Pinned Tweet
❤️✨
You’re unable to view this post because this account owner limits who can view their posts. Learn more
2
10
931
Makie🤍 retweeted
Geniune looking for a JOB
Niko tayari kufanya kazi yeyote halali na yenye maslahi rafiki. (Popote ndani ya ardhi hii ya Tanzania)
Kama una gig yoyote tafadhali nisaidie kijana mwenzio. 🤝
Nipo tayari kuanza mara moja.
0655217370 WhatsApp
0746809363 Normal Calls
Makie🤍 retweeted
Tujitaidi sana tusidondoshe watoto utotoni…Akili zikacheza kama tunazoziona humu.
Na pia tuwapende sana watoto na kuwapa attention yote wasije kutafuta upendo mitandaoni.
Makie🤍 retweeted
Nyimbo za King Kiba kadri miaka inazidi kusonga ndivyo zinazidi kuwa kali.
“Bro hii ni OG kabisa! Siuzagi pombe feki trust me” 😂
Siku hizi usiamini maneno pekee. Scan QR Code ya stempu kwa kwa kutumia App ya HAKIKI STEMPU ujionee mwenyewe kama ni feki au orojino.
Pakua App leo tr.ee/DwMsGwl5kT
#HakikiKwanza










































