Umeingia zako job saa 12 asubuhi, Cm ina charge 100%. Unatoka ina 98% ukiwa hujui chochote kinacho endelea huko online.
Unawasha data unakutana na vijana wanashangilia connection ya Mama, Dada au Mdogo wako😪
Kiukweli inaumiza sana. Cheka sana ila usiombe haya mambo yakukute.
COSMASI MBABA retweeted
Mtu anaambiwa tairi la gari lake la upande wa kushoto halina upepo , anamtukana anayempa taarifa ,kuna watu hamnazoo 🚮
COSMASI MBABA retweeted
Huyu Binti anaomba kazi, binafsi namjua kidogo ila anatabia nzuri pia anaonekana ana nidhamu nzuri ashawahi kufanya kazi ya kuuza vifaa vya muziki na kuuza nguo za watoto ana elimu ya kidato cha nne.
Naomba repost yako hapa apate kazi.🙏
COSMASI MBABA retweeted
Huyu bidada kipindi anaanza miziki alionekana ana potential kubwa sana sijui amefeli wapi hadi consistency imeshuka.
Binafsi pisi ikija magetoni hua silali labda yeye ndio alale na vilevile hata nikienda kwenye geto la demi mimi silali labda yeye ndio alale kwanza sipatagi usingizi😄
1
3
93
COSMASI MBABA retweeted
Movie za kibongo ikiwa inaanza yanaoneshwa maghorofa ya posta kwa juu ila scene za movie ikianza wanaonesha imechezewa nyumba za uswahilini ,huwa wanamaana gani kuonesha majengo ya posta😁😁
COSMASI MBABA retweeted
Unaweza kupata wanawake wengi sana wa bure shida unachagua ambao unawapenda na hawakupendi😮💨😮💨💔
























