Kikosi cha awali cha Timu ya Taifa ya Wanawake Twiga Stars kitakachoshiriki WAFCON 2026
@twigastars
4
313
@twigastars imepangwa Kundi B kwenye fainali za WAFCON 2026, Morocco
WAFCON QUALIFIERS 2026
78' Ethiopia 🇪🇹 -0️⃣-1️⃣ 🇹🇿 Tanzania
Diana Lucas ⚽️
(Agg 0-3)
@caf_online @twigastars
103
WAFCON QUALIFIERS 2026
HT’ Ethiopia 🇪🇹 -0️⃣-1️⃣ 🇹🇿 Tanzania
Diana Lucas ⚽️
(Agg 0-3)
@caf_online @twigastars
2
91
Kila la heri @twigastars kwenye mchezo wa leo wa kufuzu WAFCON 2026
@twigastars @caf_online @CAFwomen
2
90
Timu ya Taifa ya Wanawake @twigastars imefanya mazoezi ya mwisho kwenye uwanja wa Dire Dawa kuelekea mchezo wa marudiano wa Kufuzu WAFCON 2026 dhidi ya Ethiopia – at Djibouti
90
Alichozungumza nahodha wa timu ya Taifa ya Wanawake @twigastars Opa Clement kuelekea mchezo wa marudiano wa Kufuzu WAFCON 2026 dhidi ya Ethiopia – at Djibouti
2
74
Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Wanawake @twigastars Bakari Shime akizungumzia maandalizi kuelekea mchezo wa marudiano wa Kufuzu WAFCON 2026 dhidi ya Ethiopia – at Djibouti
2
69
Timu ya Taifa ya Wanawake @twigastars ikipokewa kwenye mji wa Dira Dawa, Ethiopia kuelekea mchezo wa marudiano wa Kufuzu WAFCON 2026 dhidi ya Ethiopia utakaochezwa Oktoba 28, 2025 – at Djibouti
1
100
Mkuu wa msafara wa timu ya Taifa ya Wanawake "Twigastars" Debora Ernest Mkemwa akizungumza baada ya kuwasili Addis Ababa, Ethiopia kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa Kufuzu WAFCON 2026 – at Djibouti
1
97
WAFCON QUALIFIERS 2026
65’ Tanzania 🇹🇿 2️⃣-0️⃣ 🇪🇹 Ethiopia
⚽️Aisha Mnunka
⚽ Jamila Rajab
@twigastars @caf_online
2
84
WAFCON QUALIFIERS 2026
HT’ Tanzania 🇹🇿 1️⃣-0️⃣ 🇪🇹 Ethiopia
⚽️Aisha Mnunka
@twigastars @caf_online
84
WAFCON QUALIFIERS 2026
23’ Tanzania 🇹🇿 1️⃣-0️⃣ 🇪🇹 Ethiopia
⚽️Aisha Mnunka
@twigastars @caf_online
71
Kikosi cha timu ya Taifa ya Wanawake “Twigastars” kinachoanza kwenye mchezo wa Kufuzu WAFCON 2026 dhidi ya Ethiopia
@twigastars



























