Mafunzo ya Siku 7 ya uhariri wa filamu.
Mafunzo haya yameandaliwa na @tanzania_film_board ikishirikiana na ubalozi wa uswizi pamoja na @nafasiartspace
Mafunzo haya yamefanyika katika studio za @wanenestudios instagram.com/p/CJ5ZH5HFDUO/…
3
Wanene Tv Chimbo La Michano Season 2 @wakazi 🎙💡📺
Full video inapatikana YouTube ya Wanene Tv, au bonyeza link kwenye Bio hapo juu 🙏
#WaneneTv #chimbolamichano @ Wanene Studios instagram.com/p/CHu4urxFsd-/…
Ni Wimbo gani unao upenda kutoka kwa @mapanch_bmb 🎤
#JukwaaLaJamii #WaneneTv #chimbolamichanoseason2 @ Wanene Studios instagram.com/p/CHpgaovluqI/…
1
Je unafikiri binaadamu na wanyama wanaweza kuishi pamoja kwa amani? instagram.com/p/CGkgaAaFz52/…
1
#WaneneTvSession Season 2
——————————————
Full video unaweza kuitizama kupitia YouTube ya @wanene.tv
Msanii wakwanza Msimu huu wa pili kwenye Session za Chimbo La Michano ya Wanene Tv ni @official_chidibeenz instagram.com/p/CGczTmDlopX/…
#throwback
————————————
Unakubaliana na @monalisatz ni kweli wanawake wa Tanzania wanapenda hela!?😂 @ Wanene Studios instagram.com/p/CGXQVrfl3dt/…
Ukitaka Sauti yako isikike, Nenda kapige kura siku ya uchaguzi.
Kama mtanzania unajukumu la kwenda kupiga kura siku ya uchaguzi 0ctober 28, na kuchagua kiongozi unaedhani anao wajibu wa kukuongoza. @ Wanene Studios instagram.com/p/CGSGSH6FqbX/…
