MKATA UMEME retweeted
Wote tunajua mchango wa @ankochoka kwenye muziki wa🇹🇿
Anapitia changamoto ya afya inayomujitaji kuendelea kufanya DIALYSIS (Kusafisha FIGO). Anatakiwa kuwa na laki 9 kila wiki ili kuweza ku attend Jumatatu, Jumatano na Ijumaa pale Aga Khan🏥.
Mchango wako ni muhimu sana.
MKATA UMEME retweeted
Nimeambiwa Quality waliyoonesha TBC jana ni ya hali ya juu sana, hadi DSTV na Azam inabidi wakajifunze kwao nasikia hadi Wachambuzi wao walipendeza sana kuliko wachambuzi wa hizo DSTV na AZAM nyingine, mimi nilitamani kuangalia ila nilipata mashaka before ila leo nitaangalia.
MKATA UMEME retweeted
Wazee hivi ada ya Feza bei gani..?
Kijiweni hapa watu wanabishana ada ya Feza kuna mchizi anasema milioni 4.5 wakataka kumpiga wanamwambia ingekuwa hivyo watu wengi town wangesomesha watoto Feza ..😅
MKATA UMEME retweeted
Oktoba 21 ya mwaka 2019 ndio ilikuwa siku ya kwanza kwa GEORGE AMBANGILE kuhamia Wasafi Media nikiwa " Football Analyst " . Nilipokelewa vizuri , nikapewa platform ya kuonesha kipaji changu , nikakua zaidi .
Baada ya miaka takribani Saba , cycle yangu imefikia tamati ndani ya Wasafi Media . It was quite a journey na najivunia , nashukuru , na kuthamini kila dakika niliyotumikia Wasafi Media .
Naishukuru sana Kampuni , imenipa vitu vingi sana ,moyo wangu umejaa shukrani .
Kipekee kabisa namshukuru CEO @diamondplatnumz kwa thamani uliyonipa , i will never forget it . Asante sana Boss .
Bila kusahau nawashukuru wafanyakazi wenzangu wote ambao tumefanya kazi kwa pamoja Wasafi Media kuanzia kipindi cha michezo mpaka wa vipindi vingine na wafanyakazi wa idara tofauti , mchango wenu kwangu una thamani kubwa sana . God bless you all .
Wale wote ambao walinipa thamani ya muda wao , masikio yao kusikiliza kazi yangu Radioni , cha kuwalipa sina maana bila nyie ngumu kuwa na George Ambangile bora , nawashukuru sana tena sana . Ambangile hayupo tena Wasafi Media lakini naomba muendelee kuwa " LOYAL " kwa Wasafi Media . ASANTENI SANA
THANK YOU SO MUCH WASAFI MEDIA AND GOODBYE
" The World is Yours "
GEORGE AMBANGILE 🤝
MKATA UMEME retweeted
Kama kuna wadau nitawakwaza mtanisamehe ila perfume aliyokuwa anatumia Ferooz imepanda bei badala ya 120,000 kwasasa ni 130,000
MKATA UMEME retweeted
Leo Mama Kanisa anaadhimisha Dominika ya Pili ya Kipindi cha Pasaka. Kadiri ya mapokeo, kilatini dominika hii inaitwa “domenica in albis deponendis,” kwa sababu ni siku ambayo waliobatizwa katika Mkesha wa Pasaka walivuliwa kanzu nyeupe waliyovalishwa walipobatizwa ambayo walipaswa kuivaa katika katika kipindi chote cha Oktava ya Pasaka. Ni “Dominika ya huruma ya Mungu”, kama ilivyowekwa na Mama Kanisa katika maadhimisho ya Jubilei Kuu mwaka 2000, kufuatia ufunuo alioupokea Mtakatifu Faustina Kowalska kutoka kwa Yesu Kristo mwenyewe. Ni katika Sakramenti ya kitubio huruma ya Mungu inajidhihirisha kwa waliobatizwa, wakaimarishwa kwa Roho Mtakatifu kwa Sakramenti ya Kipaimara na wanapokea Ekaristi Takatifu, Mwili na Damu ya Kristo, chakula cha kiroho.
Tomaso alipokuwa nje ya jumuiya hakuweza kukutana na Kristo mfufuka. Lakini aliporudi ndani ya jumuiya alikutana naye na kuukiri umungu na ubinadamu wa Kristo.Hivyo basi, tunalihitaji Kanisa na tunahitaji Jumuiya ya Kikristo ili kukutana na Kristo. Kumbe, tunao wajibu wa kuzitunza jumuiya zetu ziendelee kuwa ishara ya uwepo wa Kristo ulimwenguni ili watu wamtambue na kumkiri. Imani yetu kwa Bwana mfufuka inapaswa kutusaidia kujenga jumuiya ya Kikristo ambapo Kristo ndiye kiongozi wake mkuu.
Hii ni jumuiya isiyo na ubinafsi, inayomjali kila mmoja, inayozingatia sala. Ni katika jumuiya ya namna hii, Bwana mfufuka anajifunua, na kuwakirimia wanaomwamini baraka na neema zake. Kama kuna shida au changamoto yoyote katika jumuiya, suluhisho si kujitenga, bali kutatua changamoto iliyopo. Kama umejitenga na jumuiya yako kwa sababu yoyote ile, rudi mapema, na ushiriki shughuli zake ili ukutane na Yesu Mfufuka upate neema na baraka tele.
Mwisho tunaona kuwa Huruma ya Mungu inatupa uwezo wa kupenda. Hatuwezi kudai kuwa tunaipokea Huruma ya Mungu wakati hatuwaonei huruma wengine. Huruma inatufanya tuwe watii kwa amri ya upendo kwa Mungu na kwa Jirani zetu. Hitimisho. Katika dominika hii tunaalikwa sote, tuitumainie huruma ya Mungu isiyo na mipaka, nasi kama walivyokuwa Mitume wa Yesu baada ya Pentekoste, tuwe mashuhuda imara wa Huruma ya Mungu kwa njia ya maisha na utume wetu.🙏
MKATA UMEME retweeted
Hawa 🏇ni wanapewa mafunzo maalum ya kutembea kwenye maji au ni by default tu wanaweza?
MKATA UMEME retweeted
Alooooh, huyu Mungu anazidi kutumiminia Baraka zake, Leo Kanisa linafuraha ajabu 🙌🙌
Jimbo Katoliki la Kondoa limempata Shemasi 1.
MKATA UMEME retweeted
Happy Birthday Msomi Khan 🎉
Mwakani nianze Kuomba Ajira Serikalini angalau Salary 1.8M per month na GPA yangu ya 4.4 🙏










































