miriam retweeted
Friendship is a voluntary bond between people, based on mutual respect, trust, sincerity, and shared values. It is valuable in itself, not because of its usefulness. Yet precisely for that reason, true friends help one another live fuller, more meaningful, and emotionally richer lives.
miriam retweeted
Good morning. Kuna riziki yako leo. Amka, pambana, kuwa mwaminifu na acha Mungu afanye sehemu yake
miriam retweeted
Consistency kwenye kila kitu unachokifanya ndio msingi wa mafanikio, Kudra sio kwa kila mtu wakati mwingine✍🏾
miriam retweeted
The snake that bites you is often hidden in the long grass you refuse to cut. ~ African proveb
“Nyoka anayekuuma mara nyingi hujificha kwenye nyasi ndefu unazokataa kuzifyeka.”
Somo;
“Hatari inayokuangamiza mara nyingi hujificha katika mambo madogo unayoyapuuza.”
MAMA LINDA.
ESTHER MALULU!!
ALIKUFA KIFO CHA KUTATANISHA PIA ALIKUA RAFIKI YANGU SANA ALIE KUWA PROUD KWA KILA KITU NACHO FANYA❤🙏🏾
miriam retweeted
Happy birthday Princess Malaika You are my greatest blessing. I love you, my daughter. ❤️
miriam retweeted
Hali ikiendelea hivi miezi michache ijayo town watu wengi watafunga maduka nakwambia 😂😂😂😂
miriam retweeted
Hii option kali sana hapa mjomba @elonmusk alituliza kichwa.
Kwa sasa unaweza kurepost post yeyote na hzo repost zina dashboard yake hivo kuifanya page yako ionekane vizuri sana.
Kwa wale ambao walikuwa hawapendi kurepost kwa kuhofia kuchafua page yao huu ndio wakati sasa.
Chapa repost 20🔥🔥🔥🔥




























