Tazama mashindano yalivyoleta matokeo mazuri,wanafunzi wamehamasika kujituma kwa hiari katika usafi wa vyoo vyao na mazingira.Majohe ikiongoza kuwa ya kwanza,Mchikichini ikiwa ya pili, Buguruni ya mwisho imepata sapoti ya vifaa vya usafi.@coict_udsm
@WaterAidTZ @UNICEFTanzania
agnitha john retweeted
Unaweza kujionea mashindano ya Swash yakiwa yanaendelea katika baadhi ya shule za wilaya ya Ilala ndani ya kipindi cha mwezi mmoja na kipaumbele ni usafi wa vyoo
@Y4CLab @hellenMaziku @lukelowinstone @Geuyah @AgnithaJ @EmaSuleTheGreat @Mr_JUMA7 @sharifukitori @bennybennitto
agnitha john retweeted
Ndani ya shindano hili kuna zawadi mbalimbali cha kwanza kabisa kuna zawadi kwa shule zitakazofanya vzuri zaidi watapata vifaa vya usafi kwenye shule zao
pia kuna zawadi za papo kwa hapo kwa wale wapiga kura watapata vocha za papo kwa hapo
Je unasubiri nini download app ya SWASH
agnitha john retweeted
Je App ya swash inapiga kura tu
app ya SWASH COMPETITION inakuwezesha kuktana na watu mbalimbali ikiwemo uliosoma na shule ya msingi na pia utakutana na wadau mbali mbali wa maendeleo katika swala hili la usafi wa vyoo mashuleni
agnitha john retweeted
Unaweza kushiriki kwenye mashindano ya ili kuweza kupigia kura shule ya msingi inayofanya vzuri zaidi kwenye swala la usafi kwa kwenda play store na kupakua app yetu ya SWASH COMPETITION
play.google.com/store/apps/d…
agnitha john retweeted
Balozi Bora wa usafi wa siku yaani WASH ambassador , @Justin Msuya ameshinda zawadi ya siku iliyowekewa turget (picha ya 236) @JohnMbundi @NaamalaSamson @Y4CLab @Rachel__Maro @Hamisa34147150 @TheophilAvidace @Omary66479663 @mafolebaraka @willsrogers @hatibujuma
#swashcompetition
agnitha john retweeted
Je una smartphone? Shinda zawadi za kila siku Kama vocha na kujivunia points nyingi za upigaji kura ili uwe Kati ya watu 5 watakaojishindia smart phone 😇😇😇#swashcompetition
@Hamisa34147150 @Rachel__Maro @CRBarretto @JohnMbundi @Y4CLab @coict_udsm . Mimi nmehamasika kushiriki!!
agnitha john retweeted
Hello world... SWASH competition inaendelea kupamba moto Hadi 22 March. @NaamalaSamson @CarolNdosi @Johalexander09 @FrankMsuya10 @nelsonrodrigues @TheophilAvidace @moz_ismail @hellenMaziku
Pakua #SWASHcompetitionApp, Piga kura nyingi uwezavyo ujiwekee nafasi ya kuwa #WASHAmbassadors pamoja na kujishindia simu Janja aina ya Infinix.
@Y4CLab @UNICEFTanzania @coict_udsm
agnitha john retweeted
Siku 7 tu zimebakia washindi wa #SWASHcompetition wapatikane!!💥
Na mabalozi bora 5 wajishindie Sim janja kali💥
Piga kura yako sasa kupitia #SWASHcompetitionApp uibuke kidedea
@UNICEFTanzania @coict_udsm @hellenMaziku @EmaSuleTheGreat @tranceTeo @AgnithaJ @Geuyah @JohnMbundi
agnitha john retweeted
SWASH COMPETITION🔥🔥🔥🔥🔥 The power of data to bring the sense of accountability @NBSTanzania @ShabaniY4c @TheophilAvidace @AgnithaJ @CRBarretto @NaamalaSamson @UNICEFTanzania
#SWASHcompetition imepamba moto💥,Shule zinachuana vikali huku Uhuru mchanganyiko iliyoongoza wiki mbili mfululizo ikionekana kushushwa mpaka namba 3 asubuh hii
Je,nani ataibuka kidedea ifikapo tarehe 22/03?
