Arnold Amel (@taimweusi) profile picture

•Professional in Building Construction & Management •Talented in developing Critical Thinking Skills to Kids

Arusha, Tanzania
Joined September 2013
Photo by Arnold Amel (@taimweusi)Photo by Arnold Amel (@taimweusi)Photo by Arnold Amel (@taimweusi)Photo by Arnold Amel (@taimweusi)Photo by Arnold Amel (@taimweusi)Photo by Arnold Amel (@taimweusi)Photo by Arnold Amel (@taimweusi)Photo by Arnold Amel (@taimweusi)Photo by Arnold Amel (@taimweusi)Photo by Arnold Amel (@taimweusi)
Replying to @TRATanzania
@TRATanzania Naomba kujua nikiagiza electronics device eg simu kutoka UK, [Amazon] Gharama za kodi/ushuru ni zipi ? %
2
Replying to @WizaraMNN
@WizaraMNN Habari zenu, Kwa muda mrefu tangu tatizo la umeme lianze imekua vigumu kupata hudama kwenye ofisi ya Kisongo maana hawana Umeme. Ukizingationa ninmbali na mjini, unamaliza nauli kwenda na kurudi na hakuna huduma. Tunaomba Backup ya Generator kurahisisha huduma hapo.
3
Replying to @VodacomTanzania
@VodacomTanzania Naomba kujua kwanini nikinunua Cheka all network bundle bado mnanichambulia dk za voda to voda? Ni bundle ipi ambayo ni all network?
1
7
Replying to @tanescoyetutz
@tanescoyetutz mbona umeme hamkati siku hizi? Hatujazoea kabisa kukaa na umeme 24hrs.
5
Replying to @JMakamba
@JMakamba @tanescoyetutz @SuluhuSamia Tunaomba mtuambie umeme shida ni nini? Kama ni mgao tupeni ratiba.
Replying to @tanescoyetutz
@tanescoyetutz Maana ya kuwa na kitengo cha huduma kwa wateja ni nini kama hamtupi taarifa ya huku kukatika kwa umeme? Kama ni mgao toeni ratiba tujue.
Replying to @tanescoyetutz
@tanescoyetutz Kwanini Arusha umeme umekua wa shida sana?
Replying to @tanescoyetutz
@tanescoyetutz Arusha kuna shida gani ya umeme? Naomba kama ni mgao mtupe ratiba tujue tunaishije.
Replying to @tanescoyetutz
@tanescoyetutz Niliomba kufunguwa umeme miaka miwili ilyopita. Nikapata control Number na kulipia miezi tisa iliyopita lakini mapaka sasa hakuna huduma. Nirudishieni hiyo pesa nikamwagilie Moyo kama ndivyo mmeamua kutonipa huduma.
Replying to @NemcTanzania
@NemcTanzania – at Arusha, Tanzania
Replying to @NemcTanzania
@NemcTanzania @ViwandaBiashara hichi kiwanda cha Fibre board Arusha. Moshi unaotoka hapa ni mbaya sana. Tafadhali naomba muliangalir hili
Replying to @NemcTanzania
@NemcTanzania @ViwandaBiashara hichi kiwanda cha Fibre board Arusha. Moshi unaotoka hapa ni mbaya sana. Tafadhali naomba muliangalir hili
Asante sana kwa kutukumbusha kuwa utu. Mungu akubariki brother.
Barabarani, unakutana na mwanamke mchuuzi masikini mwenye *mtoto mgongoni,* unashusha kioo cha gari lako na kumuuliza kwa sauti ya kijeshi: "Unauza bei gani hivyo vitunguu na hizo ndizi?" Muuzaji masikini *kwa upole anakujibu "shilingi elfu moja kwa kichane cha ndizi,....
Replying to @tanescoyetutz
@tanescoyetu Arusha kuna nini leo jumapili umeme unakatika sana? Maeneo ya Njiro.
Trending in #Tanzania #HeIsNotAterrorist In support of @freemanmbowetz leader of main opposition party in #Tanzania who is charged with terrorism by the regime of @SuluhuSamia after his party tried to push for constitutional reforms We are on a collision course - what next!?
1
Jambo hili la Solidarity Tax lilijadiliwa bungeni na likakubalika lakini Wananchi wamepiga kelele na huenda mabadiliko yakawepo... sasa hawa wawakilishi wa wananchi walitumwa na nani? Je waliongea maoni ya wananchi au nao ni sehemu ya serikali??
Wabunge ni mojawapo ya watu wacheche wanapata benefits kubwa sana. Ingekua rahisi kuhamasisha watu kuhusu solidarity tax kwa angalau kutumia magari ya kawaida kama RAV4 ili fedha ziweze kuokelewa kupelekwa sehemu zenje uhitaji.
Yaani @VodacomTanzania wamekaa kiwizi wizi unaweza ukadhani ni mtandao wa kistaarabu kumbe wapi.
1
1
Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania Mama @SuluhuSamia si unaweza kutuletea Aggey Mwanri hapa Arusha tafadhali. Bado yule mzee anaweza kazi kabisa.
1