إِنَّا لِلَّهِ وَإِنَّاۤ إِلَیۡهِ رَ ٰجِعُونَ
Allah Akuhifadhi pamoja na familia yako na Akupe Subra.
2
226
Je umewahi kujiuliza kwa Nini mzazi anawalea watoto wake kama sita lakini hao watoto wanashindwa kumlea huyo mzazi uzeeni wake?
1
198
In the game you both play, you must watch your enemies closely. But you must watch your friends more closely. For betrayal is never the act of an enemy. It can only be the act of a friend.
218
ELIMU YA DINI:
1. Elimu ya dini ndio msingi wa kumtambua Allah na uongofu.
2. Hakuna ibada inayokubalika bila ya elimu.
3. Elimu hupandisha daraja mja duniani na Akhera.
4. Kujishughulisha na elimu ni alama ya kutakiwa kheri na Allah
5. Elimu kama ngao dhidi maovu, tabia mbaya
79
Kama mwezi unavyoongoza wasafiri usiku, mzazi anayesoma dini huwaongoza watoto wake katika giza la zama hizi.
Ukizembea kusimamisha salah 5 kwa ujana au kipindi ambacho una nguvu basi itakuwa vigumu kusimamisha salah uzeeni. Ujana wako una nafasi kubwa katika maandalizi ya uzee wema.
Madhara ya kutosoma dini ya Kiislamu:
1. Kukosa mwongozo wa maisha.
2. Hatari ya kupotea na kwa katika upotofu.
3. Kukosa fahamu ya kusudi la maisha na maisha ya baada ya kifo.
4. Kupoteza thawabu na baraka.
5. Udhaifu wa imani na maadili.
6. Matatizo katika jamii na familia.
Bila elimu hutapata Raha ya ndoa.
Bila elimu hutapata Raha ya Salah.
Bila elimu hutapata Raha ya ibaada .
Bila elimu hutapata Raha ya Kaburini.
Bila elimu hutapata Raha ya Akhera.







