Harith Badawi retweeted
Okay let me confirm, hawa ni watoto wangu, Nasriya na Ayman! Uarabu huo wameutoa wapi? Hawa ni wapemba
Allah ampe afya njema na nguvu na kuweza kukumiliki ww mke wake amin xitter.cf/ms_azizaahmed/status/1…
1
Bado kwanza mpaka Mzee atafute incubator azalishe wengine tuenee sote
This post is from a suspended account. Learn more
Harith Badawi retweeted
Nimemaliza Kuswali Dhuhuri.. Ghafla nimemkumbuka Marehemu baba angu 😢😢 Muda huu alikuwa Nyumbani anakula nami narudi Shule alikuwa ananiambia "Bi Naa njoo ule hapa kwanza, uswali kisha Madrasa" Allah akurehemu Kipenzi. Awarehemu maiti wote na kuwapa Nuru ya Kabri 🙏
Harith Badawi retweeted
Kuelekea siku ya Mwanamke duniani tarehe 08/03/2020 #AzamTV imekuandalia mkusanyiko wa vipindi maalumu kwa ajili Wanawake ambavyo vitaangazia mambo mbalimbali yanayowahusu Wanawake, mambo ambayo jamii inahitaji kuyafahamu.
#InternationalWomensDay #IDW2020 #EqualForAll
Mbunge wa jimbo la Wawi,Mheshimiwa Ahmed Juma Ngwali wa jimbo la wawi Pemba kwa tiket ta Chama cha CUF amejiuzulu ubunge kisiwani Pemba mchana huu.CCM OYEEE.
@ccm_tanzania @zittokabwe @Wabunge_CCM @azamtvtz @HKigwangalla @NurdinSelemani
Harith Badawi retweeted
Wanaume, Ukiona mwanamke hakusumbui kwa kitu chochote hakuna text, hakuna calls wala usumbufu wa kimahaba wowote ule ujue huna chako hapo.
Harith Badawi retweeted
Hakuna jawabu la moja kwa moja, inategemea uko wapi na kipi kinakurahisishia maisha na kipi unaweza kukipata kwanza kwa urahisi kushinda kingine.
Replying to @tonytogolani
By saying this, naomba niulize unadhani baada ya kupata kazi nzuri, ni vyema kununua gari kwanza au Plot kwanza???
Mm ni nani?,Ww ni nani?
Kumbuka udugu si wa damu bali ni hisia kali zenye kuleta mapenzi na imani baina yetu,Kuendekeza dharau,jeuri&kiburi katika dunia haileti fursa kwa jamii kuweza kupendana bali huongeza chuki na hasad kwa jamii,hebu na jitambuwe,Maisha ni nini?
@tonytogolani
Harith Badawi retweeted
Kuteleza si kuanguka, hakuna lisilowezekana, bado mechi 2 mbele. Songa mbele #TaifaStars.
Hahaaha
Replying to @ZeyanadiMohmed
Wape tu, kwani wakati unaumbwa nacho uliambiwa ukajitumiwe mwenyeweee...au ukitumie na wajinsi tofauti na yako? Enendeni ulimwengune mkazaliane muongezeke,unadikiri ukiwabania kizazi kitaongezekaje?












