Geraldjasanya retweeted
Bilioni 5 kwa Barabara ya UVINZA
#Magufuli5Tena
Geraldjasanya retweeted
Rais wa Burundi amhakikishia @MagufuliJP ushindi, adai warundi wanatamani kumpigia kura:-eatv.tv/news/current-affairs…
Geraldjasanya retweeted
🔷Operesheni Uchumi wa Kati
MKUU wa Jeshi la Kujenga Taifa(JKT),Meja Jenerali Charles Mbuge,akikagua gwaride la wahitimu wa mafunzo ya vijana 41 ambao ni watumishi wa Bunge yaliyopewa jina la Operesheni Uchumi wa Kati katika Kikosi cha JKT Makutupora yaliyohitimishwa leo Dodoma
Geraldjasanya retweeted
🔷Operesheni Uchumi wa Kati
MKUU wa Jeshi la Kujenga Taifa(JKT),Meja Jenerali Charles Mbuge,akikagua gwaride la wahitimu wa mafunzo ya vijana 41 ambao ni watumishi wa Bunge yaliyopewa jina la Operesheni Uchumi wa Kati katika Kikosi cha JKT Makutupora yaliyohitimishwa leo Dodoma
Tunaipenda CCM Kwakua inauwezo wakuunda Serikali na Chama chenye Uimara Sio kwamba hatuna Chaguo hapo baadae. Tunapinga UPINZANI Kwakua tunaamini hawajatoshea Sio kwamba hawafai kabisa. Bashiru katibu wetu unavotapika tapika usitoe na Nyongo.
Kwa kusema ukweli, hayo matamshi yake siyo mazuri, ametumia nguvu kubwa mno, kwa sababu kila mtanzania anao uwezo wa kupiga kura kwa kiongozi yyt na Ni haki yake, kikatiba, Katibu mkuu CCM hiyo siyo lugha nzuri,
Geraldjasanya retweeted
#JPMKigoma Tutapanua uwanja wa ndege wa Kigoma ili ndege zitoke Dar es Salaam kuja Kigoma hadi Bujumbura Burundi ili kukuza Biashara - @MagufuliJP
#MitanoYaUshindi
Geraldjasanya retweeted
"Sasa nawahakikishia msaliti na mnafiki akibainika hatutamgusa wakati wa vita na msiwaguse hawa wakati wa vita, wakati wa vita sio wakati wa kugombana, lakini tusizushiane tukawachonga wasaliti tukawachonga wanafiki kumbe watu wanaonewa"
Bashiru Ally
Katibu Mkuu wa CCM
18/9/2020
Geraldjasanya retweeted
Hii ni 'sms' ya Zitto kutoka kwa watu wa Kigoma.
#MitanoYaUshindi
#KigomaNaMagufuli
Geraldjasanya retweeted
Shime shime wana Kigoma Ugeni mzito huo mtani @kailakarama kigoma kama Dar inapokea ugeni wa Mkuu wa Nchi Kwakweli @MagufuliJP kiboko. Unguja na Pemba Jiandaeni wiki Ijayo Mzee Baba anatua kwa kishindo kusambaza upendo wa ndugu na Dada @SeifSharifHamad @zittokabwe
Nimegundua ukiwa Mzalendo nannchi akili zinaongezeka. Ani unapewa na robo ya akili za mwalimu Nyerere 🤣😂😂
Geraldjasanya retweeted
Tumehitimisha mafunzo ya Kampeni kwa timu zote za kampeni zenye zaidi ya watu elfu mbili.
Timu hii ndio itakayohusika katika kutafuta kura za Urais, Ubunge na Madiwani katika jimbo letu la Nzega Mjini.
Nzega Mjini Tupo tayari, kazi na Iendelee (@ccm_tanzania ).
#ChaguaCCM
Geraldjasanya retweeted
Shirika la Chakula duniani limetangaza mataifa mengi kukabiliwa na njaa kali. Baadhi ya mataifa hayo ni wanachama wa SADC. Sisi Tanzania tumelima wakati wengine wakiwa ndani (Lockdown). Namba moja JPM kahamasisha wananchi watunze chakula huku wengine wakibeza.Kuna soko, tuvumilie
Ndio ndio Hapa kazi na umchague Magufuli 😂😂😂😂😂ili kuenzi kauli yahapa kazi.
Replying to @BillbossHero @mpambazi_ @GillsaInt @Abbymexahnk @CarolNdosi @bajabiri @MariaSTsehai @RahmaMwita
Asante ndgu. Katika makosa ndipo tunajifunza. Nashukuru kwa kueleza changamoto yangu nimepata wataalam walionielekeza na wengine kuahidi kufika shambani zaidi nimeshauliwa juu ya uchimbaji kisima kirefu ili kupata maji mwaka mzima. Asante








































