Scolla Francis (@FrancisScolla) profile picture
Joined November 2017
Photo by Scolla Francis (@FrancisScolla)Photo by Scolla Francis (@FrancisScolla)Photo by Scolla Francis (@FrancisScolla)Photo by Scolla Francis (@FrancisScolla)Photo by Scolla Francis (@FrancisScolla)Photo by Scolla Francis (@FrancisScolla)Photo by Scolla Francis (@FrancisScolla)
Kuna wakati unabonyeza inagoma 😂😂😂 Dah siasa hizi kuelekea uchaguzi kuna manenoooo 😂😂😂 #Shikamoo2020 #TutaelewanaTu
3
3
40
Mnajua bado natafakari hii sentensi kabla ya kulala 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 "Unabonyeza inawaka bhaaas!" Yaani iwe inawaka hapohapo siyo kama tubelight inachelewa au kama faulty wiring haiwaki! 🤣🤣🤣🤣 Maneno ya kisiasa bwana! #Shikamoo2020 #TutaelewanaTu #ChangeTanzania
36
35
3
303
Makubaliano hayo yamefikiwa leo Beijing katika mkutano wa Balozi Mbelwa Kairuki na Mkurugenzi na Mtengenezaji wa Kipindi cha Travel Channel cha Hainan Television Bi Xie Xiao na timu yake. Bi Xiao ameeleza kwamba Televisheni hiyo ina watizamaji milioni 200 nchini China
6
27
1
128
President Yoweri Kaguta Museveni has described #JuliusNyerere, the ex-president of #Tanzania as the most important person in the human history of #Africa as far as promoting unity on the continent is concerned. https://xitter.cf/t.co/NxrA2MfrmI
5
31
2
99
Thank you. We all stand united for a cause greater than ourselves
Wow wow wow @LazaroNyalandu! Just wow! I’m impressed. Your diplomatic tone, persuasive body language, and ability to connect with common Mwnaanchi is superb! You are bringing something unique to the opposition politics. Such a great man to learn from. Keep it up!
2
14
124
Ninaelimisha watu waliolala kama wewe. Hela zinazogawaliwa lazim zitoke mahala. Mjiulize huyu RC hizi hela kazitoa wapi? Ni swali muhumi sana. Maana kama sio mshahara wake basi anafanya biashara gani kama RC? THINK!!
Replying to @fatma_karume
Hizi ndizo kazi za wanaharakati wa Tz wanaacha kazi za kuelimisha wanaeneza chuki. Mtu anatoa hela kwa jamii anabezwa alalie?.
24
31
5
176
Hii ni choo ya shule ya msing iponya kata ya iponya wilaya ya mbogwe inamatundu kumi imekamilika nainatumika tunaishikuri halimadhauli mbogwe kwa ushirikiano wao
1
2
8
Mim scolla francis mraghabishi kutoka kata ya iponya
1
Scolla Francis retweeted
Kamati kuu MBODANET.Tathimini maendeleo Mbogwe.Hatua nzuri ya kuigwa madarasa na Zahanati.ushiriki wa Jamii mzuri kutekeleza Falsafa'Hapa kazi tu'.#Chukua hatua jengea uwezo@Oxfam – at Shinyanga, Tanzania
4
9
18
Magunzo ya dijitali yanaendelea na @billmarwa kutoka @oxfamTz #chukuaHatua – at Shinyanga, Tanzania
– at Shinyanga, Tanzania
1
Hii ni kokoto ambayo imekatariwa na kamati ya ustawi wa jamii kuwa sio kokoto nzuri kwaajiri ya ujenzi wa choo ya shule ya msingi iponya ambayo haina choo mpaka sasa na ina choo cha muda chenye matundu mawili ambayo yanatumiwa na wanafunzi 967 wasichana 483 wavulana 484
1
Hii ni choo inayotumiwa na wanafunzi 830katika shule ya msingi iponya iliyopo wilaya ya mbogwe mkoa wa geita na ina matundu mawili tu na tayari kimesha jaa lakini hakuna kinachoendelea je waziri unanatusaindiaje
Najifunza dijitali na @ billmarwa # ChukuaHatua
1