ʟɛɛ retweeted
Ukichimba KISIMA ili watu wapate maji na
wewe utapata maji. Ukichimba kisima ili watu
wazame jua na wewe kuna siku UTAZAMA
ʟɛɛ retweeted
Kama mtaona kuna kosa la uhaini, msisite kunihukumu na kuniadhibu ipasavyo. Lakini kama mtaona hakuna kosa la uhaini, msisite kuniachilia huru~
Mhe. Lissu 28/09/2026
ʟɛɛ retweeted
“Kule walikotusukumia, ndiko Mungu hupumzikia.. walidhani wanatukimbiza, kumbe wanatusindikiza.” 🎶🎵
Kwa mama wote duniani…
Asanteni kwa kila sadaka, kila maombi na kila upendo mlioutoa bila kuchoka ❤️🌷
Happy Mother’s Day 💐
1
45
ʟɛɛ retweeted
Anza Leo. Usingoje perfect moment anza na uliyonayo.
➮ Nenda Google uka-search: “𝗚𝗢𝗢𝗚𝗟𝗘 𝗗𝗜𝗚𝗜𝗧𝗔𝗟 𝗚𝗔𝗥𝗔𝗚𝗘”
↳ Ingia kwa email yako
↳ Chagua skill yoyote ya digital unayoipenda
↳ Anza course (ziko simple + step by step)
↳ Fanya assignments zote
↳ Ukimaliza unapewa cheti (certificate)
➮ Weka hicho cheti kwenye LinkedIn yako
➮ Tumia kuomba kazi au freelance gigs
Kozi zote ni 𝗕𝗨𝗥𝗘. Hakuna kisingizio.
Lakini ngoja nikuambie kitu ambacho watu wengi hawasemi…
Course peke yake haitokupa pesa.
Skill + matumizi yake ndiyo inaleta pesa.
Ndiyo maana tunafanya hii kama CHALLENGE 👇
ʟɛɛ retweeted
Kama uko na laptop na internet connection, apply CrowdGen. Kuna kazi ya $4/hr, it doesn't need a proxy.
ʟɛɛ retweeted
Saa 9 za usiku mtu anakula Kilo ya UBWABWA na NYAMA af anasema kesho kafunga😂, ebu tuache michezo na imani.
ʟɛɛ retweeted
There's a website called transcription staff. Your main job is to transcript audios. Pay is between $6 - $27 per audio hour. There is also a full time staff bonus of 30%. Check it out if it suits you.
ʟɛɛ retweeted
“When a rich man is sick, the poor come to sympathize. When a poor man is sick, he recovers and later goes to tell the rich that he was sick.”
— Chinua Achebe
ʟɛɛ retweeted
Kama unaeza train AI kuna hii site inaitwa SILENCIO. Wanalipa $20/hr bora unaeza ongea fluent English alafu inatoka kama. Ni safi sana bora tu iko na proxy, internet na antidetect browser strong. How do you open it?
Thread 🧵👇
ʟɛɛ retweeted
7 BUSINESS IDEAS THAT NEVER FAIL:
1. Solve rich people problems.
2. Sell before you build.
3. Price based on value, not cost.
4. Obsess over customer retention.
5. Automate the boring parts.
6. Fire bad clients fast.
7. Reinvest profits into growth.
ʟɛɛ retweeted
chatGPT kwa ajili ya kuandika prompts
Nano banana kwa ajili ya kuunda images
Kling kwa ajili ya kuunda videos
HR is not a support department.
It’s a risk management system.
It’s a culture builder.
It’s a growth driver.
Companies that ignore HR
pay for it later.
#StrategicHR #Leadership
1
23
















