Charles Swai🇹🇿 🇰🇪 (@CDot1504) header
Charles Swai🇹🇿 🇰🇪 (@CDot1504) profile picture

Accountant| Social provocateur| Music Addict| Being myself is all that matters |Activist| Ocean Addict💙

Africa
Joined January 2011
Photo by Charles Swai🇹🇿 🇰🇪 (@CDot1504)Photo by Charles Swai🇹🇿 🇰🇪 (@CDot1504)Photo by Charles Swai🇹🇿 🇰🇪 (@CDot1504)Photo by Charles Swai🇹🇿 🇰🇪 (@CDot1504)Photo by Charles Swai🇹🇿 🇰🇪 (@CDot1504)Photo by Charles Swai🇹🇿 🇰🇪 (@CDot1504)Photo by Charles Swai🇹🇿 🇰🇪 (@CDot1504)Photo by Charles Swai🇹🇿 🇰🇪 (@CDot1504)Photo by Charles Swai🇹🇿 🇰🇪 (@CDot1504)Photo by Charles Swai🇹🇿 🇰🇪 (@CDot1504)
🙉😂😂😂😂
Wanasayansi wafanikiwa kwa mara ya kwanza kabisa kubaini neva za kisimi bbc.in/4zWzJr2
28
M.A.P
PUMZIKA KWA AMANI, BINTI. Kwa masikitiko makubwa na huzuni isiyoelezeka, tunakuaga wewe uliyeondoka duniani kabla ya wakati wako. Uhai wako umekatishwa kikatili na watu wazima waliopoteza utu, huruma na thamani ya uhai wa binadamu. Inasikitisha zaidi kusikia kwamba, licha ya vifo na maumivu ya wahanga, bado kuna wanaokimbilia kuendeleza kile wanachokiita MARIDHIANO, kana kwamba wamesahau kwamba UKWELI, HAKI NA UWAJIBIKAJI NDIO MSINGI WA MARIDHIANO YA KWELI NA YA KUDUMU. Binti, kifo chako hakitakuwa sababu ya sisi kunyamaza. Tutaendelea kudai na kupigania haki yako na haki ya wahanga wengine wote. Hatutakubali damu iliyomwagika, maisha yaliyopotea na machozi ya familia zilizofikwa na majonzi vifunikwe kwa pazia la maridhiano yasiyo na ukweli, haki wala uwajibikaji. MARIDHIANO SIYO KICHaka CHA KUJIFICHA KUKWEPA UWAJIBIKAJI. Hatuwezi kujenga amani ya kweli kwa kusahau waliopoteza maisha yao wala kwa kuwanyima wahanga haki wanayostahili. Pole sana kwa familia, ndugu, jamaa na wote walioguswa na msiba huu mzito. Hakuna maneno yanayoweza kufuta maumivu yenu. Tunawaombea nguvu, faraja na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu. PUMZIKA KWA AMANI, BINTI. HAKI YAKO TUTAENDELEA KUIDAI. KUMBUKUMBU YAKO HAITAFUTIKA. ××××××××××××××××××××× REST IN ETERNAL PEACE, DEAR DAUGHTER. With profound sorrow and indescribable grief, we mourn your untimely departure from this world. Your life was cruelly cut short by adults who appear to have lost their humanity, compassion and respect for the sanctity of human life. What makes this tragedy even more heartbreaking is hearing that, despite the deaths, suffering and anguish of victims and their families, some are still determined to proceed with what they call RECONCILIATION, as though they have forgotten that TRUTH, JUSTICE AND ACCOUNTABILITY ARE THE VERY FOUNDATION OF GENUINE AND LASTING RECONCILIATION. Our beloved daughter, your death will not silence our voices. We shall continue to demand and fight for justice for you and all other victims. We shall not allow the blood that has been shed, the lives that have been lost and the tears of grieving families to be buried beneath a false veil of reconciliation that has neither truth, justice nor accountability. RECONCILIATION MUST NEVER BECOME A SANCTUARY FOR THOSE SEEKING TO EVADE ACCOUNTABILITY. There can be no genuine and lasting peace built upon forgotten lives, suppressed truths and denied justice. My deepest condolences go to your family, relatives, loved ones and everyone affected by this heartbreaking loss. REST IN ETERNAL PEACE. WE SHALL CONTINUE TO DEMAND JUSTICE FOR YOU. YOUR MEMORY SHALL NEVER BE ERASED. BAK MWABUKUSI
19
WTF 🙉
Look at nonsense these ones are doing. This is how they will do house party, take drugs and kpai
1
390
Charles Swai🇹🇿 🇰🇪 retweeted
