Sir ENEK 📚 retweeted
“If you feel pain, you are alive.
If you feel other people's pain, you are a human being.”
—Leo Tolstoy
Sir ENEK 📚 retweeted
“Siku 577 nikiwa gerezani kwa kuitwa Mhaini,kosa ambalo kwa katiba ya nchi yetu ndio kosa kubwa kuliko yote katika Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kosa pekee linalotamkwa kwenye Katiba.Kwa mujibu wa nilichoshtakiwa nacho adhabu yake ni kifo,baada ya siku 577 ya hilo wingu jeusi ya adhabu ya kifo leo Waheshimiwa Majaji mnaniita Mchochezi kosa ambalo wala halina adhabu,ndio maana wakili wa serikali Katuga anahangaika kutafuta sasa hili adhabu yake ni nini?
Maana yake nililoshtakiwa nalo halikuwa kosa na nyie leo mmesema wenyewe kuwa sio kosa.
KWAHIYO NILIKAA SIKU 577 BILA KOSA LOLOTE.
KAULI YENU KUWA HALIKUWA KOSA MMEKUBALIANA NA MIMI”Mwenyekiti Lissu
Sir ENEK 📚 retweeted
29/10 TO THE FALLEN HEROES 🕊️
Gone but never forgotten, Your sacrifice will forever live in our hearts.
May your souls rest in eternal peace.
We Remember. We Honour. We Will Never Forget. 🙏
Sir ENEK 📚 retweeted
Matriculated into the @UniofOxford to read for a Doctor of Philosophy in Law.🙏🏽
Bigger mind Mkato
Mtu anateuliwa kuwa DC
Vyombo vya habari vinaandika na kutangaza kwa kusema
flani AULA uDC Meatu
flani AULA uDC Arumeru
Hapo kwenye mindset ya AULA ndipo panaposababisha matatizo yote haya!!
Jamii inayochukulia uteuzi wa uongozi ni kuula,kutoboa,kupewa shavu,kupiga mshindo….tunatengeneza wapigaji wa miamala na sio wawajibikaji wa raia!!
1
17
Sir ENEK 📚 retweeted
Sometimes a random video says more about
politics than an actual political speech.
Sir ENEK 📚 retweeted
The IDU is gravely concerned by today's High Court ruling in Dar es Salaam ordering our Vice Chairman @TunduALissu to stand trial for treason — a charge carrying the death penalty.
After 16 months in detention for a speech, this ruling prolongs a politically motivated prosecution designed to silence Tanzania's opposition. We call for his immediate and unconditional release, and urge democratic governments worldwide to do the same. #FreeTunduLissu 🇹🇿
Sir ENEK 📚 retweeted
Tuchukue vijana toka shule za vipaji kama Kibaha, Ilboru, Mzumbe, Tabora nk, tuwasimamie wapate vyuo vya nje vinavyo ongoza katika Teknolojia, wasome wapate ujuzi kisha tuwarudishe nchini tuwape nyezo wanazohitaji ili wafanye mabadiliko makubwa katika Teknlojia na Uhandisi nchini
Sir ENEK 📚 retweeted
Hiyo Kesi ni Uthibitisho kwamba; “KUNA TOFAUTI KATI YA ELIMU NA AKILI”. Lakini pia, TUNDU LISSU amethibitisha kwamba; “AKILI HAZIFUNGWI PINGU”. Kajipigia KAVU KAVU.😂😂
Sir ENEK 📚 retweeted
Wakati mwingine ushindi mkubwa si kuwashinda wengine, bali ni kujishinda wewe mwenyewe. Good Morning Fam💜
Sir ENEK 📚 retweeted
Mungu anaweza kubadilisha hali ya mtu kwa ya haraka sana na kwa njia ambayo hukutarajia 😊
Unakumbuka Story ya Ruth kuwa mwanamke maskini aliyekuwa anafanya kazi shambani ili kupata chakula, lakini badae Mungu alimfungulia njia na kuwa mmiliki wa Shamba hilo kupitia ndoa yake na Boaz.
Kuna muda tunachukulia Neema za Mungu poa sana, tunasahau aliko tutoaa hatushukuru hata kwa kidogo tunachopata 😂
Anyway Mungu atukumbuke kwenye Neema zake kama Ruthu 4:9-10, Ruthu 2:8-9, Ruthu 2:2-3.
Sir ENEK 📚 retweeted
Kuna vitu freed me entirely nilipogundua mafanikio yanatoka ndani yangu na sio nje. Something happened to me that revolutionized me forever. I demand more of myself, not externals.
Sir ENEK 📚 retweeted
Miaka miwili iliyopita nilikuwa na wazo tu.
Leo nina bidhaa inayofanya kazi.
Kati ya hapo kulikuwa na:
• Mistari mingi ya code
• Features nilizodhani kila mtu angezipenda, lakini hakuna aliyekuwa anazitumia
• Bugs za ajabu zinazotokea usiku kabisa wakati umechoka
• Mara kadhaa za kutaka kuachana na kila kitu
• Mara kadhaa za kurudi kuanza upya kwa sababu sikuwa nimeridhika na nilichokuwa nimejenga
• Na mafunzo mengi kuliko nilivyowahi kufikiria
Watu wengi wanaona matokeo ya mwisho.
Hawaoni zile siku ambazo unafanya kazi peke yako na hakuna anayejua unaendelea na nini.
Hawaoni zile nyakati ambazo unaamua kufuta miezi ya kazi na kuanza tena kwa sababu unaamini bidhaa inaweza kuwa bora zaidi.
Kwa muda mrefu nilihisi bado haikuwa tayari.
Leo ninaiona tofauti.
Sioni kama ni perfect, lakini ninaiona inafaa kuanza kutatua matatizo ya watu badala ya kuendelea kusubiri.
Safari bado ni ndefu.
Lakini tunaendelea.
Sir ENEK 📚 retweeted
Code##
Kila nikiangalia juu ya kiti cha Malkia simuoni. Naona kiti kikiwa wazi na mwanaume mwingine amesimama nyuma ya hicho kiti. Kiti cha ufalme kipo wazi. Hakijakaliwa na mtu. Ameondoka hataonekana tena. Nilimuona yule mwanaume anawaza atafanya nini baada ya Malkia kuondoka.




























