Pinned Tweet
Biblia Kutoka 15:23
"Walipofika mahali palipoitwa Mara hawakupata kuyanywa yale maji ya Mara, kwa kuwa yalikuwa machungu; kwa ajili ya hayo jina lake likaitwa Mara". Good Morning watu wa Mkoa wa MARA
Timber TZA retweeted
Kutafuta Pesa Ukiwa Na Afya Ni Rahisi,ila Kutafuta Afya Ukiwa Na Pesa..Unaweza Omba MUNGU Aingilie Kati📌
Timber TZA retweeted
saivi kama kuna safari yoyote na ndugu zangu najichelewesha au nawahi makusudi ili tusitumie usafiri mmoja
Mama mjamzito anamuambukiza mimba mume wake matendo yote ya mimba yatakuwa kwa mwanaume kuanzia kichefuchefu mpaka uchungu wakati wa kujifungua hapo wote watahisi uchungu ila kazi ya kuzaa itabaki kwa mwanamke na mwanaume anarudia hali yake ya kawaida.
Wazazi wanatakiwa kushiriki tendo la ndoa mara tu mtoto anapozaliwa, kitendo hicho kinaitwa kumzibua mtoto masikio, kinamfanya mtoto kuwa na akili timamu. Mara nyingi wanawake ndio huwa wanahitaji zaidi ingawa wanaume huwa wanawakwepa.
Timber TZA retweeted
Hupendi purukushani za majumba makubwa..!?, Chukua hii 3 Bedroom Simple kabisa
✍️✍️
1. 1 Self, 2 Plain Bedroom
2. Sitting room
3. Kitchen
4. Public toilet
Bati 78
Block 2800
Ramani na makadirio yapo kwetu kwa bei poa.
👇👇👇
wa.me/c/255746122023
Timber TZA retweeted
Chukua korosho, ziweke kwenye chombo, kisha mimina Mkulima WINE. Acha zinywe vizuri, kisha zianike juani zikauke. Baada ya hapo, anza kula hizo korosho Oyaa 🙌
Good morning family.
Timber TZA retweeted
Wanasayansi wanatuambia gram 1 ya Uranium inaweza kuzalizha umeme wa kutumia hata mikoa mi3
Sasa Tz inavuna Tons of uranium kwa mwaka na sjawah kuskia hata wataalam wanafanyia uchunguzi nishati hyo na kuifanyia kazi
Hii inaniambia nyinyi ni mbwa tu ndani ya cage we are nothing
