LISSU KORTINI TENA, SAFARI HII KWA KESI YA MAKOSA YA KIMTANDAO Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA, Tundu Lissu, anatarajiwa kufikishwa tena katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Novemba 19, 2026, kwa ajili ya kutajwa kwa kesi nyingine ya jinai inayomkabili ya kuchapisha taarifa zinazodaiwa kuwa za uongo kupitia mtandao wa YouTube. Kesi hiyo, namba 000008606 ya mwaka 2025, ilifunguliwa Aprili 10, 2025, na inahusisha mashtaka matatu chini ya Sheria ya Makosa ya Kimtandao. Kwa mujibu wa hati ya mashtaka, Lissu anadaiwa kuchapisha taarifa zinazohusu kuondolewa kwa wagombea wa CHADEMA katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa 2024, polisi kutumika kuiba kura na majaji kudaiwa kuwa wanachama wa CCM wasioweza kutenda haki. Lissu alikanusha mashtaka yote aliposomewa kwa mara ya kwanza Aprili 10, 2025. Kesi hiyo ni tofauti na kesi ya uhaini iliyohitimishwa hivi karibuni, ambapo Mahakama Kuu ilimuondolea Lissu shtaka la uhaini, lakini ikamkuta na hatia ya uchochezi na kumhukumu kifungo cha miaka minne jela. Hukumu hiyo imeibua mjadala wa kisheria, huku mawakili wa Lissu wakiwasilisha notisi ya kukata rufaa kupinga kutiwa kwake hatiani na adhabu aliyopewa.
10
5
1
57
8,068
Sawa
Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, anatarajiwa kurejea katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, Novemba 19, 2026, kwa ajili ya kutajwa kwa kesi nyingine ya jinai inayomkabili ya kuchapisha taarifa zinazodaiwa kuwa za uongo kupitia mtandao wa YouTube. Kwa mujibu wa taarifa iliyochapishwa na gazeti la Mwananchi la leo Alhamisi, Novemba 12, 2026, kesi hiyo ya jinai namba 000008606 ya mwaka 2025 ina mashtaka matatu chini ya kifungu cha 16 cha Sheria ya Makosa ya Kimtandao ya mwaka 2015. Shauri hilo linatarajiwa kutajwa saa 4:00 asubuhi mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Msafiri Calist. Kesi hiyo ilifunguliwa Aprili 10, 2025, sambamba na kesi ya uhaini iliyokuwa ikimkabili Lissu, ambapo mashtaka yanahusiana na kauli alizodaiwa kuzitoa Aprili 3, 2025, kuhusu uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2024, matumizi ya polisi katika uchaguzi na uadilifu wa majaji. Katika shtaka la kwanza, Lissu anadaiwa kuchapisha kupitia YouTube taarifa kuwa wagombea wa CHADEMA katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa walienguliwa kwa maelekezo ya Rais. Shtaka la pili linahusu madai yake kuwa polisi walitumika kuiba kura wakiwa na vibegi, huku shtaka la tatu likihusu kauli kuwa majaji ni wanachama wa CCM na wanashindwa kutenda haki kwa kutegemea teuzi na nafasi za majaji wa Mahakama ya Rufani. Lissu alifikishwa mahakamani Aprili 10, 2025, na kukanusha mashtaka yote matatu. Kwa mujibu wa gazeti hilo, wakili wake, Jebra Kambole, amesema kesi hiyo bado ipo katika hatua ya kutajwa na haijafikia hatua ya usikilizwaji wa awali. Kurejea kwake mahakamani kunakuja siku 13 tangu Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imhukumu kifungo cha miaka minne jela kwa kosa la uchochezi, baada ya kumkuta hana hatia ya shtaka kuu la uhaini. Hukumu hiyo ilitolewa na jopo la majaji watatu wakiongozwa na Jaji Dunstan Ndunguru, akisaidiwa na James Karayemaha na Ferdinand Kiwonde. Wakati huohuo, hukumu hiyo imeibua mjadala wa kisheria kuhusu aina na kiwango cha adhabu iliyotolewa, huku mawakili wa Lissu wakiwasilisha notisi ya kukata rufaa kupinga hukumu na adhabu hiyo. Kesi mpya inayomkabili sasa ni shauri tofauti na lile la uchochezi, na itasikilizwa kwa utaratibu wake chini ya Sheria ya Makosa ya Kimtandao.
