Pinned Tweet
Replying to @TheChanzo
Kwa mambo haya ya kijinga yanayoendelea katika utawala huu bado kuna watu wanaamini kuna Maridhiano?
Kwani mkianzisha mahakama ya kadhi bila kutajwa ndani ya katiba mkawa mnashughulikiana wenyewe ndani ya misikiti yenu kuna shida gani?
Replying to @cyrus_elite
Mahakama ya Kadhi si ya kuadhibu wanaobadili dini, bali kushughulikia masuala ya ndoa, talaka na mirathi kwa Waislamu. Tanzania kutokuwa na dini rasmi hakumaanishi Waislamu wanyimwe haki ya kufuata imani yao kwenye masuala ya kifamilia.
10
Huu ni uongo
Askofu kapotosha maandiko kufit Narrative yake tu ya kisiasa
Mfano : Samweli hakupata umaarufu kisa kumkosoa Sauli, ilikuwa sehem yake ya kazi ya kinabii, yeye ndo alimtia Mafuta Sauli kuwa mfalme na baadae Daudi.
Nathani alimkosoa Mfalme Daudi kwa kufanya uzinzi na Bathsheba ila umaarufu wake sio huu, nadhani alikua Mshauri wa kifalme na alihusika kuthibitisha urithi wa ufalme wa Suleimani ''
Umaarufu wa Isaya Haukutokana na kumkosoa tu Hezekia maana ni sehem ndogo tu alimkosoa pale ambapo Hezekia aliwapnyesha wajumbe wa babeli mali zote na ndo Isaya anamuonya kwamba siku itafika mali zote zitaondoka... Isaya alikuwa na ujumbe mkubwa na mpana zaidi ya hili dogo..
Eliya hakujulikana kwa kumkosoa Ahabu tu maana ni sehem ndogo alivyowazuia ibada za kuabudu sanamu, Eliya amefanya mambo makubwa na matukio ya kinabii kama yale ya Mlima Karmeli
Mikaya Hakumkosoa Ahabu.. Ni alikua amebeba ujumbe wa Mwenyezi Mungu vita ingewaletea maafa na Ahabu akachukizwa..
Danieli umaarufu wake Haukutokana na kuwakosoa Nebukadneza na Belishaza tu... Danieli alijukana kwa hekima kubwa, uwezo wa kutafsiri ndoto na Maono.. Ukisema alipata umaarufu kwa kuwakosoa ufalme ni kumdogosha!
Manabii hawakuwakosoa watawala kwa lengo la kutafuta umaarufu walifanya hivyo kwa sababu ya wajibu wao wa kutangaza ujumbe wa Mwenyezi Mungu.. Sio kila Nabii alijukana kisa kuikosoa serikali kila mmoja alikua na huduma Pana zaidi..
Ni muhimu sana kutenganisha ukweli wa Maandiko na hitimisho la Kisiasa!
17
Kwa Katiba gani? au ni mtu haramu tu amejihamulia mwenyewe?
Waziri mkuu na serikali wamegawa mikoa kwa Ma Waziri wawe walezi, jamaa anatekeleza walichokubaliana nyie mpo hapa kuleta propaganda ili kutengeneza ugomvi ndani ya CCM.
Nliona kwa macho yangu media zilivopotosha ujumbe wa Nchimbi kwenye headlines which broke the camel’s back.
Chanzo, siku zenu za kufanya ujasusi na psyops nchini kwetu zinahesabika.
10
Leo Samia akakague Gwaride na trump
Do African Presidents get this kind of reception for their state visits, in the UK and US, nowdays?
#DearNyerere
1
14
Una uhakika kwamba kijana akipata hii taarifa itamsaidia?
Ni tenda hiyo basi tu vijana hatuna taarifa hii ni tenda inatangazwa na mara nyingi ni kwaajili ya vijana ila vijana wengi hatujui hii. Hapo ukishinda tenda tunabeba vijana wanafyeka na ina hela nzuri kabisa. Ukipata nafasi nendeni TANROADS/TARURA kupata taarifa zaidi.
1
1
61
Pendragon🔥 retweeted
Their ultimate goal was always to privatize the air you breath. You're are the carbon footprint they want to get rid of.
"Water, and oxygen should not be infinitely accessible. They are assets that should be included in global economic balance sheets."
Pendragon🔥 retweeted
Rais anateua wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, majaji, makatibu wakuu na wakuu wa taasisi nyingi. Anayeteua ndiye anayemiliki utii. Katika nchi ya kidemokrasia kama Ibara ya 3 inavyoahidi, uteuzi mkubwa upitie vyombo huru na uthibitisho wa Bunge kwa uwazi ulio kamili. #KatibaMpya
Pendragon🔥 retweeted
Kijana wa Tanzania leo anaishi chini ya Katiba iliyoandikwa kabla wazazi wake hawajazaliwa. Dunia imebadilika: teknolojia, uchumi, idadi ya watu na matarajio ya vijana. Katiba yetu nayo inapaswa kubadilika ili iendane na Tanzania ya leo na ya kesho, si ya jana tena. #KatibaMpya
Pendragon🔥 retweeted
Katiba si mali ya chama chochote, si mali ya serikali, si mali ya kiongozi yeyote. Ni mkataba kati ya wananchi na dola yao. Ndiyo maana mchakato wa kuiandika lazima uongozwe na wananchi wenyewe kupitia maoni, mjadala huru na kura ya maoni isiyo na shinikizo lolote. #KatibaMpya
Pendragon🔥 retweeted
Mfumo wa vyama vingi uliotajwa kwenye Ibara ya 3 unahitaji ulinzi wa kisheria dhidi ya matumizi mabaya ya dola. Polisi, mahakama na tume ya uchaguzi lazima viwe vya wananchi wote, si vya chama tawala. Katiba mpya iweke mipaka hiyo wazi, bila utata wowote ule kabisa. #KatibaMpya
Pendragon🔥 retweeted
Katiba Inayopendekezwa ya 2014 haikufikishwa kwenye kura ya maoni. Mchakato ulisimama, na mabilioni ya fedha za umma yaliyotumika yakabaki bila matunda. Watanzania wote wanastahili kuona mchakato ule ukikamilishwa kwa uwazi na kwa kuheshimu maoni yao yote ya awali. #KatibaMpya




















