MKATA UMEME (@FullDose3) profile picture

Nafollow back ndani ya sekunde tu, yaani unikigusa tu nimoo

Joined October 2019
Photo by MKATA UMEME (@FullDose3)Photo by MKATA UMEME (@FullDose3)Photo by MKATA UMEME (@FullDose3)Photo by MKATA UMEME (@FullDose3)Photo by MKATA UMEME (@FullDose3)Photo by MKATA UMEME (@FullDose3)Photo by MKATA UMEME (@FullDose3)Photo by MKATA UMEME (@FullDose3)Photo by MKATA UMEME (@FullDose3)Photo by MKATA UMEME (@FullDose3)
MKATA UMEME retweeted
14/11 Mungu amenipa kibali cha kuongeza Mwaka Mwingine🙏 HAPPY BIRTHDAY TO ME 💜
301
197
39
1,287
53,108
MKATA UMEME retweeted
Wote tunajua mchango wa @ankochoka kwenye muziki wa🇹🇿 Anapitia changamoto ya afya inayomujitaji kuendelea kufanya DIALYSIS (Kusafisha FIGO). Anatakiwa kuwa na laki 9 kila wiki ili kuweza ku attend Jumatatu, Jumatano na Ijumaa pale Aga Khan🏥. Mchango wako ni muhimu sana.
14
65
1
180
12,776
MKATA UMEME retweeted
Kutoa ni moyo sio utajiri
8
65
329
16,182
MKATA UMEME retweeted
Mali mpya Wanangu, kiroho Safi naomba Repost yako hapa iwafikie Wateja.
7
130
1
377
10,126
MKATA UMEME retweeted
Nimeambiwa Quality waliyoonesha TBC jana ni ya hali ya juu sana, hadi DSTV na Azam inabidi wakajifunze kwao nasikia hadi Wachambuzi wao walipendeza sana kuliko wachambuzi wa hizo DSTV na AZAM nyingine, mimi nilitamani kuangalia ila nilipata mashaka before ila leo nitaangalia.
11
3
1
87
11,360
Good morning ☕️
3,570
33,812
4,389
329,310
Karibuni tena
#OnThisDay in 2⃣0⃣1⃣9⃣ we visited Tanzania to face Simba SC in a friendly 🇹🇿 An unforgettable experience sharing football and friendship with our Tanzanian friends ❤️🤍
683
MKATA UMEME retweeted
Wazee hivi ada ya Feza bei gani..? Kijiweni hapa watu wanabishana ada ya Feza kuna mchizi anasema milioni 4.5 wakataka kumpiga wanamwambia ingekuwa hivyo watu wengi town wangesomesha watoto Feza ..😅
24
37
3
279
23,442
MKATA UMEME retweeted
Uraibu wa twitter ni zaidi ya madawa ya kulevya.
38
44
6
477
11,002
Hii kubwa sana
Muonekano wa Uwanja wa Klabu yetu ambao unatarajia kujengwa katika Makao Makuu ya Young Africans SC Jangwani kwenye eneo la Uwanja wa Kaunda ukitarajiwa kubeba mashabiki 15,000 hadi 18,000. #MkutanoMkuuYASC2023 #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
589
Oktoba 21 ya mwaka 2019 ndio ilikuwa siku ya kwanza kwa GEORGE AMBANGILE kuhamia Wasafi Media nikiwa " Football Analyst " . Nilipokelewa vizuri , nikapewa platform ya kuonesha kipaji changu , nikakua zaidi . Baada ya miaka takribani Saba , cycle yangu imefikia tamati ndani ya Wasafi Media . It was quite a journey na najivunia , nashukuru , na kuthamini kila dakika niliyotumikia Wasafi Media . Naishukuru sana Kampuni , imenipa vitu vingi sana ,moyo wangu umejaa shukrani . Kipekee kabisa namshukuru CEO @diamondplatnumz kwa thamani uliyonipa , i will never forget it . Asante sana Boss . Bila kusahau nawashukuru wafanyakazi wenzangu wote ambao tumefanya kazi kwa pamoja Wasafi Media kuanzia kipindi cha michezo mpaka wa vipindi vingine na wafanyakazi wa idara tofauti , mchango wenu kwangu una thamani kubwa sana . God bless you all . Wale wote ambao walinipa thamani ya muda wao , masikio yao kusikiliza kazi yangu Radioni , cha kuwalipa sina maana bila nyie ngumu kuwa na George Ambangile bora , nawashukuru sana tena sana . Ambangile hayupo tena Wasafi Media lakini naomba muendelee kuwa " LOYAL " kwa Wasafi Media . ASANTENI SANA THANK YOU SO MUCH WASAFI MEDIA AND GOODBYE " The World is Yours " GEORGE AMBANGILE 🤝