24
WTF🙉
This Post is from a suspended account. Learn more
94
This
. @godbless_lema msikilize Lissu kwa makini. ‘ikiwa hali itakuwa mbaya, mapambano yataendelea” Huu ndio msimamo wa Tundu Lissu, mwanaume mwenye balls. Sasa hizo “strategic engagements” zako zikome mara moja. Lissu hataki kutoka kwa njia haram unazofanya wewe na watesi wetu. Anataka kutoka kwa kutumia utawala wa sheria ili aweze kuwa mpinzani wa kweli. Lissu hataki kurudia kosa la Mbowe, kutoka jela kwa “huruma” za watesi wake. Kila Mtanzania anaelewa kuwa mtu unapokubali uhuru wako uwe chini ya mwenyekiti wa CCM, kwamba yeye ndo anaweza kukufunga na kukuachia huru, huwezi kuwa mpinzani wake bali utakuwa puppet wake huku unajifanya mpinzani. Mfano huu tuliona kwa Mbowe, alikaza siku zote mpaka siku alipokubali kutoka jela kwa maelewano na Samia Suluhu na sio kutoka kwa utawala wa sheria. HILI KOSA HALITAKIWI KURUDIWA EVER AGAIN!!!!!! Lissu kaamua kukaza mpaka haki itakapopatikana, sasa nyie wanasiasa wa hovyo mnaojifanya mnampenda Lissu kuliko wananchi ambao Lissu anawapigania tulizeni makalio yenu yaliofika bei za kina Abdul. Lissu hataki short cut na Watanzania hatutaki short cut. TUNATAKA UTAWALA WA SHERIA NA HAKI na sio mambo ya kupigia simu na kuwapiga magoti watesi wetu……
42
Charles Swai🇹🇿 🇰🇪 retweeted
Mwenyekit Tundu Lissu amehukumiwa kifungo cha miaka minne kwa kosa la uchochezi ambalo, kwa mtazamo wangu, ni la kutengenezwa. Safari sasa ni kwenda Mahakama ya Rufaa, lakini tusisahau kwamba hata Mahakama ya Rufaa haiwezi kuwa mbadala wa dhamiri ya umma katika kutetea haki na kupinga matumizi mabaya ya mifumo ya dola. Mahakama ya rufaa ya Lissu haipaswi kuwa Mahakama ya Rufaa pekee. Inapaswa kuwa umma wote tunaohofia kwamba kesi hizi zinatumika kama njia ya kuwanyamazisha na kuwadhibiti wanasiasa wakosoaji. Hatari kubwa zaidi si kifungo cha Lissu pekee. Ni uwezekano wa kifungo kutengeneza mazoea hatimaye kuwa sehemu ya mfumo wa kawaida wa kudhibiti upinzani. Hapo ndipo tunapopaswa kuwa na wasiwasi. Leo hukumu imetolewa, lakini nchi inaendelea na shughuli zake kana kwamba hakuna jambo kubwa lililotokea. Kana kwamba ni mtu mwingine wa kawaida tu aliyefungwa. Hii ni ishara inayopaswa kutufanya tutafakari kwa kina kuhusu hali ya dhamiri ya jamii yetu. Watu wengi, wakiwemo wanachama wetu, tayari wako mahabusu. Tusipojiuliza kwa pamoja tunakoelekea, tunaweza kuamka siku moja na kukuta magereza yamekuwa sehemu ya kawaida ya maisha ya kisiasa ya nchi yetu. Uonevu hauzuiliwi na nguvu ya waliouonewa pekee, bali pia na dhamiri ya jamii inayokataa kuuzoea. Kukaa kimya mbele ya jambo linalogusa haki za msingi za binadamu kunaweza kuifanya jamii izoeane na hali ambayo kesho inaweza kumkuta yeyote kati yetu.
501
137
73
1,321
292,342
Wapumbavu sana
This Post is from a suspended account. Learn more
250
Kaka kwani acc yako wamedukua au?
Kifungo cha Lissu cha miaka minne jela si haba, Atatoka akiwa na adabu. Nchi ina sheria, na nchi ni Huru. Vifo vya Watanzania 518 amgalau wamefutwa machozi.... Sasa ni zamu ya Heche na wote waliohusika katika uchochezi huu kukamatwa na kufungwa.
