K I U M B E OG (@Chipson96_) header
K I U M B E OG (@Chipson96_) profile picture

I think time take me where I required to be, Lifetime. Chelsea fans 💙 GodDid.

Ghetto Ambassador 😂
Joined January 2021
Photo by K I U M B E OG (@Chipson96_)Photo by K I U M B E OG (@Chipson96_)Photo by K I U M B E OG (@Chipson96_)Photo by K I U M B E OG (@Chipson96_)Photo by K I U M B E OG (@Chipson96_)Photo by K I U M B E OG (@Chipson96_)Photo by K I U M B E OG (@Chipson96_)Photo by K I U M B E OG (@Chipson96_)Photo by K I U M B E OG (@Chipson96_)Photo by K I U M B E OG (@Chipson96_)
K I U M B E OG retweeted
#Rt Kilicho bora muda wote, ndio maisha. Kwa mawasiliano 0756056029
1
1
21
K I U M B E OG retweeted
#RT kijana wenu nipate Michongo , kama unahitaji mafundi wazoefu na wenye kujua kazi tupigie #0756056029
1
1
14
K I U M B E OG retweeted
Kazi kama hizi hapa. #0756056029
1
1
9
K I U M B E OG retweeted
Kwa mahitaji ya kazi za fundi Chuma #SteelFixer, karibu tukuhudumie , kazi nzuri hudumu kwa muda mrefu popote Tz tunakufikia. Kwa mawasiliano 0756056029
1
1
7
K I U M B E OG retweeted
Africans, let's make this the most liked photo of the Week
554
10,581
233
183,644
1,996,833
Leo tarehe 30 Desemba 2025, Mimi, Wakili Mzee Mpale Mpoki, na Wakili Hekima Mwasipu tulikwenda kumuona Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Antiphas Lissu, katika Gereza la Ukonga. Yu katika hali ya afya nzuri kiasi kwani kiwango chake cha sukari kwenye damu kimeongezeka kiasi ila Daktari amemuhakikisha kuwa kitadhibitika na kurudi hali ya awali kwa kuendelea kutumia dawa na Chakula. Ametueleza kuwa amepokea barua kutoka kwa Naibu Msajili wa Mhakama Kuu ya Tanzania kuwa kesi yake itapangwa katika kikao maalumu cha Mahakama. Hata hivyo ikumbukwe kuwa sasa Mahakama Kuu ipo likizo hadi tarehe 31 Januari 2026. Mwenyekiti Lissu amesisitiza kuwa uhaini ni kosa pekee lililotajwa katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania ya Mwaka 1977 na hivyo halitakiwi kuendeshwa na kushitakiwa kwa utaratibu wa makosa mengine ya jinai. Tutafikisha maelezo haya kwa uongozi wa Mahakama. Vinginevyo amesema watu wawe imara na kuwa ATARUDI NA KUWA NASI.
73
414
13
1,260
69,387
Mmepewa jukumu gumu sana, jukumu ambalo linaweza kulaani maisha yenu pamoja na familia zenu sasa na hata kwa vizazi vijavyo. Mnapaswa kuacha jambo hili mara moja, haraka iwezekanavyo. Endapo mtaendelea kukaidi, na kwa kuwa dhamira si njema, basi kuanzia sasa Mwenyezi Mungu ataanza kushughulika na kila mmoja wenu katika hilo kundi. Maumivu kwa jamii ni makali sana. Tambueni mshahara wa dhambi ni mauti. Hili ni onyo kutoka kwa Mwenyezi Mungu, kwepeni adhabu yake kwa matendo ambayo hayakuwa ya kwenu. Kimbieni hizo posho, kwanza kwa umri wenu hata kula ni kwa masharti. Msilaani kesho ya wajukuu zenu. Mungu awasaidie na nuru yake iwape ujasiri.
