Ally Mwafrika(MTZ) (@AMwafrika) profile picture

Presenter Kahama Fm Radio

Kahama /Shinyanga/Tanzania
Joined March 2012
Ally Mwafrika(MTZ) retweeted
TMF-LEAT Fellowship on Extractive Industries coming up! Are you a senior journalist and interested in this topic?... fb.me/1gwOMEZom
Ally Mwafrika(MTZ) retweeted
Mzee Patrick Qorro (aliyewahi kuwa Mbunge wa Karatu) afariki dunia
4
3
Soko la nyahanga wilayani kahama linakabiliwa na uchafu uliokithiri. @kahama fm @ors fm
Waziri mkuu asema serikali kuimarisha utawara bora. @kahamafm @faclaisa @sengeremafmtz
Wasichana 350 wilayani kahama wenye umri kati ya miaka 10-19 kunufaika na mradi wa afya ya uzazi wa mpango @faclaisa @sengeremafmtz.
Mwanamke mmoja auawa kwa kupigwa na shoka mkoani shinyanga.@kahamafm @orsfmtz @fadecofm @sengeremafmtz
1
Waandishi wa habari 20 wanufaika na mafunzo ya mitandao ya kijamii kupitia simu..