Chambilo Henricko (@ChambiloH) profile picture

marketing manager

Dar es Salaam, Tanzania
Joined October 2019
Photo by Chambilo Henricko (@ChambiloH)Photo by Chambilo Henricko (@ChambiloH)Photo by Chambilo Henricko (@ChambiloH)Photo by Chambilo Henricko (@ChambiloH)Photo by Chambilo Henricko (@ChambiloH)Photo by Chambilo Henricko (@ChambiloH)Photo by Chambilo Henricko (@ChambiloH)Photo by Chambilo Henricko (@ChambiloH)Photo by Chambilo Henricko (@ChambiloH)Photo by Chambilo Henricko (@ChambiloH)
Wapwa tuinuane please kumekucha
3
Wapwa tuinuane ucku huu
3
Chambilo Henricko retweeted
Mwanza nawapenda
85
200
10
2,263
Chambilo Henricko retweeted
HAPANA! HAPANA! HAPANA! Huu uhuni sio sawa
501
120
101
1,629
Jana Aigle Noir walipiga mpira mwingi mpaka nikawa najiuliza hii timu imekaa pamoja muda gani? Ikanilazimu nitazame msimamo wa Ligi Ya Burundi na kugundua wamemaliza nafasi ya 3.
2
3
51
Chambilo Henricko retweeted
Questions Thread .... 1. Uchaguzi Huu upo Upande Upi? Retweet Upinzani Like Chama tawala
7
11
2
110
Chambilo Henricko retweeted
Replying to @swahilitimes
Kenya walizoea sana kuionea Tanzania na kujiona kuwa wao ni mabeberu wa Afrika mashariki, sasa zama zimebadilika Tanzania, Wakenya wakimwaga mboga sisi tunamwaga ugali na maji ya kunawa. Jino kwa jino. We mean business
1
3
1
12
Chambilo Henricko retweeted
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetupilia mbali pingamizi dhidi ya mgombea Urais wa Tanzania kupitia CUF lililowekwa na mgombea wa CHADEMA. Katika pingamizi hilo Tundu Lissu ameeleza kuwa Prof. Ibrahim Lipumba hakurudisha fomu kwa mujibu wa masharti yaliyowekwa na sheria.
29
22
6
273
Chambilo Henricko retweeted
Bashiru tumekurahisishia kazi kabisa. 馃憠Mtume sasa Lipumba na Shibuda kuwa tuko NEC tunawasubiri.. 馃憠Yaani safari hii ni jino kwa jino yaani..Hakuna mambo ya tunamuachia Mungu hapa. Yaani kazi kazi Andaeni mgombea wenu maana MDAHALO uko pale pale tena kwa KIINGEREZA 馃ぃ馃槀
153
173
8
2,499
Chambilo Henricko retweeted
Replying to @kigogo2014
JPM hakutumia akili. Kupambana na mtu anayejua udhaifu wake ni jambo ambalo hakulijua lita mcost kiasi kwamba mpinzani ndio anazidi kuwa maarufu. Maana kila mtu atataka kujua ni nini kinachoendelea dhidi ya Lissu. Wanachi tunakuwa kama tunafwatilia tamthilia ya Lissu na JPM馃槀馃槀
1
7
1
166
Chambilo Henricko retweeted
Mgombea Urais wa Chadema Mhe. @TunduALissu, muda huu anaelekea Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi jijini Dodoma kuwasilisha fomu zake za mapingamizi dhidi ya wagombea wengine katika nafasi ya Urai, baada ya hapo atazungumza na Waandishi wa Habari Ofisi za Chadema.
36
58
2
1,231
Chambilo Henricko retweeted
馃憠Sisi kama sisi tumewekea mapingamizi wagombea wawili ..Meko inclusive.. Narudia MEKO INCLUSIVE yaani..Hakuna mteremko hapa. 馃憠Bado MDAHALO yaani 馃榾馃ぃ馃ぃ馃ぃ
132
173
7
3,017
Chambilo Henricko retweeted
Wameingia Madarakani tu wameanza ununuzi wa ndege ambazo hazina msaada wowote katika Uchumi wetu. Baada ya kuona WAMEKULUPUKA, wakaanza kukopa fedha kutoka nje, ili waendeleze miradi, ndiyo maana Deni letu la Taifa limepanda kwa asilimia kubwa. Mishara haipandi, ajira hakuna.
2
10
112
Chambilo Henricko retweeted
Baadhi ya wagombea wapya walinifata kwa ushauri. Nilichosema: kama umesukumwa na utumishi, wananchi watakukimbilia. Kama umesukumwa na mengine, wananchi utawakimbia. Kupata Ubunge sio uhodari, watu kuendelea kukuamini wakati unashughulikia shida zao ndio uhodari. Nawatakia heri.
135
185
22
2,702
Wapwa Tuinuane Kumekucha Mapema 馃檹
Chambilo Henricko retweeted
Mgombea Urais wa Chadema Mhe. @TunduALissu akiongea na wananchi wa jimbo la Mafinga.#SasaBasi
14
45
3
709