Maneno Uvuruge (@EsquireMK) profile picture
Tanzania, Africa 🌍
Joined April 2014
Photo by Maneno Uvuruge (@EsquireMK)Photo by Maneno Uvuruge (@EsquireMK)Photo by Maneno Uvuruge (@EsquireMK)Photo by Maneno Uvuruge (@EsquireMK)Photo by Maneno Uvuruge (@EsquireMK)Photo by Maneno Uvuruge (@EsquireMK)Photo by Maneno Uvuruge (@EsquireMK)Photo by Maneno Uvuruge (@EsquireMK)Photo by Maneno Uvuruge (@EsquireMK)Photo by Maneno Uvuruge (@EsquireMK)
“Tena, nimeona kitu kimoja hapa duniani, kwamba wenye mbio hawafaulu katika riadha, wala wenye nguvu hawashindi vita; wenye busara hawapati chakula, wenye akili hawatajiriki, wala wenye ujuzi hawapandi vyeo; lakini wakati wa bahati huwapata wote pamoja.” 🤝
1
11
21
Masoud amempa Blessed Tillah interview bora zaidi. Tillah Pia, ni mnoma sana kwenye skills za interview, hakuna kimbele mbele wala ujuaji. 👊🏽
1
78
Maneno Uvuruge retweeted
Washkaji wa corporate, viongozi wa vikundi, shule, vyuo, gyms na communities, hii ni yenu! 😎⛰️ Team building, retreats, school trips, fitness adventures au group getaways.🏕️ Karibuni Uluguru Family Campsite, Morogoro! 🌿❤️
32
5
84
5,786
Maneno Uvuruge retweeted
Unapata gig ya kubadili director, ndo unagundua Kampuni haijawahi ku submit returns TRA, haijawahi file Annual Returns Brela Wala ku submit beneficial ownership na Ina operate kwa miaka minne sasa 🙌 Mmiliki hajui kama hizi vitu ni zipo yeye ni kazi kazi tuu.
Kama una Kampuni hakikisha una hire compliance officer.
2
10
100
8,931
Maneno Uvuruge retweeted
Oh, my heart! 🥹💗 📻Look at YOU, stepping into your dream! Congratulations on starting your radio journey! 🥹🙏🏾 May this be the beginning of something bigger than you ever imagined. Trust your voice and NEVER stop believing in yourself, you’ve got this! 🇧🇼❤️🎙️👏🏾
Replying to @KhutsoTheledi
@KhutsoTheledi hey I’m listening to you from Botswana and I’m happy to be here listening to you 💖🙏started my radio training yesterday and you’ve been here holding my hand from a distance , you the reason why I chose this and I’ve been with you from YFM 🩷love you dolls
2
4
25
1,293
Maneno Uvuruge retweeted
I was today years old when I realized that people born on January first can NEVER say their birthday was last year.
395
1,712
302
30,708
3,200,936
Maneno Uvuruge retweeted
When a great woman speaks, you can tell. What a brilliant and well articulated speech! 👏🏽💯
565
5,701
360
17,893
624,934
Tiwa Savage & Fally Ipupa.🇳🇬🇨🇩❤
56
428
70
5,501
400,103
Replying to @EsquireMK
Mwaka umeisha 😁
1
1
1
46
Juzi Nimekupa mipango ya kuokota ukafeli 😁
1
1
1
59
Nitakua kwenye meza yako 😁
1
1
1
38
Maneno Uvuruge retweeted
Replying to @EsquireMK
🤣🤣 – at Dar es Salaam, Tanzania
1
1
1
33
Maneno Uvuruge retweeted
Namna hiyo
Kwenye hiki kibao - Bonane/Barua, King Kiki (Kikumbi Mwanza Mpango) alimuimba Mama Jesca pia. Jesca Kikumbi, ndiyo Boss wa Kitambaa Cheupe (Wakali wa night life) hapa mjini. Siku moja tutazama Pale wakilipa. 🔥😁😁 @MoruoKing @NgowiGold @1TraVeLA youtu.be/Ex1MOtAbV-A?si=5tE7…
1
1
1
37
Maneno Uvuruge retweeted
Replying to @EsquireMK @jwise017
46 😄
1
1
1
42
November ni kesho kutwa, tukutane kwa Fally
Kwenye hiki kibao - Bonane/Barua, King Kiki (Kikumbi Mwanza Mpango) alimuimba Mama Jesca pia. Jesca Kikumbi, ndiyo Boss wa Kitambaa Cheupe (Wakali wa night life) hapa mjini. Siku moja tutazama Pale wakilipa. 🔥😁😁 @MoruoKing @NgowiGold @1TraVeLA youtu.be/Ex1MOtAbV-A?si=5tE7…
1
1
53
Maneno Uvuruge retweeted
Nakubali kiongos Maneno Uvuruge 🤣
1
1
1
44
Kwenye hiki kibao - Bonane/Barua, King Kiki (Kikumbi Mwanza Mpango) alimuimba Mama Jesca pia. Jesca Kikumbi, ndiyo Boss wa Kitambaa Cheupe (Wakali wa night life) hapa mjini. Siku moja tutazama Pale wakilipa. 🔥😁😁 @MoruoKing @NgowiGold @1TraVeLA youtu.be/Ex1MOtAbV-A?si=5tE7…
1
1
2
1
203
CBO anajua kuimba sana. Makosa si yake,makosa labda ya kazi. TUKUSA - Tunajua Kuimba Sana, kuna namna waanze kuishi nae CBO. Wanicheck pale info@lextadavisory.co.tz tuondoke mtaa kwa mtaa!
1
46
Miziki ya miziki…🤝
1
1
35