FADECO FM (@fadecofm) profile picture
Joined September 2013
Je wapendwa mwanamke kumpiga mwanaume ni jambo la kibinafusi ama la kisheria?
Cimba yaanza vimbwanga vyake,baada ya kufanya vibaya ktk rigi awam yakwanza,mara viongozi?
Good day wanatwitter
Wanachama32 waccm na cuf,wilayan misenyi mkoan kagera wavua gamba,kutimkia chadema.@bahari_FM@choiceFMtz@mwananchinews
Wanachama wa ccm,na cuf,32 wilayani misenyi mkoan kagera,wavua gwanda na kujiunga na chadema.@kahamafm@orsfm@furahafm
mie naitwa Juma nipo karagwe,vp diamond naweza kum2mia picha kivp?nakuongea nae,no yangu ya cm,0764956907.@sammisago
Hello mambo vipi!maisha yanamlikaje?@vanessamdee@rwchngr@dorineaudax@zimasadungwe
1
Vurugu Chadema: Mwigamba apinga kusimamishwa,Mnyika apigilia msumari hukumu hiyo fb.me/6y08QEEzA
hakuna anaye aminika kwani tunaemtegemea ndie mtenda maovu kwa asilimia kubwa.so twahitaji sisi watanzania kulindana wenyewe.Mwananchi
Kumbe nao wamo? Maafande 2 wanaswa wakiuza jino la tembo fb.me/1DZ2hYQMs
1
2
1
Papa John Paul kutangazwa mtakatifu Aprili mwakani fb.me/LXxfniXp
mpango wa mradi wa afya ya uzazi kwa watoto wakike wilayan kahama utapunguza watoto wa mitani?. @faclaisa @kahamafm
mwalimu kwa upande wa fadeco radio tunashukuru sana kwa mafunzo yako,by ema kwa niaba yawote mungu akubariki.@faclaisa
1
Watu wawili wafari dunia kwa ajali ya pikipiki wilayani misenyi mkoan kagera.@cloudstv @bongofive @BBCNews @dailynewstz
watu wawili wafariki dunia kwa ajali ya pikipiki wilayani misenyi.@kahamafm @sengeremafmtz @faclaisa @orsfmtz @Jmakamba