Safari ni hatua, usipoanza huwezi kufika.
Mwaka 2023 ukawe mwaka wako kupiga hatua kuelekea sehemu bora zaidi.
#HappyNewYear #HeriYaMwakaMpya #2023NewYear #TBCfmUpdates #TBCfmtz #TBCfm #TBCfm_Online #WashtuweWana #TBConline #TBCupdates
3
609
Leo ni kumbukizi ya siku ya kuzaliwa Mama Maria Nyerere ambapo ametimiza umri wa miaka 93.
Tunamtakia furaha anapoadhimisha siku hii.
#TBCfmUpdates #TBCfmtz #TBCfm #TBCfm_Online #WashtuweWana #TBConline #TBCupdates
1
466
Kiongozi Mstaafu wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Benedict XVI (95) amefariki dunia katika makazi yake Vatican.
Taarifa ya Vatican imesema "Kwa masikitiko ninawajulisha kuwa Papa Mstaafu, Benedict XVI amefariki leo saa 9:34 katika Monasteri ya Mater Ecclesiae huko Vatican."
1
356
Klabu ya Al Nassr ya Saudi Arabia imethibitisha kumsajili gwiji wa soka raia wa Ureno, Cristiano Ronaldo kwa mkataba unaodumu hadi mwaka 2025.
Habari za kusajiliwa kwake zimethibitishwa Ijumaa usiku na klabu hiyo kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii.
#TBCfmUpdates #TBCfm
2
298
Emiliano Martínez ndiye kipa bora wa mashindano ya kombe la dunia 2022.
#FIFAworldCup #WorldCup2022 #MbungiNyumbaniBuuree #TBCfmUpdates #TBCfm_Online #TBCfmtz #TBCfm
3
330
Julián Álvarez ndiye mchezaji bora chipukizi wa mashindano ya Kombe la Dunia 2022.
#FIFAworldCup #WorldCup2022 #MbungiNyumbaniBuuree #TBCfmUpdates #TBCfm_Online #TBCfmtz #TBCfm
2
274
Lionel Messi ndiye mchezaji bora wa mashindano ya Kombe la Dunia 2022.
#FIFAworldCup #WorldCup2022 #MbungiNyumbaniBuuree #TBCfmUpdates #TBCfm_Online #TBCfmtz #TBCfm
3
251
Lionel Messi amemaliza kila kitu katika soka hakuna kombe wala tuzo kubwa ambayo hajaipata na leo amelinyakua Kombe la Dunia na kuifanya Argentina kuwa mabingwa mara tatu wa kombe hilo.
#FIFAworldCup #WorldCup2022 #MbungiNyumbaniBuuree #TBCfmUpdates #TBCfm_Online #TBCfmtz
4
233
Furaha ni kuliona na kuwa na uhakika kuwa wewe ndio utalibeba na kurudi nalo nyumbani, ndoto ya muda mrefu ya Lionel Messi imetimia baada ya kutwaa ubingwa wa Dunia 2022.
#FIFAworldCup #WorldCup2022 #MbungiNyumbaniBuuree #TBCfmUpdates #TBCfm_Online #TBCfmtz #TBCfm
3
245
Furaha ya familia ya Messi….!
Mchezaji bora wa Kombe la dunia 2022 akiwa na watoto wake mara baada ya Argentina kutwaa ubingwa wa Dunia.
#FIFAworldCup #WorldCup2022 #MbungiNyumbaniBuuree #TBCfmUpdates #TBCfm_Online #TBCfmtz #TBCfm
7
223
Baada ya dakika 120 na mikwaju ya penati na Argentina kuibuka na Ubingwa, Miamba ya PSG Lionel Messi na Kylian Mbappe wakapeana pole na hongera.
#FIFAworldCup #WorldCup2022 #MbungiNyumbaniBuuree #TBCfmUpdates #TBCfm_Online #TBCfmtz #TBCfm
2
300
Hatimaye Lionel Messi anatimiza ndoto ya kulinyakua kombe la dunia baada ya kuiwezesha Argentina kuwa mabingwa.
Hii ni mara ya tatu Argentina kutwaa taji hilo baada ya kufanya hivyo mwaka 1978 na 1986.
#FIFAworldCup #WorldCup2022 #MbungiNyumbaniBuuree #TBCfmUpdates #TBCfm
1
177
ARGENTINA MABINGWA WA KOMBE LA DUNIA 2022
#FIFAworldCup #WorldCup2022 #MbungiNyumbaniBuuuree #TBCfmUpdates #TBCfm_Online #TBCfmtz #TBCfm
1
98
Nahodha wa timu ya Taifa ya soka ya Argentina, Lionel Messi amesema mchezo wa fainali ya Kombe la Dunia 2022 ni mchezo wake wa mwisho wa Kombe la Dunia akiichezea nchi hiyo.
Haya ni mashindano yake ya tano akiwa na timu ya Taifa ya Argentine lakini hajawahi kutwaa taji hilo.
3
Picha mbalimbali zikimuonesha mwandishi wa habari na mpiga picha wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) mkoani Manyara, Joachim Kapembe, akishiriki kwenye matukio ya kikazi enzi za uhai wake.
Joachim Kapembe amefariki dunia wakati akishuka kutoka kilele cha Mlima Kilimanjaro.
𝗞𝗮𝗽𝗲𝗺𝗯𝗲 𝘄𝗮 𝗧𝗕𝗖 𝗔𝗳𝗮𝗿𝗶𝗸𝗶 𝗗𝘂𝗻𝗶𝗮
Mwandishi wa habari na mpiga picha wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) mkoani Manyara Joachim Kapembe amefariki dunia alipokuwa akishuka kutoka katika kilele cha Mlima Kilimanjaro kwa usafiri wa baiskeli.
#TBCfmUpdates
Lionel Messi amekuwa mfungaji bora wa muda wote wa Argentina baada ya kumpiku Gabriel Batistuta.
Messi amefikisha Mabao 11 baada ya hii leo kuifungia timu yake ya taifa bao la kwanza dhidi ya Croatia.
#FIFAworldCup #WorldCup2022 #MbungiNyumbaniBuuree #TBCfmUpdates #TBCfmtz
1
Picha mbili tofauti zikiwaonesha Lionel Messi na Julián Álvarez ambao wameifanya Argentina kutoka kifua mbele dhidi ya Croatia katika mchezo wa nusu fainali ya michuano ya Kombe la Dunia 2022.
#FIFAworldCup #WorldCup2022 #MbungiNyumbaniBuuree #TBCfmUpdates #TBCfm_Online #TBCfmtz
Ukisikia chenga mchekecho ndio aliyoipiga Lionel Messi kabla ya kutoa pasi kwa Julián Álvarez ambaye aliweka kambani bao la tatu kwenye mchezo wa nusu fainali ya kombe la dunia dhidi ya Croatia.
#WorldCup2022 #MbungiNyumbaniBuuree #TBCfmUpdates #TBCfm_Online #TBCfm
Argentina inatinga fainali ya Kombe la Dunia 2022 ikisubiri mshindi kati ya Morocco ama Ufaransa, baada ya kuitoa Croatia katika hatua ya Nusu fainali.
#FIFAworldCup #WorldCup2022 #MbungiNyumbaniBuuree #TBCfmUpdates #TBCfm_Online #TBCfmtz #TBCfm
4






















