Agnitha John (@AgnithaJ) profile picture
Joined February 2022
Photo by Agnitha John (@AgnithaJ)
Welcome to @coict_udsm research and innovation week. Meet @SwashComp_app that inspired 30,045 children championed by 669 SWASH club students & attracted 19,991 people in the social medias during pilot 2 from Jan to March 2022.Listen clip👇 @Y4CLab @MazikuHellen_ @UNICEFTanzania
3
6
Raia
92
262
13
2,606
Thinking is so vital. We become what we think about most of the time.
2
1
14
Tazama mashindano yalivyoleta matokeo mazuri,wanafunzi wamehamasika kujituma kwa hiari katika usafi wa vyoo vyao na mazingira.Majohe ikiongoza kuwa ya kwanza,Mchikichini ikiwa ya pili, Buguruni ya mwisho imepata sapoti ya vifaa vya usafi.@coict_udsm @WaterAidTZ @UNICEFTanzania
2
3
Imebaki siku 1 tu #SWASHcompetition iishe💥 Shule ya Majohe inaonekana kutaka kupindua meza! Je masaa 24 yanatosha kubadili matokeo? @coict_udsm @UNICEFTanzania @costechTANZANIA @EmaSuleTheGreat @tranceTeo @Geuyah @AgnithaJ @JohnMbundi @hellenMaziku
#SWASHcompetition iko ukingoni huku zikiwa zimebaki siku nne tu mshindi apatikane. Ilala P/S inaonekana kupanda taratibu asubuh hii huku mchikichini P/S na Majohe P/S zikibakia palepale Je, ni nani ataibuka mshindi? @coict_udsm @UNICEFTanzania @hellenMaziku @EmaSuleTheGreat
Je wajua kupitia SWASH competition washindi 5 watajishindia smartphone aina ya @Infinix_Mobile smart HD. Na washiriki Kila siku wanajishindia zawadi za vocha za #vodacom #airtel #tigo etc kulingana na mtandao wa mtumiaji aliyefikia turget ya siku @JohnMbundi @TheophilAvidace
5
7
Siku 7 tu zimebakia washindi wa #SWASHcompetition wapatikane!!💥 Na mabalozi bora 5 wajishindie Sim janja kali💥 Piga kura yako sasa kupitia #SWASHcompetitionApp uibuke kidedea @UNICEFTanzania @coict_udsm @hellenMaziku @EmaSuleTheGreat @tranceTeo @AgnithaJ @Geuyah @JohnMbundi
5
6
SWASH COMPETITION🔥🔥🔥🔥🔥 The power of data to bring the sense of accountability @NBSTanzania @ShabaniY4c @TheophilAvidace @AgnithaJ @CRBarretto @NaamalaSamson @UNICEFTanzania
#SWASHcompetition imepamba moto💥,Shule zinachuana vikali huku Uhuru mchanganyiko iliyoongoza wiki mbili mfululizo ikionekana kushushwa mpaka namba 3 asubuh hii Je,nani ataibuka kidedea ifikapo tarehe 22/03? @UNICEFTanzania @coict_udsm @EmaSuleTheGreat @hellenMaziku @Geuyah
1
4
7
University of Dar es salaam has been playing important role in supporting innovation through its prominent innovation hubs @Y4CLab ,@UDEIC and @udictii for sustainable dev. Visit UDSM both in Dodoma at Jamhuri stadium #Makisatu2021 #swashcompetitionapp #DSB @UNICEFTanzania
Balozi bora wa usafi @Hatibu Juma ameshinda zawadi ya siku ya vocha! Kwa kupigia kura picha za watoto kwa kufikia wa kwanza turget ya picha iliyowekwa.@JohnMbundi @hellenMaziku @Rachel__Maro @Hamisa34147150 @Y4CLab @deoBojangle @EdsonMwambe @EKhamene @TheophilAvidace @AgnithaJ
