
from tanga follow me instagram @Ummykitwana
Dar Es Salaam
Joined July 2012
- Tweets4.4K
- Following280
- Followers10.1K
- Likes21
Ummy Kitwana retweeted
Kama umekuwa Waziri na Waziri Mkuu kwa miaka 30 halafu unasema miaka 50 iliyopita hakuna kilichofanyika, manake nawe hukufanya kazi. Hufai.
Ummy Kitwana retweeted
Alipokuwa na cheo kikuu, mfumo ulikuwa safi. Alipokuwa anagombea ndani ya CCM, mfumo ulikuwa safi. Jina lilipokatwa, mfumo wa nchi sio safi.
Ummy Kitwana retweeted
Bado hakuna majibu kutoka kwa viongozi wa UKAWA kwamba inakuwaje, ndani ya miezi miwili, mliyemwita mwizi mnamwita mkombozi.
Mastar kila M2 atapost R.I.P banza stone alivyokua anateseka walikua na uwezo wa kuungana na kumsaidia kweli bongo ukifa ndo unathaminika
Hakuna kitu nimefrahi duniani kama LOWASA kukatwa mapema sana yani hata top 5 hakuingia kupewa matumaini hicho kitu kimenifrahisha sana aise
"Sigombei nafasi hii kupambana na mtu, Nagombea nafasi hii kupambana na changamoto za watu" #TanzaniaMpya na
Mh @JMakamba
Ummy Kitwana retweeted
Naipenda sana nchi yangu, nawapenda sana wananchi, nashukuru kupata fursa kuwatumikia, nitaendelea kuwapenda mpaka Mungu atakaponiita kwake.
Ummy Kitwana retweeted
Nawashukuru wote kwa pongezi zenu. Nawashukuru wote mlioonyesha imani kwangu tangu mwanzo.
Ummy Kitwana retweeted
Issue ya kuanza campaign mapema 'may be' penalized now. Politics at play. Reading Dr. Makukililo's piece on today's nominations.
Ummy Kitwana retweeted
All The Best Ndugu @JMakamba 👊 #CCMInaamua
Aman kwa @ProfessorJayTz @ShettaTz @Snura @MsagaSumu kwa kumsaport #JumaKassimNature kwenye Show yake👏👏👏👏 nilale ss nimefunguka sana leo
Ukweli wa mungu nimemsikiliza Mh @JMakamba hichi kichwa kiangalieni sana anaakili nyingi sana Speech yake hakusoma sehemu ila madini matupu


