Mtu anakuambia anakusalimia Uncle wako niko nae hapa, halafu mchango wa harusi yake unatoa lini😂😂
😂
Replying to @BillyTronix1
Ukishakubali mwanamke alipe mahari na awe breadwinner wa familia, basi usishangae kama power dynamic za ndoa zinabadilika! Hata mimi nikishamuhudumia mwanaume lazima nimdharau , na nitakupanda kichwani
1
235
Tanzania safari channel
Waruhusu creators waweze kurusha kazi zao maswala ya malipo waangalie namna itakavyo kua
Lakini pia wazee mnaotengeneza hizo makala, ongezeni ujuzi 😂
13
Wana harakati watatangaza wao si Chadema
Lakini wanatoa matamko na mienendo ambayo chama kifanye maamuzi kulingali na kauli zao
Kuna namna
1
12




