Zimebaki siku 9 tu!💥 Piga kura yako sasa kupitia #SWASHcompetitionApp uwe miongoni mwa mabalozi 5 bora wa usafi watakaojishindia Sim janja💥 @hellenMaziku @UNICEFTanzania @coict_udsm @EmaSuleTheGreat @tranceTeo @Geuyah @AgnithaJ @JohnMbundi
Zimebaki siku 10 tu #SWASHcompetition iishe na mshindi apatikane💥 Bado hujachelewa, download #SWASHcompetitionApp kutoka playstore na upigie kura Kiwango cha usafi wa vyoo vya shule za msingi kutoka Ilala @UNICEFTanzania @coict_udsm @hellenMaziku @EmaSuleTheGreat @CarolNdosi
6
2
10
Pigia kura Kiwango cha usafi wa vyoo vya shule za msingi kutoka Ilala kupitia App ya #SWASHcompetition iliyoko playstore Pia tupe maoni yako kuhusu miumdombinu ya usafi mashuleni @coict_udsm @UNICEFTanzania @hellenMaziku @EmaSuleTheGreat @JohnMbundi @tranceTeo @Geuyah @AgnithaJ
9
10
Agnitha John retweeted
Karibuni wadau wote wa Maendeleo ya kijamii tunaendelea kuwakaribisha katika Swash Competition Mashindano yapo kwa kipindi cha mwezi mmoja na yanakupa nafasi ya kushinda zawadi mbalimbali @Y4CLab @Hamisa34147150 @Geuyah @AgnithaJ @ArnoldMashely @EmaSuleTheGreat
1
7
9
Hello world... SWASH competition inaendelea kupamba moto Hadi 22 March. @NaamalaSamson @CarolNdosi @Johalexander09 @FrankMsuya10 @nelsonrodrigues @TheophilAvidace @moz_ismail @hellenMaziku
Pakua #SWASHcompetitionApp, Piga kura nyingi uwezavyo ujiwekee nafasi ya kuwa #WASHAmbassadors pamoja na kujishindia simu Janja aina ya Infinix. @Y4CLab @UNICEFTanzania @coict_udsm
7
14
Je una smartphone? Shinda zawadi za kila siku Kama vocha na kujivunia points nyingi za upigaji kura ili uwe Kati ya watu 5 watakaojishindia smart phone 😇😇😇#swashcompetition @Hamisa34147150 @Rachel__Maro @CRBarretto @JohnMbundi @Y4CLab @coict_udsm . Mimi nmehamasika kushiriki!!
6
9
Balozi Bora wa usafi wa siku yaani WASH ambassador , @Justin Msuya ameshinda zawadi ya siku iliyowekewa turget (picha ya 236) @JohnMbundi @NaamalaSamson @Y4CLab @Rachel__Maro @Hamisa34147150 @TheophilAvidace @Omary66479663 @mafolebaraka @willsrogers @hatibujuma #swashcompetition
6
9
Agnitha John retweeted
Unaweza kushiriki kwenye mashindano ya ili kuweza kupigia kura shule ya msingi inayofanya vzuri zaidi kwenye swala la usafi kwa kwenda play store na kupakua app yetu ya SWASH COMPETITION play.google.com/store/apps/d…
3
7
Agnitha John retweeted
Je App ya swash inapiga kura tu app ya SWASH COMPETITION inakuwezesha kuktana na watu mbalimbali ikiwemo uliosoma na shule ya msingi na pia utakutana na wadau mbali mbali wa maendeleo katika swala hili la usafi wa vyoo mashuleni
1
4
8
Agnitha John retweeted
Ndani ya shindano hili kuna zawadi mbalimbali cha kwanza kabisa kuna zawadi kwa shule zitakazofanya vzuri zaidi watapata vifaa vya usafi kwenye shule zao pia kuna zawadi za papo kwa hapo kwa wale wapiga kura watapata vocha za papo kwa hapo Je unasubiri nini download app ya SWASH
1
4
9