya nakila mtu nipamoja na kurap.. na ndio sababu sijivunii et najua kurap,OnaSemaji la ball comedian wanajua KURAP,dadaangu wakaz home anajua KURAP,asilimia 99.9 duniani nimarapa๐so Biashara inayowezwa kufanywa na kila mtu haiwezi kua na FAIDA๐๐
Mr_Rockytz retweeted
African industrialists and entrepreneurs are key drivers of economic growth and innovation in various sectors, including manufacturing, industrialisation, banking and technology.
As a result, they are crucial partners with governments in transforming our countries, especially in investment and employment creation.
Met Mr @AlikoDangote, founder of the Dangote Group and Africa's leading industrialist with interests in cement and sugar manufacturing, and oil refining, on the sidelines of the Africa We Build Summit, Nairobi.
We welcome his announcement at the summit that he was ready to partner with Kenya, Uganda and Tanzania in building an oil refinery in Tanga, Tanzania.
We thank Mr Dangote for believing in Africa and are committed to working with him to make this very important regional project a reality.
Mr_Rockytz retweeted
Tanzania's former John Pombe Magufuli
๐๐ฝRejected a $10 billion loan from China
๐๐ฝ He didn't go on state trips outside Africa
๐๐ฝ He reduced the cabinet's size from 30 to 19.
๐๐ฝ He Introduced free Education from Primary to Secondary School
Mr_Rockytz retweeted
Uganda ๐บ๐ฌ and Kenya ๐ฐ๐ช are in discussions with Aliko Dangote to build a major oil refinery in Tanzania ๐น๐ฟ.
The project is planned for Tanga and aims to reduce East Africaโs reliance on fuel imports from the Middle East.
It would process crude from regional producers, including Uganda, and supply countries across the East African Community.
Talks are active, with Presidents Ruto and Museveni involved.






















