
|| 𝐦𝐲 𝐭𝐰𝐞𝐞𝐭, 𝐦𝐲 𝐟𝐞𝐞𝐥𝐢𝐧𝐠𝐬 || #CHELSEA. 💙
Tanzania
Joined January 2017
- Tweets55.9K
- Following764
- Followers39K
- Likes144K
Pinned Tweet
Ukimtendea mtu ubaya hakikisha upo kwenye dunia yako peke yako ambayo haihitaji mtu yoyote nyuma yako, umejitosheleza. kwa sababu kuna nguvu kubwa ya ubaya kumuinua zaidi yule uliyemtendea.
Nowadays ukila mboga za majani (asili) unaonekana masikini ila ukila pizza/burger unajiona maisha umeyapatia mpaka na picha unapiga wakati sehemu nyingine pizza ni chakula cha masikini 🙌
1
213
"Watatoa pesa kununua maua kuweka juu ya kaburi lako, ila wasiweze kutoa pesa kunusuru uhai wako". Hii wanaita tunachagua tupendacho bali si utakacho 🙌
4
109
Kuna utofauti mkubwa wa dhamana ya ajira na dhamana ya mali au biashara
Nilienda bank moja hapa mtoni kuulizia mkopo. Wakaniambia riba ni 10% kwa personal loan. Mfano ukichukua million 10 utalipa milion 11 ndani ya miaka mitano. (Mikopo ya biashara mpaka 3%) Bank za bongo unaambiwa riba 16% kwa mwaka. Mtumishi anaweza kopa milion 10 akalipa million 25 ndani ya miaka mitano. Yaani riba ni kubwa kuliko mtaji uliochukua.
Ndio maana kila mwaka wanatangaza faida ya mabilioni.😃
60
Tιɳƙҽɾ ✨..➐ retweeted
Men can stay up til 2 a.m., wake up at 6, be in debt, broke, alone, and still have faith that one day, everything will work out. It's called being a man.














