Bob Kipara (@_bli4) header
Bob Kipara (@_bli4) profile picture

Theatre of Dreams🔴⚽️

Joined November 2021
Photo by Bob Kipara (@_bli4)Photo by Bob Kipara (@_bli4)Photo by Bob Kipara (@_bli4)Photo by Bob Kipara (@_bli4)Photo by Bob Kipara (@_bli4)Photo by Bob Kipara (@_bli4)Photo by Bob Kipara (@_bli4)Photo by Bob Kipara (@_bli4)Photo by Bob Kipara (@_bli4)Photo by Bob Kipara (@_bli4)
Art is the greatest invention ever created in human history.
1
235
Goalkeeper not to score, Sportybet😂😂🔥
2
2
19
666
Kama hujapewa wishes ya Siku wanaume kutoka kwa mpenzi ako, usijitafakari sana maana Utagongewa tu upende usipende😂😂😂
1
1
28
427
One day i’ll be Free, Free from all of it🌵
1
3
17
339
USIPATE TAABU, ULIZA WENYEJI!!
1
2
20
325
Bob Kipara retweeted
🚨 Manchester United’s iconic “Glory Glory Man United” playing on GTA 6’s Backcountry Radio! 🤩
106
1,629
114
14,896
641,225
Being broke and not expecting money from any source is one of the darkest places you can be.
574
2,614
231
14,983
577,463
Kuna kitu kimoja kinaniumiza sana kuhusu Twitter kufungiwa Tanzania. Na nataka kuwaambia kwa nini. Mimi binafsi, Twitter imebadilisha maisha yangu. Vitu vingi nilivyojifunza kuhusu teknolojia, startups, AI na kujenga biashara, nimejifunza kupitia Twitter. Na sio kujifunza tu. Kupitia Twitter nimepata wawekezaji kutoka Marekani ambao wamewekeza kwenye kampuni yetu ya NALA. Nimekutana na watu ambao nimewaajiri. Nimejenga urafiki na mahusiano na watu ambao leo tunafanya nao kazi NALA. Watu ambao pengine nisingekutana nao maishani mwangu! Na mpaka leo, natumia Twitter kujifunza kila siku. Hasa sasa hivi, natumia Grok bot, AI ya Twitter, zaidi na zaidi. Naendelea kujifunza, kuuliza maswali, na ku-connect na watu wenye maarifa kutoka duniani kote. Sasa fikiria kijana wa miaka 20 aliyepo Mwanza, Mbeya au Kigoma. Ana simu. Ana internet. Hana connection za Silicon Valley. Hana pesa ya kwenda vyuo vikubwa duniani. Lakini kupitia Twitter anaweza kujifunza, kukutana na investors, kupata kazi, au hata kupata mtu wa kujenga naye kampuni. Hiyo ndiyo nguvu ya Twitter! Na ndiyo maana nimesikitishwa sana kwamba Twitter imefungiwa Tanzania. Kwa sababu kwangu, Twitter haikuwa tu social media. Ilikuwa darasa langu. Ilikuwa sehemu ya kujenga biashara. Ilikuwa sehemu ya kupata marafiki na connections duniani. Na naamini kuna vijana wengi wa Tanzania ambao wanaweza kupata fursa kama nilizopata mimi. Swali langu kwenu ni hili: Twitter imewahi kukufungulia mlango gani kwenye maisha yako?
157
432
41
1,843
86,734
Naombeni odds za leo😎
4
22
770
Tukaushieni basii😂💔
The only season PSG didn't win Ligue 1 in recent years was under Mauricio Pochettino 😮
14
407
Life sentence😮‍💨
do you ever get obsessed with just one part of a song so much that you want the whole song to be that part only?
2
348
Bob Kipara retweeted
Morgan Freeman was not wrong when he said, 'Become a man who can face a breakup, lose a job, deal with debt, and still say, "God is with me; I’ll figure it out."'
32
1,703
27
13,561
198,153
When life gets hard, Change clothes.
19
516
Cesc Fabregas should his boys to stop scoring like what he did to United 7-0 game on 65’🥶😃
11
445
Ombea timu yako isikutane na watoto wa como😃
19
360
This is cold🥶🥶😂🔥🔥
Manchester United have a 100% win record in November
12
411
Waleteni Bayern haooo maanyokooo!!!
4
81
852
Bob Kipara retweeted
I'm in a toxic relationship with this club. Win, lose, live, or die... I love this football club forever. 😭❤️
31
1,063
27
7,167
71,427
Pesa ya Kanji ngumu sana😂😂
4
2
41
738
Bob Kipara retweeted
Mashabiki wengi wa Man U tuliipenda hii timu tukiwa tangu na rika hili😃 And we’ll never stop being Reds, no matter what!!!
2
2
46
496