Kwa mwonekano wa kisasa wa nyumba yako na Kazi nzuri call YAMLINGA WORLD CLASS FINISHING
Call 0750141753
1
6
Karibuni sana maboss wangu kwa decoo kari na wakisasa..
Jambo linalo kuingizia kipato nimoja ya jambo litakalo chukua muda mwingi wa maisha yako, ukilifanya vizuri unakua umetumia muda mwingi wa maisha yako vizuri......📞 0750141753
1
5
Mungu akitaka kukusaidia hawatumi malaika, atawatumia binadamu wenzetu, tuwe makini tunavyoishi na watu, lugha zetu zinaweza kuwa funguo au kufuli la kuwafungia nje waliozibeba kheri zetu.....#mzee 🐐
1
4
All da best mwanangu mwenyezimungu akakusimamia na anajua nia yako kwa watumishi wa bandari zote Tanzania 🇹🇿......#mungu dereva ndugu yangu...
1
1
Happy birthday To Me, Mungu umenibariki bila sababu ndio mana nina sababu nyingi za kulisifu Jina Lako kwa sababu mambwana tupo wawili tu bwana yeye na bwana mimi asante sana kwa mfano wa siku ya kumbukizi yakuzaliwa 1+# 📞 mzee 🐐
1
5
Karibuni sana maboss wangu kwa kazi nzuri na mwonekano wa kisasa wa nyumba yako..
Whartsapp 0653030664
...............call 0750141753
1
9
Karibuni sana maboss wangu kwa mwonekano wa kisasa wa nyumba yako na kazi nzuri..
Whartsapp 0653030664
📞......0750141753
1
8
Karibu Yamlinga world 🌎class finishing..Njia bora ni ile itakayo leta mafanikio na mambo kutokea hatakama inakinzana na namna zilizo zoeleka. ..
Kwa maelezo na ushauri juu ya skiming na rangi wasiliana nami kupitia namba hizi chizi
Whartsapp 0653030664
1
11





















