Pinned Tweet
Hongera kwako ww mwanmke unayejifuta mwenyew machozi😭 yako kwa siri😞
Na unahakikisha unaonesha tabasamu😊 mbele za watu
WEWE NI MWANAMKE IMARA...💪🏻
We uspecial tu
Mi huwa naambiwa huna hela wewe unajifanya unapeesaaa
Wakati kiuhalisia sijawahi kujifanya nnazo na ni kwel sina🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌
But watu huona nnazo na naringishia woiii
Nasemaga tu i claim it, naupokea utajir🙌
1
272
Hii hutoambiwa popote
“KAZI SIO RIZIKI”
Unaweza kuta mtu anakazi ila kapauka pau….
Kazi inatolewa na watu/mtu, RIZIKI anatoa MUNGU…😊
Nimejifunza….
Hii kweli
Ukitaka mafanikio makubwa nenda mikoani
Dar Es Salaam itakupa ela ya kula, kulipa kodi na bili zingine.
Lakini, kamwe Dar haiwezi kukupa ela ya kufanya Maendeleo seriously.
Na huu ni mtego ambao vijana wengi wamejinasa.
Wanakuja kushtuka tayari wamekaa zaidi ya miaka 5+ Dar.
Na mafanikio yao ni geto kali peke yake
1
3
461
Kumbe siku hizi mnachukua lodge kimya kimya
Dyadya unajua unaenda date kula na kunywa kumbe unaenda kuliwa kizembe…..😂😂😂
641
Mtu umeumbwa mweusi ukubwan unajibadilisha unakua mweupe
Ss subiri ufe huko mbinguni ukasahaulike
Mung anaweza amua ratiba zibadilike, weusi wasamehewe , hukumu kwa watu weupe
WE HUJACHOMWA……..!?😂🤣🤣🤣na hivo vipodoz vyako ndo utakoma👌
1
500
Nawakumbusha tu,90% ya dhambi nying zinaitaji gharama
Kutoa hizi chache, matusi, fitina, kusengenya, kuiba n.k
Ila 90% ya kheri, (dhawabu) ni BURE….😊
Choose wise, Jumaa jamil✌🏻
2
16
685



















