K I U M B E OG (@Chipson96_) header
K I U M B E OG (@Chipson96_) profile picture

I think time take me where I required to be, Lifetime. Chelsea fans 馃挋 GodDid.

Ghetto Ambassador 馃槀
Joined January 2021
Photo by K I U M B E OG (@Chipson96_)Photo by K I U M B E OG (@Chipson96_)Photo by K I U M B E OG (@Chipson96_)Photo by K I U M B E OG (@Chipson96_)Photo by K I U M B E OG (@Chipson96_)Photo by K I U M B E OG (@Chipson96_)Photo by K I U M B E OG (@Chipson96_)Photo by K I U M B E OG (@Chipson96_)Photo by K I U M B E OG (@Chipson96_)Photo by K I U M B E OG (@Chipson96_)
Hapo lazima akuuwe hahaha
Jamaa watu walikua wakimuona wanazimia, Utukufu kama huu Mungu hawezi kukubali uishi nao 馃ぃ
1
49
Hapa utadaiwa kistarabu kama familia Ina unafuu wa maisha
Yupi Anadai Kodi Ya Nyumba Kwa Ustarabu Kati ya hawa? 馃憠Mama Mwenye Nyumba 馃憠Baba Mwenye Nyumba
2
1
1
52
Hii mbaya sana
Mwanaume ukijifanya uko romantic sana lazima ukutane na matukio kama haya 馃槀馃槀馃槀
30
Ila kaka hahaha
Anafanana na Mwanawake weupe 馃ぃ
1
20
Anza kunitumia code tuishi wote
Kati ya mikeka 5 unaopumua ni 1馃珷
1
165
Ipo ngumu kuamini kulingana na sayansi yetu kuwa duni
Mtu yupo Tandahimba anabonyeza kioo kilichopo mkononi mwake anaongea na mtu wa New York, anaona watu wanapandikiza viungo na wanaishi, watu wanatumia maji kuzalisha umeme unaowasha mitambo na kuendesha magari, halafu bado anabisha kusikia watu wanauzunguka Mwezi. Hii nchi daah 馃檶
46
Hili wazo litaishi Siku zote mkuu...
Wazee hela zipo kwenye Uzalishaji, kila mtafutaji anayejielewa hakikisha siku moja una bidhaa yako sokoni.
1
2
435
Una uvumilivu kaka 馃槃
Mimi ndio mtu pekee ambae sjawahi Kumblock mtu, unaweza kunitukana uwezavyo, wala sjali na siumii kwa Chochote, wala pia siogopi kukosolewa public, Hivi ndivyo mtu unatakiwa kuwa Jifunze kuvumilia tamu na chungu, utajikuta automatic umekuwa imara.
20
K I U M B E OG retweeted
#Rt Kilicho bora muda wote, ndio maisha. Kwa mawasiliano 0756056029
1
1
21
#Rt Kilicho bora muda wote, ndio maisha. Kwa mawasiliano 0756056029
1
1
21
K I U M B E OG retweeted
#RT kijana wenu nipate Michongo , kama unahitaji mafundi wazoefu na wenye kujua kazi tupigie #0756056029
1
1
14
#RT kijana wenu nipate Michongo , kama unahitaji mafundi wazoefu na wenye kujua kazi tupigie #0756056029
1
1
14
K I U M B E OG retweeted
Kazi kama hizi hapa. #0756056029
1
1
9
K I U M B E OG retweeted
Kwa mahitaji ya kazi za fundi Chuma #SteelFixer, karibu tukuhudumie , kazi nzuri hudumu kwa muda mrefu popote Tz tunakufikia. Kwa mawasiliano 0756056029
1
1
7
Kwa mahitaji ya kazi za fundi Chuma #SteelFixer, karibu tukuhudumie , kazi nzuri hudumu kwa muda mrefu popote Tz tunakufikia. Kwa mawasiliano 0756056029
1
1
7
Dar kaa kwa rada, ooonh sio poa
Mtu mpaka unanunua kiwanja kwenye bonde la mto ni unakua umerogwa au ndio unataka kutoa gundu na wewe umenunua kiwanja Dar es salaam馃槀馃槀馃槀 Huyu mvua mbili tu msingi unaenda na maji馃槀
1
3
161
K I U M B E OG retweeted
Africans, let's make this the most liked photo of the Week
554
10,581
233
183,644
1,996,833
Leo tarehe 30 Desemba 2025, Mimi, Wakili Mzee Mpale Mpoki, na Wakili Hekima Mwasipu tulikwenda kumuona Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Antiphas Lissu, katika Gereza la Ukonga. Yu katika hali ya afya nzuri kiasi kwani kiwango chake cha sukari kwenye damu kimeongezeka kiasi ila Daktari amemuhakikisha kuwa kitadhibitika na kurudi hali ya awali kwa kuendelea kutumia dawa na Chakula. Ametueleza kuwa amepokea barua kutoka kwa Naibu Msajili wa Mhakama Kuu ya Tanzania kuwa kesi yake itapangwa katika kikao maalumu cha Mahakama. Hata hivyo ikumbukwe kuwa sasa Mahakama Kuu ipo likizo hadi tarehe 31 Januari 2026. Mwenyekiti Lissu amesisitiza kuwa uhaini ni kosa pekee lililotajwa katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania ya Mwaka 1977 na hivyo halitakiwi kuendeshwa na kushitakiwa kwa utaratibu wa makosa mengine ya jinai. Tutafikisha maelezo haya kwa uongozi wa Mahakama. Vinginevyo amesema watu wawe imara na kuwa ATARUDI NA KUWA NASI.
73
414
13
1,260
69,387