482
391
38
3,590
123,088
Kama kuna wadau nitawakwaza mtanisamehe ila perfume aliyokuwa anatumia Ferooz imepanda bei badala ya 120,000 kwasasa ni 130,000
1
6
73
2,730
MKATA UMEME retweeted
Leo Mama Kanisa anaadhimisha Dominika ya Pili ya Kipindi cha Pasaka. Kadiri ya mapokeo, kilatini dominika hii inaitwa “domenica in albis deponendis,” kwa sababu ni siku ambayo waliobatizwa katika Mkesha wa Pasaka walivuliwa kanzu nyeupe waliyovalishwa walipobatizwa ambayo walipaswa kuivaa katika katika kipindi chote cha Oktava ya Pasaka. Ni “Dominika ya huruma ya Mungu”, kama ilivyowekwa na Mama Kanisa katika maadhimisho ya Jubilei Kuu mwaka 2000, kufuatia ufunuo alioupokea Mtakatifu Faustina Kowalska kutoka kwa Yesu Kristo mwenyewe. Ni katika Sakramenti ya kitubio huruma ya Mungu inajidhihirisha kwa waliobatizwa, wakaimarishwa kwa Roho Mtakatifu kwa Sakramenti ya Kipaimara na wanapokea Ekaristi Takatifu, Mwili na Damu ya Kristo, chakula cha kiroho. Tomaso alipokuwa nje ya jumuiya hakuweza kukutana na Kristo mfufuka. Lakini aliporudi ndani ya jumuiya alikutana naye na kuukiri umungu na ubinadamu wa Kristo.Hivyo basi, tunalihitaji Kanisa na tunahitaji Jumuiya ya Kikristo ili kukutana na Kristo. Kumbe, tunao wajibu wa kuzitunza jumuiya zetu ziendelee kuwa ishara ya uwepo wa Kristo ulimwenguni ili watu wamtambue na kumkiri. Imani yetu kwa Bwana mfufuka inapaswa kutusaidia kujenga jumuiya ya Kikristo ambapo Kristo ndiye kiongozi wake mkuu. Hii ni jumuiya isiyo na ubinafsi, inayomjali kila mmoja, inayozingatia sala. Ni katika jumuiya ya namna hii, Bwana mfufuka anajifunua, na kuwakirimia wanaomwamini baraka na neema zake. Kama kuna shida au changamoto yoyote katika jumuiya, suluhisho si kujitenga, bali kutatua changamoto iliyopo. Kama umejitenga na jumuiya yako kwa sababu yoyote ile, rudi mapema, na ushiriki shughuli zake ili ukutane na Yesu Mfufuka upate neema na baraka tele. Mwisho tunaona kuwa Huruma ya Mungu inatupa uwezo wa kupenda. Hatuwezi kudai kuwa tunaipokea Huruma ya Mungu wakati hatuwaonei huruma wengine. Huruma inatufanya tuwe watii kwa amri ya upendo kwa Mungu na kwa Jirani zetu. Hitimisho. Katika dominika hii tunaalikwa sote, tuitumainie huruma ya Mungu isiyo na mipaka, nasi kama walivyokuwa Mitume wa Yesu baada ya Pentekoste, tuwe mashuhuda imara wa Huruma ya Mungu kwa njia ya maisha na utume wetu.🙏
2
5
1
15
766
MKATA UMEME retweeted
Happy Birthday To Me.👊🏾
369
273
28
2,663
32,996
MKATA UMEME retweeted
Jirani have 5 minutes to recreate this photo.
20
46
2
780
45,371
MKATA UMEME retweeted
Hawa 🏇ni wanapewa mafunzo maalum ya kutembea kwenye maji au ni by default tu wanaweza?
Straight from the African Maldives: Zanzibar 🇹🇿💙🏇
9
5
87
6,055
Duh😀😀😀😀
This Post is from a suspended account. Learn more
494
MKATA UMEME retweeted
Huyu atarudi msimbazi dirisha dogo
📸 Clatous Chama 🇿🇲 ameanza mazoezi na timu yake mpya ya Singida Black Stars 🇹🇿
59
75
22
498
31,201