A4 👽 (@waveyculture) header
A4 👽 (@waveyculture) profile picture

Wavey Culture

Joined May 2022
Photo by A4 👽 (@waveyculture)Photo by A4 👽 (@waveyculture)Photo by A4 👽 (@waveyculture)Photo by A4 👽 (@waveyculture)Photo by A4 👽 (@waveyculture)Photo by A4 👽 (@waveyculture)Photo by A4 👽 (@waveyculture)Photo by A4 👽 (@waveyculture)Photo by A4 👽 (@waveyculture)Photo by A4 👽 (@waveyculture)
I was doing so well mentally before I got back on this platform
1
17
3 personal fouls by second quarter...
9
president costing his mates
8
Al Ahly looking strong tonight..
7
A4 👽 retweeted
Okay, @KMbappe! 💦
727
5,866
374
83,586
4,912,571
When 21 Savage dropped the wildest explanation of life
18
955
24
4,229
131,602
Some Kenyans and Tanzanians are so angry at their governments and elected officials that they celebrate when leaders die. The disillusionment is deep!
99
718
11
4,119
183,562
A4 👽 retweeted
"Nimeshasema hawa *viongozi* HAWANA ECONOMIC FOCUS, kama wanayo waionyeshe"..anaendelea kuchapa utosini Father Kitima.
29
258
11
1,032
25,085
🔥🚨BREAKING: A local news company put out a report revealing UFOs fly all over the skies above the city Helsinki, Finland in pure crystal clear footage. This can no longer be denied, we are experience a worldwide phenom.
911
1,742
169
12,753
1,461,305
A4 👽 retweeted
Bayern vs Chelsea. 2012 UEFA Champions League Final
109
807
93
4,686
93,051
Mbunge anakunja mshahara plus posho, milio kama 12-18 💴 hivi kila mwisho wa mwezi!! Tufanye 12M kadirio la chini!! So kwa mwaka anakunja 144M. Kwa term moko (5yrs) muhula mmoja anakunja 720M (Bilioni kasorobo) Whaaaaaao!! Ukiwa mbunge kwa miaka 30 unatengeneza 4B+ Kumbuka hapo kuna mpiga kura wake ana umri wa miaka 35 na hajawahi kushika hata laki tatu tu ya pamoja KMMK Walahi🥹 (I’m sorry) Again, mpiga kura huyo hana maji, hana umeme, na akiumwa hana bima ya afya!! Mbunge huyo ana kila kitu sio shida zake!! Na kwa kipindi chote hicho anaweza asiwe tu mbunge, akapewa na uwaziri…… means mshahara uta-double!! Hapo sio tena 12M monthly So kwa miaka 30 mtu anatengeneza 6B plus!! Mixer fursa shindili, yeye na familia yake na ukoo ikimpendeza!! Lakini jimboni kwake ukifika hakuna chochote kilichobadilika, shida,ufukara,umasikini,changamoto milioni!! Na hii ndio legacy wanayoipambania, not otherwise!! Ndio maana mtu huyu anakuwa tayari kukupoteza ikibidi kukuua ili ku-secure bag lake 💰
90
319
11
1,813
105,066
A4 👽 retweeted
Ila “JOISI WOWOWO”. Hawa ndio waliwaahidi kuwapa KATIBA MPYA na wakasema ndio kipaombele chao sio? Saizi wanayo mipango ya kutawala tena 2030 na sio kutimiza ahadi walizowapa 2025. Hawa watu wapo tayari kuuwa kila mtu atakae onakana kikwazo kwao kutawala watanzania. Jitu kama hili lenye uliki mzito kama MAVI YA TEMBO unafikiri linatuwazia nini sisi tunaowakosoa zaidi ya KUTEKA NA KUUWA? Yapo duniani kuhakikisha yanatawala mpaka yanakufa na yanaona kama nchi hii ni ya wazazi wao sisi wengine wageni. TUTAKUWEPO🫵🏾😎
31
67
2
524
26,206
u are barely 2 years into ur administration and already plotting for 2030, na uko na threats.. jokers
3
Hii ya viongozi wakifariki linatokea kundi kubwa linatoa maoni (comments) za kufurahia msiba huo au kuonyesha kutokujali kifo hicho!! Lilianzia wapi hili!!??? 🤔 Nani alilileta? Au Kulisababisha? Lakini pia sikuiona hii kwa baadhi ya viongozi walipofariki, niliona taifa likihuzunika pamoja!! Mfano kwa Mwinyi!!
81
84
2
1,030
88,184
Baada ya Idd Amin Mama kuuwa Watanganyika wenzetu zaidi ya elfu kumi Oktoba 39, Lukuvi alismama bungeni na kuongea huu utumbo. Halafu mnasema mie ni heshimu marehemu, nawezaje kuheshimu wauaji..? Mnajua maumivu ambayo tunapitia baada ya Mauaji ya kikatili ya Oktoba 29?
66
176
6
788
33,206
#TajiriLaKihaya Tatizo humu ndani mkimuona mtu ana hela… Huwa wengine mnadhani hawana matatizo au matumizi au kazi nazo 😂 Niwaambie tu hakuna watu wana stress kama wenye hela… Wana marejesho ya mikopo mikubwa kila mwezi … bado matumizi yao ni makubwa saana … Wakati we unawaza kupata milion moja utatue matatizo yako yeye anawaza apate wapi milion 100 Nk. Wakati we unawaza karo ya mtoto laki 5 yeye anawaza karo milion 5. Wakati wewe unawaza Rent laki 2 yeye anawaza Rent milion 2. Bado mafuta ya Gari bado michepuko Nk. Kiufupi saana kila mtu ana shida na matatizo yake na matumizi yake. So ukiona mtu anakupatia hata elfu 50 sio kwamba hana kazi nayo… ni MOYO tu! Kutoa ni Moyo sio utajiri💯
83
107
9
657
23,844
Nothing changes if nothing changes. Unaweza kusoma self-help books zote duniani, lakini kama tabia zako na actions zako hazibadiliki, ndoto zitabaki kuwa ndoto. Life itaendelea kukupiga roundkick kama za Van Damme.
1
13
So ask yourself an uncomfortable question: Do you even have a system that’s moving you toward what you want out of life?
1
5
Or do you wake up every day reacting to impulses… Scrolling. Chasing small pleasures. Avoiding discomfort. Living like a chimpanzee skipping through the forest from one dopamine fruit to the next. Nothing changes if nothing changes.
8