95
Boda zinamaliza sana maisha ya watu kwakweli😪😪
Mwanafunzi wa mwaka wa tatu Chuo Cha TIA Dar es Salaam, Loveness amefariki kwa ajali ya pikipiki (bodaboda) baada ya kugongwa na lori wakati akiwa anaelekea chuoni. Taarifa ya kifo chake imetolewa na rais wa chuo hicho Mr Sabato mchana wa leo. Tunatoa pole kwa wanafunzi wa TIA, ndugu na marafiki wa mpendwa wao #RIP
64
Charles Swai🇹🇿 🇰🇪 retweeted
Sheria ya sasa ya uchaguzi haiiruhusu nchi kuwa eneo salama la kuishi, bali kuwa koloni la kifalme la mtawala ambaye atjiweka kwenye serikali na kujiondoa hadi atakapotaka Katiba mpya ndio mzizi, tuipate kabla ya 2028
10
115
3
466
13,203
Charles Swai🇹🇿 🇰🇪 retweeted
PADRE ALIMKUTA MTOTO ANALIA KWENYE GRADUATION YA FORM 4 KWA SABABU MAMA NA BABA YAKE WALIUAWA ILE OKTOBA 29
8
231
2
918
13,303
Charles Swai🇹🇿 🇰🇪 retweeted
PhD......
17
167
4
805
42,397
Charles Swai🇹🇿 🇰🇪 retweeted
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Dkt. Charles Kitima, amesema viongozi wa Kanisa hilo walitoa tahadhari mapema kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhusu hatari ya kutorekebisha kasoro za uchaguzi, akieleza kuwa walionya kuwa hali hiyo ingeweza kusababisha maafa nchini. Akizungumza Oktoba 29, 2026, wakati wa misa ya kuwaombea marehemu na waathirika wa matukio ya Oktoba 29, 2025, Padre Kitima amesema Januari 8, 2024, Maaskofu walikutana na Makamu Mwenyekiti wa CCM mjini Dodoma na kumweleza wasiwasi wao kuhusu mwenendo wa uchaguzi, wakirejea changamoto walizoziona katika chaguzi za mwaka 2019 na 2020. Amesema katika mazungumzo hayo, kiongozi huyo wa CCM aliwaahidi kuwa masuala waliyoyawasilisha yangefanyiwa kazi ili yasijirudie, lakini baadaye walishuhudia matukio ya kutoweka na kuuawa kwa baadhi ya watu, hali iliyozidisha wasiwasi wao kuhusu usalama na mwenendo wa siasa nchini. Padre Kitima ametaja matukio ya kutoweka kwa Shadrack Chaula mwezi Agosti 2024 na Deusdedit Soka Agosti 13, 2024, pamoja na kuuawa kwa Aliyef Kibao mwezi Septemba mwaka huo, akisema matukio hayo yalihitaji hatua za dhati za kuhakikisha haki inatendeka na watu wanawajibika kwa matendo yao. Amesema pia matukio yaliyowakumba wanaharakati kutoka Kenya na Uganda, akiwataja Agatha na Boniface, yanaonesha umuhimu wa kutambua makosa yaliyofanyika na kuomba msamaha kwa waathirika, huku akisisitiza kuwa jamii ina wajibu wa kutafakari matendo yake na kutafuta njia ya kurejesha haki na utu. Akihusisha tahadhari hizo na kumbukumbu ya matukio ya Oktoba 29, 2025, Padre Kitima alisema Watanzania wanapaswa kutubu, kuomba msamaha kwa Mungu na kuwaombea waliopoteza maisha, akieleza kuwa maombi hayo yanapaswa kwenda sambamba na kujirekebisha ili matukio kama hayo yasijirudie. Amesisitiza kuwa toba ya kweli inahitaji kuondokana na kiburi na kupanda mbegu za ukweli, unyenyekevu na upendo, akieleza kuwa hayo ndiyo msingi wa msamaha na maridhiano ya kweli katika jamii.
19
130
9
507
22,418
Mwanaume unaoga unachana nywele vizuri unaingia Live Tiktok saa 6 mchana! Mada za mahusiano? Kwakweli Mungu atusaidie sana.
48
Kwakweli Doumbia aende zake tu🙉
63
Kama sikosei si punde serikali itatolea tamko hili jambo
Watombaj* kazi kwenu😂🫵🏽
39
Sawa
Ee Mungu, tunaomba toba na msamaha kwa kauli hizi. Labda unatuadhibu kwa kauli hizi baadala ya mvua za El-nino tunaliona jua kali kama mbadala. Funga vinywa vinavyoukufuru ukuu na mamlaka zako ulizoweke hukumu zao ziwe juu yao. Bikira Maria kitisho cha mashetani. Tuombee.
47
Sawa
ITIFAKI: Kwa mujibu wa Komredi MOHAMED KAWAIDA, Itifaki ipo hivi: 1. MUNGU 2. MTUME MUHAMAD 3. SAMIA SULUHU HASSAN.
55