Pinned Tweet
Rare diseases may be uncommon, but the people who live with them are extraordinary. They face challenges and struggles that most of us can't even imagine, but they do so with courage, strength, and determination.
#rarediseases #rarediseaseday #isupportra…lnkd.in/d76pVHWR
Elizabeth Achilles Ndyalusa retweeted
Kwenye uzinduzi wa Miongozo ya Elimu Maalumu na Jumuishi.
"Kama elimu inaweza patikana chini ya muembe kwanini isiwe na nyumbani" Balozi Togolani Mavura
@tonytogolani
Elizabeth Achilles Ndyalusa retweeted
Mheshimiwa Prof. Mkenda, wewe ni kati ya mashujaa uliewezesha watoto wote ambao hawakuweza kupata elimu kutokana na kushindwa kufika mashuleni, leo wanapata fursa sawa na wenzao wanaohidhuria shuleni. Ahsanteni wote pamoja na watumishi wote wa wizara.
Elizabeth Achilles Ndyalusa retweeted
Wait! Mtu MWEUSI angevaa pampasi, na sisi WEUSI tungetoka kulalamika Simba waombe radhi? WHITE huyo ni muigizaji, hakulazimishwa, alikuwa kazini katika utafutaji maokoto. TAS na LHRC mlitakaje? WHITE akose pesa ya mboga? Mnashindwa kulaani bandari zinauzwa, mnalalamika ujinga.
Elizabeth Achilles Ndyalusa retweeted
Unapofurahia moshi wa shisha, kumbuka unapovuta huo moshi kwa dakika sitini ni sawa na kuvuta sigara 100.
…ukikaaa kwenye kijiwe cha shisha, kumbuka na wewe unavuta hata kama huna paipu mdomoni..
Second, third and fourth hand smoking!!
@ZakayoMmbaga
Elizabeth Achilles Ndyalusa retweeted
Kumbusu
Yakuhusu
Nini?
Picha kuisambaza
Na sauti kupaza
Ni tendo la kilaza
Kumbusu
Yakuhusu
Nini?
Na watoaji povu
Kwa kweli ni wachovu
Kumbusu si utovu
Kumbusu
Yakuhusu
Nini?
Hey everyone, just wanted to give you an update on what's been going on lately. My lupus flares have been making life a bit more challenging, but I refuse to let it stop me from accomplishing my dreams! 💪🏼
Remember, setbacks are just temporary roadblocks, not the end of the journey. I'm grateful for the support I have from my loved ones, lupus community (@lupuswarriorstz ) and all of you who continue to inspire me. Your kind words and encouragement mean the world to me! 🙏🏼
So, let's keep pushing forward together, no matter what challenges come our way. Lupus may try to slow me down, but I'm here to prove that my determination is unstoppable! 💜
#LupusWarrior #LupusAwareness #lupusflares #lupuswarriorstanzania
I extend my heartfelt appreciation for being featured in #MeetTheFellowWednedday and for all the positive feedback I have received. It encourages me to continue working hard and striving for positive change. I am honored to be part of the #EAEPIAPCohort4…lnkd.in/e3Gumxak
Elizabeth Achilles Ndyalusa retweeted
Ahsante sana Balozi @tonytogolani kwa jitihada kubwa unazofanya juu ya kubadilisha mustakabali wa waishio na #MagonjwaAdimu
Unaendelea kuwainua na kuwapigania kina Ali na wenziwe. Thank you – at Dar es Salaam, Tanzania
📍Seoul, Korea Kusini
🇹🇿🇰🇷
Balozi wa Tanzania nchini Korea Mhe. @TogolaniMavura amekutana kwa mazungumzo na Mwenyekiti wa Korea Organization for Rare Diseases (KORD), Bw. Jae-hak Kim mapema leo Juni 07, 2023.
Ushirikiano na kubadilishana uzoefu katika kukabili Magonjwa Adimu...
This month, we shed light on their journey, challenges, and resilience. Together, let's support, educate, and advocate for a better future. #LetsTalkLupus 💪💜
This month we will focus on the importance of the health and wellness of men living with #lupus.
#LetsTalkLupus
Elizabeth Achilles Ndyalusa retweeted
"Kuongozana uelekeo mmoja si kuwa na safari moja. Usione ukadhani!" ~Togolani Mavura.
Even though Lupus Awareness Month has come to an end, our fight against Lupus continues every day. Together, let's keep spreading awareness, advocating for better treatments, and supporting each other on this journey.
#LupusAwarenessMonth #lupusawareness
@lupuswarriorstz
Elizabeth Achilles Ndyalusa retweeted
UGONJWA WA LUPUS: Siku ya Lupus Duniani iliasisiwa na Lupus Canada ambalo ni Shirikisho la Wagonjwa Wanaoishi na Ugonjwa wa Lupus Nchini #Canada Mwaka 2004, na huadhimishwa kila tarehe 10 Mei kila mwaka huku Mei ukitumika kama Mwezi wa kutoa Elimu juu ya ugonjwa huo
#LupusAwareness #LupusMonth #JFLupusSpace
Elizabeth Achilles Ndyalusa retweeted
Nchini #Tanzania Siku ya Lupus Duniani ilianza kuadhimishwa Mwaka 2021 na maadhimisho haya yalifanyika katika Chuo Kikuu Cha Afya Muhimbili (#MUHAS) kwa miaka miwili ya awali, maadhimisho ya Mwaka 2023 yamefanyika katika Hospitali ya Taifa Muhimbili
#LupusAwareness #LupusMonth #JFLupusSpace
Elizabeth Achilles Ndyalusa retweeted
Lupus Warriors Tanzania, Chuo Kikuu Cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS), Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) na JamiiForums wameandaa Mjadala na Wataalamu kupitia TwitterSpace kuhusu Ugonjwa huo, Mei 31, 2023, kuanzia Saa 12 Jioni hadi Saa 2 Usiku
#LupusAwareness #LupusMonth #JFLupusSpace #JamiiForums
Elizabeth Achilles Ndyalusa retweeted
DKT. FRANCIS FURIA (Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Figo na Rheumatism MNH na Profesa wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili): Lupus ni ugonjwa unaoathiri viungo vya mwili kutokana na mashambulizi ya mfumo wa kinga ya mwili kwa viungo ikiwemo, hali hiyo inasababisha hitilafu mwilini na inaweza kuathirika ngozi, moyo, figo, mapafu, mfumo wa fahamu, damu na misuli
Mgonjwa anaweza kupata athari kwenye mfumo zaidi ya mmoja au mifumo yote ya mwili kuathirika
#LupusAwareness #LupusMonth #JFLupusSpace #JamiiForums
Elizabeth Achilles Ndyalusa retweeted
DKT. ANGELA MIGOWA (Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Watoto ya Rheumatism kutoka Hospitali ya Aga Khan, Nairobi - Kenya): Kinga ya mwili inatakiwa kukinga na uchafu tofauti, lakini Lupus inapoingia inachanganyana na uchafu mwingine mwilini
Baadhi ya dalili ni nywele kunyonyoka, shida ya Ngozi hasa chini ya macho ikizunguka chini ya pua, kukohoa na shida ya figo
#LupusAwareness #LupusMonth #JFLupusSpace #JamiiForums
Elizabeth Achilles Ndyalusa retweeted
DKT. FRANCIS FURIA (Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Figo na Rheumatism MNH na Profesa wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili): Ugonjwa wa Lupus unaathiri Watu wote lakini zaidi unaathiri Wanawake
Wanaume huathirika kwa kiwango kidogo
#LupusAwareness #LupusMonth #JFLupusSpace #JamiiForums




