84
227
6
1,449
69,006
K I U M B E OG retweeted
TAARIFA KUTOKA OYSTERBAY POLISI Kuna ofisa wa Jeshi la Polisi anaitwa Hamza, anashikiliwa kituo cha Polisi Oysterbay tangu Novemba 6 kwasababu amepata ugonjwa wa afya ya akili (kichaa) ambacho kimemfanya aanze kutoa siri zao kuhusu Ukatili waliotufanyia Oktoba 29. Waliomuona wanasema Hamza amefungiwa kwenye chumba cha peke yake na anaongea hovyo, kila mara anarudia maneno yale yale anasema “Walinipa silaha nikauwe watu kwenye maandamano, nimeuwa watu wengi sana mpaka ndugu zangu” Na wakati mwingine anapiga kelele za kuomba msaada kwa sauti kubwa anasema “Huyo huyo ananifuata na panga nisaidie anataka kuniua, nisamehe nimekosa ni maboss wangu wanilinitumia, sikufanya kwa hiyari” Aliyesema damu ya mtu huwa haiendi bure hakukosea maana tayari damu za ndugu zetu zimeanza kudeal na waliohusika kumwaga damu za ndugu zetu na huu ni mwanzo tu kila aliyeshiriki kumwaga damu za Watanganyika wenzetu zaidi ya elfu kumi hatobaki salama. Damu za ndugu zetu zitaendelea kuwalilia mpaka siku mnaingia kaburini kama ambavyo damu ya Habili ilimlilia Kaini,
85
345
17
2,079
78,621
K I U M B E OG retweeted
Ni mwaka na miezi 6 sasa WALIONIUMIZA hawajakamatwa zaidi SERIKALI imenifungulia mimi KESI baada ya kujaribu kuniteka tena kwa kipindi chote na kushindikana. Mtekaji wangu na aliepelekea mimi kuumizwa nilimtaja anaitwa ZCO FAUSTINE MAFWELE-hakuna hatua imechukuliwa dhidi yake zaidi amepewa zawadi ya kupandishwa chezo kwa KUNITEKA. HAKI YANGU MIMI HAITAPOTEA HILI NINAUHAKIKA NALO, NITAENDELEA KUIDAI KILA SIKU MAANA NDIO KUSUDI LA MUNGU KUNIACHA HAI TENA. TUTAKUWEPO🫵😎
32
183
5
1,197
47,113
K I U M B E OG retweeted
Kuiiba ngoma ya kijiji sio tabu, kupata mahali pa kuipigia na kucheza kwa amani ndicho kipengele.
11
43
1,926
K I U M B E OG retweeted
MAANDAMANO YA #D25 MADAI YETU NI-; 1. Uchaguzi ufutwe 2. Miili ya ndugu zetu irudishwe. 3. Ndugu zetu waliotekwa warudishwe. 4. Katiba Mpya na Tume huru ya Uchaguzi. 5. Mauaji na Utekaji vikomeshwe. 6. Waliouwa ndugu zetu Oktoba 29 wawajibishwe.
96
449
6
1,966
46,282
K I U M B E OG retweeted
Huu ni MSIBA WA DIKTETA JIKE. Wote tuseme AMEN wanangu. TUTAKUWEPO🫵😎
48
171
5
1,070
33,288
K I U M B E OG retweeted
Tanganyika ni Tanzania Bara lakini Zanzibar ni Zanzibar, kwanini isiwe Tanzania visiwani kama ilivyo Tanzania Bara. Wasituchanganyee hawa.
1
1
107
its happening wanatoka wakombozi alafu ni majanki tu ya 2000 ila yana mioyo ya kizalendo balaaa
7
37
1
290
10,810
📍Mwanza #D9 Hatumtaki Samia ✊🏽🇹🇿 Jamani wanajeshi hawana ishu wao wapo tu wapiteni nendeni zenu 💪🏽 Kama anakuzuia askari piga picha nitumie tunaandaa ripoti Freedom of movement is key! There is no curfew just ILLEGAL LOCKDOWN that is not justified #D9Tunatoka
81
728
13
3,112
223,470
Sehemu mbali mbali Nchini watu wanaendelea kuingia kwa kasi Barabarani. #D9.
67
194
11
758
129,564
K I U M B E OG retweeted
““Vijana mkadai haki yenu kwa amani bila fujo yoyote”-; Sheikh
23
361
11
1,540
43,141
🔷🔷🔷👇
15
248
3
1,283
19,768
K I U M B E OG retweeted
"Nimeona makaburi ya watu ambao hawakutaka kupigana kwa sababu waliogopa watakufa." — Che Guevara
19
244
4
1,999
39,944