Thomas kisanya retweeted
Replying to @mariammanono @Alumasajackson1 @RadioTaifaFM @mwamkondo @DorahManya @SarahJamini @japhethodondi @FlorenceKhamede @AludaMika @thomaskisanyaa @ezekielelkana7 @CarolyneMwimbi @_FelixOchieng @lina_njeri @MariengaVictor @elizbethonyango @P1437Raboso @mwandawiro_john @VioletKarani2 @JohnBarasa85701
Thomas kisanya retweeted
HOSSANA MACHEO:-:MAZUNGUMZO:- #tbt
Zamani heshima kwa wazee au wanaokuzidi umri ilikuwa ya hali ya juu ambapo kijana hangekaa kitini mzee akisimama tofauti na ilivyo sasa. Je mambo yalibadilikia wapi na je tukubali hali au tubadilisheaje?
#HossanaMacheo @BHusema @VictormandalaMC
Thomas kisanya retweeted
HOSSANA MACHEO:-
Ni ombi langu kwamba Mungu akupe ujasiri katika yote unayokumbana nayo
Mithali 28:1
Mtu mwovu hukimbia ingawa hakuna yeyote anayemfukuza, bali wenye haki ni wajasiri kama simba
youtube.com/watch?v=PXqM2ant…
#HossanaMacheo #Himizo @BHusema @VictormandalaMC
Thomas kisanya retweeted
HOSSANA MACHEO:-
Happy New week, ...Isaya 43:2... "Upitapo katika maji mengi nitakuwa pamoja nawe; na katika mito, haitakugharikisha; uendapo katika moto, hutateketea; wala mwali wa moto hautakuunguza..."
youtube.com/watch?v=Vnvnm9cg…
#HossanaMacheo #Himizo @BHusema @VictormandalaMC
Thomas kisanya retweeted
Umeng'ang'ana siku nyingi sasa inua macho mtazame Yesu atakupigania
#MwambaWaBaraka
@RadioTaifaFM
@DorahManya
Thomas kisanya retweeted
HOSSANA MACHEO:-
Usijisumbue sana kuhusu kesho yako maana Mungu anakuandalia mema
Mathayo 6:34
Basi, msiwe na wasiwasi juu ya kesho; kesho inayo yake. Matatizo ya siku moja yanawatosheni kwa siku hiyo
youtube.com/watch?v=BuNa87MH…
#HossanaMacheo #Himizo @BHusema @VictormandalaMC
Thomas kisanya retweeted
Good morning and praise the Lord
Come let's worship our maker;he is faithful to his promises!
Great is thy faithfulness oh Lord!
#MwambaWaBaraka
@RadioTaifaFM
@DorahManya
Thomas kisanya retweeted
Njooni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha....
Karibu tubarikiwe
#MwambaWaBaraka
@DorahManya
@RadioTaifaFM
Thomas kisanya retweeted
HIMIZO:-
Mbona wengi badala ya baraka wanapata laana kutoka kwa Pastors wao - Himizo na Victor Mandala VMM
youtube.com/watch?v=PJaCnGDD…
Kindly SUBSCRIBE Now for More
#HossanaMacheo #Himizo @BHusema @VictormandalaMC @aa284eb4ba7a42d @Babybeatrice12 @Babanjau1 @taptap82898185
Thomas kisanya retweeted
HOSSANA MACHEO:-
Ni ombi langu asubuhi ya leo kuwa Mungu akupiganie vita vyote unavyokumbana navyo kwa jina la Yesu Kristo
Kutoka 14:14
Mwenyezi-Mungu atawapigania; nyinyi mnachotakiwa kufanya ni kutulia tu
youtube.com/watch?v=yR0bcaZ5…
#HossanaMacheo #Himizo @BHusema @VictormandalaMC
Thomas kisanya retweeted
HOSSANA MACHEO:-
Usikate tamaa, utainuka tena... Mika 7:8... "Usifurahi juu yangu, Ee adui yangu; niangukapo, nitasimama tena; nikaapo gizani, BWANA atakuwa nuru kwangu..."
youtube.com/watch?v=_z26icgr…
#HossanaMacheo #Himizo @BHusema @VictormandalaMC @aa284eb4ba7a42d @Babybeatrice12
Thomas kisanya retweeted
HOSSANA MACHEO:-
Usikate tamaa, utainuka tena... Mika 7:8... "Usifurahi juu yangu, Ee adui yangu; niangukapo, nitasimama tena; nikaapo gizani, BWANA atakuwa nuru kwangu..."
youtube.com/watch?v=_z26icgr…
#HossanaMacheo #Himizo @BHusema @VictormandalaMC
Thomas kisanya retweeted
Good morning and praise the Lord!
Happy father's Day to all father's
Karibu church! #MwambaWaBaraka
@RadioTaifaFM
@DorahManya
Thomas kisanya retweeted
How long have you waited for your miracle? Definitely not as long as Sarah and Abraham...
Hata kama itachukua muda Bwana atatenda!
Karibu kwa ibaada ya #MwambaWaBaraka
@RadioTaifaFM
@DorahManya
Thomas kisanya retweeted
HOSSANA MACHEO
Mungu yu pamoja nawe, usiogope; Yoshua 1:9
Kumbuka kuwa mimi nimekuamuru uwe imara na hodari.Usiogope wala usifadhaike kwa kuwa mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, niko pamoja nawe popote uendapo
youtube.com/watch?v=9nkOIj4A…
#HossanaMacheo #Himizo @BHusema @VictormandalaMC
Thomas kisanya retweeted
Nainua macho yangu nitazame milimani msaada wangu watoka wapi ..watoka kwako Yesu...#MwambaWaBaraka @RadioTaifaFM @Alumasajackson1 @BradlyNabiswa @Babybeatrice12
Thomas kisanya retweeted
WAZO LA SIKU:- #tbt
Ruhusu Mungu akuongoze na akufundishe na kamwe hautajuta
Zaburi 25:5
Uniongoze katika ukweli wako na kunifundisha, kwani wewe ni Mungu, mwokozi wangu; ninakutegemea wewe kila siku
youtube.com/watch?v=QA-kKxY6…
SMS 21967 #Hossanamacheo @BHusema @Victormandalamc
Thomas kisanya retweeted
Yale usiyoyaweza Bwana anaweza
#MwambaWaBaraka
@RadioTaifaFM
@Alumasajackson1
@Babybeatrice12
@Mincelet1
Thomas kisanya retweeted
Are you weary, discouraged, feeling rejected,do you feel like giving up?
Don't give up,try God one more time,he is faithful!
Good morning
#MwambaWaBaraka
@RadioTaifaFM
@DorahManya



