@UNICEFTanzania @coict_udsm @EmaSuleTheGreat @hellenMaziku @Geuyah
agnitha john retweeted
University of Dar es salaam has been playing important role in supporting innovation through its prominent innovation hubs @Y4CLab ,@UDEIC and @udictii for sustainable dev. Visit UDSM both in Dodoma at Jamhuri stadium #Makisatu2021 #swashcompetitionapp #DSB @UNICEFTanzania
agnitha john retweeted
Balozi bora wa usafi @Hatibu Juma ameshinda zawadi ya siku ya vocha! Kwa kupigia kura picha za watoto kwa kufikia wa kwanza turget ya picha iliyowekwa.@JohnMbundi @hellenMaziku @Rachel__Maro @Hamisa34147150 @Y4CLab @deoBojangle @EdsonMwambe @EKhamene @TheophilAvidace @AgnithaJ
agnitha john retweeted
Zimebaki siku 9 tu!💥
Piga kura yako sasa kupitia #SWASHcompetitionApp uwe miongoni mwa mabalozi 5 bora wa usafi watakaojishindia Sim janja💥
@hellenMaziku @UNICEFTanzania @coict_udsm @EmaSuleTheGreat @tranceTeo @Geuyah @AgnithaJ @JohnMbundi
Zimebaki siku 10 tu #SWASHcompetition iishe na mshindi apatikane💥
Bado hujachelewa, download #SWASHcompetitionApp kutoka playstore na upigie kura Kiwango cha usafi wa vyoo vya shule za msingi kutoka Ilala
@UNICEFTanzania @coict_udsm @hellenMaziku @EmaSuleTheGreat @CarolNdosi
agnitha john retweeted
Pigia kura Kiwango cha usafi wa vyoo vya shule za msingi kutoka Ilala kupitia App ya #SWASHcompetition iliyoko playstore
Pia tupe maoni yako kuhusu miumdombinu ya usafi mashuleni
@coict_udsm @UNICEFTanzania @hellenMaziku @EmaSuleTheGreat @JohnMbundi @tranceTeo @Geuyah @AgnithaJ
agnitha john retweeted
Replying to @onawote @NBSTanzania @ShabaniY4c @AgnithaJ @CRBarretto @NaamalaSamson @UNICEFTanzania @LisheYangu
Thanks, we can discuss this with you too.
agnitha john retweeted
Je wajua kupitia SWASH competition washindi 5 watajishindia smartphone aina ya @Infinix_Mobile smart HD. Na washiriki Kila siku wanajishindia zawadi za vocha za #vodacom #airtel #tigo etc kulingana na mtandao wa mtumiaji aliyefikia turget ya siku @JohnMbundi @TheophilAvidace
agnitha john retweeted
Imebaki siku 1 tu #SWASHcompetition iishe💥
Shule ya Majohe inaonekana kutaka kupindua meza!
Je masaa 24 yanatosha kubadili matokeo?
@coict_udsm @UNICEFTanzania @costechTANZANIA @EmaSuleTheGreat @tranceTeo @Geuyah @AgnithaJ @JohnMbundi @hellenMaziku
#SWASHcompetition iko ukingoni huku zikiwa zimebaki siku nne tu mshindi apatikane. Ilala P/S inaonekana kupanda taratibu asubuh hii huku mchikichini P/S na Majohe P/S zikibakia palepale
Je, ni nani ataibuka mshindi?
@coict_udsm @UNICEFTanzania @hellenMaziku @EmaSuleTheGreat
🎉🔥🔥Washindi⭐🌟 pamoja na wawakilishi wa shule wakiwa tayari wamepokea vyeti,SWASH competition imewatunuku kwa heshima kubwa @AmrefTanzania @UNICEFTanzani @udsm_alumni @EmaSuleTheGreat @jokateM
1
Je unamjua WASH ambassador namba moja aliyeshinda SWASH competition? Basi ndiye Gabriel Sixbert,tazama akipokea cheti cha heshima ya kuwa balozi wa usafi @udsm_coict @hellenMaziku @WaterAidTZ @AmrefTanzania
1
agnitha john retweeted
SWASH COMPETITION itamalizika leo muda wa saa sita mchana wote tunahamu kubwa ya kuona shule zipi zitashika nafasi mbili za juu, je ni wapiga kura wapi watapata zawadi ya simu?
@EmaSuleTheGreat @Y4CLab @Geuyah @hellenMaziku @lukelowinstone @JLukombeso





































