Pinned Tweet
Kama nilivyoahidi kwamba ikifika viewers 100,000 hii video ntasema kwanini imefanya vizuri kuliko zingine na ntahusianisha pia na stratergy in all my trending video so lets dive in....
Baada ya kuandaa content hii kwa siku tatu na kuona matokeo makubwa, hii ndio breakdown yake..
After 6 Months on TikTok I think I will just have my first video to reach 100k viewers just about today
Link ya video hii hapa
Ntakuja kutoa breakdown kwanini hii imefanya vizuri
vt.tiktok.com/ZSHP7KPhb/
"Huu ni mfululizo wa jinsi ya kutengeneza video zenye matokeo, episode ya kwanza: Niche versus Broad (Mada Maalum vs Mada ya Jumla).
Kuna kitu kimoja kinachowaumiza kichwa ma-designer na ma-creator wengi sana Bongo ambacho ntakutolea ufafanuzi leo β at Tanzania
Mfano
'Kama wewe ni mmiliki wa brand ya vyakula na unahisi packaging yako haivuti wateja sokoni, andika neno 'BRAND' hapo chini na timu yetu itakufanyia ukaguzi wa bure wa brand yako.' β at Tanzania
Happy birthday, familia
UZEE UMENIFIKAπ
π Hello 3rd Floor.
30 years of lessons, wins, losses.
-Today I celebrate God's goodness and the gift of another year.
Happy Birthday Gaby. π₯π
π @BarakaMaviatu
#MadiniYaGaby
#ThirdFloor
JULIUS MWASAMPETA retweeted
UZEE UMENIFIKAπ
π Hello 3rd Floor.
30 years of lessons, wins, losses.
-Today I celebrate God's goodness and the gift of another year.
Happy Birthday Gaby. π₯π
π @BarakaMaviatu
#MadiniYaGaby
#ThirdFloor
πHello Chapter 29 βMy first birthday as a father.
Life hits different when youβre someoneβs hero before they can even say your name.π
Happy birthday Gaby Loves Tech Maparachichi
#BabaJojoπ
JULIUS MWASAMPETA retweeted
Hapa jetour mda mwingine nafanya sales, na jambo nililokuja kugundua SALES sio kukomaa kumweleza mtu namna bidhaa yako ilivyo,
ila SALES inatokea pale tu mteja akiwa na uhitaji wa hiko kitu chako.
sasa ukiweza kutengeneza uhitaji ni atanunua tu.
"Elimu ya sheria ni muhimu! βοΈ Wengi wanachanganya adhabu ya miaka 30 jela kwa mwanafunzi wa shule ya msingi/sekondari na mwanafunzi wa chuo kikuu. Je, unajua tofauti ya kisheria iliyopo, Tupeane muongozo na nipe maoni yako kwenye comments. π"
















