Minja Jr (@williamMinja41) header
Minja Jr (@williamMinja41) profile picture

Hakuna Lisilowezekana mbele ya Mungu๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™

morogoro
Joined February 2012
Photo by Minja Jr (@williamMinja41)Photo by Minja Jr (@williamMinja41)Photo by Minja Jr (@williamMinja41)Photo by Minja Jr (@williamMinja41)Photo by Minja Jr (@williamMinja41)Photo by Minja Jr (@williamMinja41)Photo by Minja Jr (@williamMinja41)Photo by Minja Jr (@williamMinja41)Photo by Minja Jr (@williamMinja41)Photo by Minja Jr (@williamMinja41)
๐Ÿšจ๐Ÿ—ฃ๏ธ๐— ๐—”๐—๐—ข๐—ฅ ๐—•๐—ฅ๐—˜๐—”๐—ž๐—œ๐—ก๐—š: Chelsea wants Rayan Cherki in a swap deal for Enzo Fernandez to join Manchester city plus a ยฃ20m fee as revealed by David Ornstein. ๐Ÿ—ฃ๏ธ David Ornstein: "Chelsea are ready to let Enzo Fernandez join city in a swap deal with Cherki and also to add a fee for the blues" "That is their request for now, Manchester city have not yet review the request"
1,105
922
1,024
13,775
1,812,684
Minja Jr retweeted
No caption needed.
687
8,232
466
60,216
723,319
Kwenu Gen Z, Oyaa! Mzigo umepanda. Target imehama, sasa tunaelekea Bilioni 5. Msiache hii iwe kazi ya watu wachache. Kizazi chenu kimeonyesha mara nyingi kuwa kikiamua, hakuna kisichowezekana. Mmebadilisha mijadala, mmeamsha matumaini, mmefanya sauti ya mabadiliko isikike kila kona ya nchi. Sasa ni wakati wa kuipa sauti hiyo nguvu ya mchango. Tusibaki kwenye likes, reposts na hashtags pekee. Tuweke pia alama zetu kwenye Tone Tone. Usichangie kwa sababu umeombwa. Changia kwa sababu unaamini. Hata elfu mbili yako ni sehemu ya Bilioni 5 tunayoiandika pamoja. Hakuna mchango mdogo unapokuwa wa watu wengi wenye imani moja. Tonesheni Tone Tone. Tufanye historia pamoja, ili kesho tukisimulia ushindi huu, kila mmoja aweze kusema, โ€œNilikuwepo.โ€ CHADEMA MPESA- 0744446969 Wenu katika Struggle, G. J. L
46
274
2
1,405
46,860
๐Ÿšจ๐Ÿ”ต BREAKING: Marco Palestra to Chelsea, here we go! Verbal agreement in place between all parties. Atalanta to receive package over โ‚ฌ55m fee plus sell-on clause, long term deal to Italian talented RWB. Chelsea hijack Inter move and get new talent for Xabi Alonso.
5,332
15,020
4,746
118,170
12,965,850
CHAMPIONS OF EUROPE!!! ๐Ÿ† #ChelseaChampions #UCLFinal
5,491
84,677
11,827
221,658
Eti vijana wa kazi na utu๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ Kushangilia kote huku washanikata
23
TAARIFA KWA UMMA
13
113
3
429
6,540
Minja Jr retweeted
Picha hii inastahili REPOST 500 kama salamu kwa mzee wetu TUNDU LISSU kwenye magumu yote anayopitia kuwa tupo nae pamoja.๐Ÿ™๐Ÿพ
37
1,805
6
4,653
53,166
๐Ÿ˜โค๏ธ๐Ÿ†
18,917
102,965
3,623
1,468,841
42,323,167
Millennials tumekua wabeba lawama๐Ÿ˜†... Mara hii nchi ndo tumeifikisha hapa... Kivipi sasa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Hii siyo yetu mbona hamna nyimbo za dedication hapo mwisho??๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
1
123
Minja Jr retweeted
Siku: Ijumaa (15 May 2026) Muda: 4:00 Asubuhi - 7 Mchana Mahali: Alliance Francaise - Dsm Register Now: forms.gle/gyZGcV8gsDjJqP9B9 #letstalkintellectualproperty
6
44
2
46
6,673
Chelsea tulipofikia ni aibu sana๐Ÿšฎ
27
Minja Jr retweeted
Mheshimiwa Tundu Antiphas Lissu atakuja kuifanya Tanzania kuwa nchi salama yenye amani, haki, na uwajibikaji wa kweli.
28
106
2
631
9,816
Minja Jr retweeted
1/2 Habari Familia, Mungu ni Mwema baada ya Kuchukuliwa na watu nisiowafahamu Jmosi Asubuhi, niliachiwa kwa dhamana juzi jioni. Shukrani sana kwenu kwa kupiga kelele, kuniombea hata na kupambania kwa kila namna. Hata wale tuliotofautiana kwenye football, Music na itikeli zingine.
326
518
53
1,890
73,404
Polisi wanasema 02/05/2026 saa tatu asubuhi eneo la Mburahati, Kinondoni alikamatwa Dammour Massoumbe Nyakairo, @Ninja_Damour na kupelekwa kituo cha Polisi Changโ€™ombe kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya kihalifu (ambavyo hawajaeleza) na kwamba katika mahojiano ya awali ametoa ushirikiano kwa kueleza mambo mbalimbali (kwa mujibu wa taarifa yao). Hatua za kisheria zinakamillishwa ili afikishwe kwenye mamlaka zingine za kisheria. Kimsingi, tutampa msaada wa kisheria. #FreeNinja #FreeDamour
15
170
2
997
35,924
Bila kelele wasingesema kama wako naye.
12
50
3
265
5,393
Minja Jr retweeted
Hizi salamu zifike mpaka Ukonga "We Love You, Respect You and Appreciate You"โœŒ๏ธ๐Ÿซก
29
356
4
2,323
20,364
Makamu Mwenyekiti wa Chama Mhe. @HecheJohn akiwasalimia wananchi wa eneo la Stendi la Magufuli baada ya wananchi hao kusimamisha msafara wake akielekea katika Mkutano Mkuu maalum wa Jimbo la Kibamba.
12
213
3
1,117
15,025
โ€œ Msiogope, maana mimi nipo pamoja nanyi.โ€ Isaya 41:10
33
339
2
1,997
21,662
TEC hawajapeleka kabisa mwakilishi Wamekataa kuketi, kusomewa uongo Kanisa moja, Takatifu, Katoliki la Mitume Ni moja jana, leo, asili yake ni Yesu Kristo Ibada moja, sheria moja , mapokeo yaleyale Kanisa limeenea pande zote ulimwengu mzima Kanisa Katoliki, TUNAJIVUNIA ๐Ÿ‘
101
751
5
4,172
72,434