DETU (@Detu001) header
DETU (@Detu001) profile picture

CEO | Finance & Fashion Get funding. Grow faster. Premium, modern clothing.

Tanzania
Joined August 2022
Photo by DETU (@Detu001)Photo by DETU (@Detu001)Photo by DETU (@Detu001)Photo by DETU (@Detu001)Photo by DETU (@Detu001)Photo by DETU (@Detu001)Photo by DETU (@Detu001)Photo by DETU (@Detu001)Photo by DETU (@Detu001)Photo by DETU (@Detu001)
Jeans kali, na exposure juu😁
Mwanangu @Detu001 amekuja kunisalimia ikabidi ni mshawishi ahamie kwenye Bagg Jeans ndiyo nguo ambayo sasahivi kila Mtu anatakiwa avae, Bagg Jeans na T shirt kutoka The Mandevu Store.👊🏾
1
68
Hapa elimu tutaisingizia tu, huyu akili hana kabisa
Mambo ya blood group unasema miujiza, kichwa mfupa 😂😂😂 #TuesdayVAR
1
220
Replying to @Detu001
Ukweli ndio huo
1
1
147
😅😅😅
1
1
1
15
Replying to @Detu001
Sahihi
1
1
287
DETU retweeted
Replying to @Detu001 @Aruatani
Nope Boss, PLC ni Public Limited Company. Private company ni Ltd
1
1
17
Replying to @Detu001
😂😂
1
1
81
Na huu ndo ukweli wenyewe @og_outfits
Replying to @og_outfits
Tunaomba namba kwa mihemko ila baada ya kuomba namba huwa tunafikiria kuwa tunaongeza bajeti zisizo za msingi, tunaongeza matatizo juu ya matatizo ndo mana huwa hatuwatafuti tukisha waza ivyo
1
3
140
Replying to @Detu001
Kabisa mkuu wangu
1
1
32
Replying to @Detu001
Ni adimu sana hizo
1
5
862
Do you remember when you joined X? I do! #MyXAnniversary
1
89
Hili Hapa. LessGoooooooooooooooooooooooooooo
6
6
58
4,286
Hii kitu inawatesa vijana wengi sana wa vyuoni hasa dar, hili jambo bila serikali kutengeneza mazingira wezeshi kwa vijana, maana yake inasapport biashara ya ngono na ukahaba, KAMA JAMII TUWE TUNAWASAIDIA HAWA VIJANA WA CHUO ME NAUMIA SANA😭
Wanachuo wanateseka sana.
3
111
Unaweza ukajiona kama shule tulizosoma sisi ni makambi ya wasabato
Usikute majanja wa Ilboru ni ma allien huyu dogo anaongea kiingereza cha ndani ndani huko kama anameza uji hivi🙌🙌 Afu yupo nondo kinyama hata kama sijui anaelezea vitu gani. Hapa pongezi kwa walimu wao inaonekana wana wasupport sana madogo🙌🙌 Mjomba @elonmusk angalia hii akili itakufaa sana pale Space X
1
1
1
122
Ila wao kutoka zenji kuja songea kuuza alkasusu ni sawa
Bajeti Kuu ya Zanzibar mwaka 2016/17 ilikuwa bilioni 842. Bajeti Kuu ya Zanzibar mwaka 2021/21 ikawa Trilioni 1.5 Bajeti Kuu ya Zanzibar mwaka 2026/27 ni Trillion 8.82. Zanzibar imetoa wapi kiasi kikubwa hivi cha pesa ndani ya muda mfupi kiasi hiki? Ni muujiza?🤔🤔🤔🤔
1
59
Replying to @Detu001
Netflix au Moviebox kaka
1
1
1
187
Riba hupungua kadri deni linavyozidi kupungua..
2
1
2
292
Naam 👊🏾
Ndiyo napiga supu yakunifikisha usiku ili pesa yangu ya kula mchana nichangie pale tone tone.
6
27
143
5,962
Msamehe mwanetu rahma, mtu hadi kaomba msamaha hivo ni uungwana sana, haimanishi udhaifu! Msamehe jamaa,
86