shamim mwasha (@8020FASHIONS) header
shamim mwasha (@8020FASHIONS) profile picture

-Fashion & Lifestyle blogger -Inspire & Motivate Women to Save -YouTuber zezetv -Influencer #Instaprenuer🇹🇿 Online Coach #zezekibubuchallenge founder

Dar es salaam ,Tanzania
Joined July 2009
shamim mwasha retweeted
Let’s not wait until that cyclone hits.. then we start sending those #PrayForTanzania Hashtags! Let’s pray NOW! God Bless Tanzania!
2
28
3
89
I think there are valuable lessons learnt for @SimbaSCTanzania Haijalishi- muhimu ni kujifunza pale ulipojikwaa usiangalie anguko lenyewe All the best for next season 👏🏽👏🏽
31
56
3
690
Fashion Tricks for Women and Men 8020fashionsblog.co.tz/fashi…
There’s no greater joy than giving back to the community that has given me so much. But, standing on stage last night receiving “The Beauties award for Beauty(Lavy) and Humanitarianism(FMF)” is an honor I’ll forever cherish. #TheBeauties
55
76
8
1,002
shamim mwasha retweeted
Ujumbe wangu kwa Piere kwenye ukurasa wangu wa Instagram. Nashukuru wote. Kwangu wote waliochangia na kuhamasisha ni wa thamani. #TokomezaZeroKisarawe
422
362
68
3,306
It’s ok! It’s ok! It’s ok, very ok kwa Pierre Liquid kufanya anachofanya na kufurahisha wanaoona ‘anachekesha’. Nchi haiwezi kujengwa na watu wanaofanya mambo magumu magumu pekee. Kila mmoja wetu anafanya sehemu... facebook.com/323553631054827…
82
115
13
975
shamim mwasha retweeted
Usifananishe Chips Mayai na vitu vya kijinga 😆
2
2
3
7
Kwa mara ya kwanza nimeangalia mechi ya boxing kwenye Tv and it wasnt disappointing. Shout to Mwakinyo. Wewe ni noma. 👏👏🎊
2
7
1
75
shamim mwasha retweeted
Zarika amenyoroshwa kiasi ameanza kukaa Njoro.
Congratulations Hassan Mwakinyo...continue make 🇹🇿 proud🥊 #changetanzania #NewTanzania #TanzaniaWins #Ushinditu #TeamTanzania
2
12
2
22
shamim mwasha retweeted
😂
Phiri anainuka fast man...Zarika akienda chini anabaki huko na anaanza kucheza odi
1
1
Congratulations Hassan Mwakinyo🇹🇿🇹🇿 instagram.com/p/BvXTmVyjqFW/…
2
4
shamim mwasha retweeted
MWAKINYO 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
1
2
45
shamim mwasha retweeted
MWA🔑NYO #NairobiFightNight – at Dar es Salaam, Tanzania
1
3
shamim mwasha retweeted
Naona una furaha leo 😂
shamim mwasha retweeted
Mwakinyoooooo🥊🥊🥊🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾
2
4
Habari ya mwanaume kufanikiwa ni sawa na binadamu kula samaki, si habari mpya. Habari ya mwanamke kufanikiwa pamoja na mikingamo yote ni sawa na samaki kula mtu. Habari hii hukaa ukurasa wa mbele tena kwa maandishi makubwa.
This post is from a suspended account. Learn more
2
3
13
Sahihi kabisa. Lazima tujifunze namna ya kuishi nao upya. Desa la zamani halifanyi tena kazi.
Replying to @tonytogolani
Hekima na busara being key words hapo pia kuwapa moyo and earn their trust
shamim mwasha retweeted
Replying to @tonytogolani
Ushawahi waza simu na banks zingefanya kazi pamoja kuwe na app ya vikoba ambayo wanachama wanaona record zao,madeni ya mikopo yao,anaweza request mkopo through app. Na mhasibu akaidhisha ukamfikia sema simu zipunguze makato kwenye utoaji wa pesa zitavutia wengi.
Asante sana kwa ushuhuda huu. Tunahitaji kusikia shuhuda nyingi za aina hii.
Replying to @tonytogolani
Ni wakati sasa jamii ya makabila tofauti kuweka mbele maslahi ya kijinsia siyo kunyanyasa na umefika wakati ukweli usemwe,mm ninaye mdogo wangu wa kike anacheza upatu shuleni kule pemba ameweza kufikiria na mambo madogo yananiepuka,lkn ninaye wa kiume hovyo simu ni 6/10
1
3