Dion The Insider (@stephen_waritu) header
Dion The Insider (@stephen_waritu) profile picture

📌Scientists,📌Forex Trader.

Tanzania
Joined March 2019
Dion The Insider retweeted
Nimefanya research Miaka 10 nimegundua salon ya kiume inalipa kuliko ya kike. Nimekuwa manager miaka 6 chini ya salon zote 2 na Kila mwisho wa mwaka nilingundua salon ya kiume imeingiza pesa zaidi. Ndugu Mtanzania, kama hujui ufanye Nini na una pesa at least 1M unaweza...
84
194
13
1,604
233,557
Pray for congo.
Congo is silently going through a genocide....Don’t keep silent....Speak up for the our Congolese brothers and sisters.
2
65
Watu wengi wamepoteza DIRA ya maisha, Mbaya zaidi hawajui shida inaanzia wapi 🧠 Leo nashare siri 7 zilizonisaidia kubadili maisha yangu... Baada ya kusoma barua hii utakuwa umejuwa wapi tatizo linaanzia na nini kifanyike! Bookmark na Repost! 1. Umuhimu wa kuwa na clarity. Clarity ni mwanga kwenye maisha. Ni kujua kwanini upo duniani na unapswa kufanya nini. Ilinichukua muda mrefu sana kuweza kufikia hapa. Inahitaji tafakuri kubwa na kupitisha kwenye mizani mingi. Clarity ni kujua nini priority na nini ni muhimu. Clarity ni kufanya yaliyo kipaumbele zaidi kwenye maisha yako. Ifike kipindi 90% ya matendo yako yawe ni deliberate. Uishi kwa kujenga maisha yako. 2. Kujua kuwa uko responsible 100% na maisha yako na hauna wa kumlaumu. Moja ya fundisho kubwa kwenye maisha ni kujua hili. Siku ukifikia hatua kujua na kulielewa hili utakuwa umeokota dodo. Watu wengi huwa wanaishi kana kwamba kuna mtu wa kulaumu kwa kufeli kwao. Man, uko peke yako, hakuna wa kuja kukukumbusha struggles zako. La muhimu ni kutumiza majukumu yako na kumwachia Mungu yake. Wewe ndio unawajibika na maisha yako kwa 100% Kaa kuna shida mahali, ni wajibu wako kuhakikisha unapindua meza. 3. Akili tulipewa bure. Ndio utajiri mkubwa alionao kila mmoja wetu. Shida ni kuwa subconscious mind yako imekuwa programmed na jamii. Kuanzia: nyumbani, dini, shuleni, habari, mitandao n.k Hawa ndio wanakwambia wewe ni nani. Hawa ndio wanakupangia namna bora ya kuishi. Usiposhituka walimwengu watakutumikisha daima: . Utawafanyia kazi, . Watakuuzia junk food . Watakuuzia pombe na energy . Watakuletea porn na burdani nyingi . Watakuletea fursa za kubet na kutajirika ghafla . Watakujengea hospital nzuri ili wakuuzie dawa (Ukiigua kwa kula vibaya) n.k n.k Unahitaji ku-reprogram AKILI yako ili ifanye yale unayotaka wewe. Upate uhuru wa kuamua nini ufanye na nini usifanye na kwa wakati gani. It takes a lot of effort kuweza kufika huu uhuru. Na kwa bahati mbaya, wengi huwa hawafiki hapa. Kazi kwako. Ukweli ndio huo. 4. Kuna tofauti kubwa kati ya mambo ya muhimu na mambo ya lazima. Watu wengi wanapoteza muda mwingi wakifanya mambo ya muhimu. Ndio ni ya muhimu, lakini yanaweza kusubiri. Unapaswa kufanya mambo ya lazima. Priorities zako ndio zije kwanza. Shida ni kuwa ukiwa hujui kusudi na malengo yako, Huwezi kutofautisha ulazima na umuhimu. Fanya mambo ya lazima kujenga kesho yako. Afya, spiritual, uzalishaji thamani, afya ya akili na utimilifu wa mwili. Puuza na achana kabisa na kelele za walimwengu. 5. Kusudi na malengo Kujua kusudi lako na malengo yako ndio mafanikio makubwa zaidi hapa duniani. Wingi wa pesa bila kuwa na kusudi linalokupa maana ya maisha, ni umasikini type 2. Ndo maana kuna wengi wana pesa lakini hawana furaha na maisha. Mafanikio ya kweli yanaanzia kujijua wewe ni nani na kwanini upo hapa duniani? Ukiishi kwa kusudi na malengo, fedha zako zitakuwa na tija sana. Na zitakusaidia kutimiza kusudi lako hapa duniani. Kujijenga na kuwa msaada kwa wengine. Tafuta kujua kusudi lako, litakusaidia kuishi maisha yenye satisfaction kubwa. 6. Energy na muda - Mali kweli. Hivi ndivyo vitu viwili adimu zaidi duniani. Kila mtu anakuwa na energy yake sawa sawa kila siku. Ni jukumu lako kuamua uituimie vipi energy yako. Mmoja ataamua kuangalia muvi siku nzima na kuperuzi mitandao. Mwingine atatumia energy yake kujifunza ujuzi mpya na kuongeza thamani. Wakati huo huo muda unaenda na haurudi nyuma. Ukweli ni kwmaba kule unaweka attention yako, Ndiko energy inaenda. Ukiweka kwenye kula burdani, utakula bata kweli. Ukiweka kwenye kujijenga na kuwekeza kwako, utakuwa bora zaidi. Kuwa mbinafsi kwenye energy na muda wako. 7. Lazima uwe na Routine Usiwahi kuishi bila kuwa na routine. Kwa mfano, zoea kuweka alarm muda wa kulala, halafu asubuhi utakuwa unaamka pale ulipozoea. Ukifikia uwezo huuu takuwa mbali sana. Kuna watu bado wanasumbuka na uwezo wa kuamka asubuhi, imagine. Yaani hata alarm ipige, anazima na kuendelea. Kuna zile umechoka, ulichelewa kulala, hizo ni kawaida kibinadamu. Hapa nazungumzia yule, hawezi kuamka muda aliojipangia kila siku hata kwa kutumia alarm. Huu ni udhaifu mkubwa. Binadmau lazima uishi na routine. Ujue unaamka saa ngapi, utafanya nini siku hiyo, Na kila unachofanya kiwe kwenye mipango yako. Hii ni muhimu, kwa sababu ukijisahau kidogo tu, Unajikuta unajenga ndoto za watu wengine. Je, una routine? You need one. Kwa kiwango kikubwa haya yamechangia sana kunipa taswira mpya ya maisha na kufanya kile napenda kwa kusaidia wengine. Kusudi + Malengo + Unfu*ked Mind = Sucess Jukumu ni lako kuutafuta ukweli na kuuishi. Satisfaction iko kwenye kuishi maisha yako. Tukutane 15 – 18 December kwenye: #TutoebowoteFest Ukikosa, Umependa mwenyewe! Join our Telegram Channel: t.me/+3I0ktQ-iZkkzYTQ0 Ndimi, Millambo, R. 0754087177
37
174
5
327
47,550
Soma hii kama Unataka Kubadili Maisha yako 🧠 Kila mtu anatamani maisha mazuri, Shida inakuja kwenye kulipa gharama. Repost Iwafikie Wana! Wengi wanakosa nidhamu na kujiheshimu. Wakitumwa wanafanya, Wakijituma hawafanyi. Ziko njia nyingi za kufikia maisha unayoyataka. Unaweza kurithi, wachache wana bahati. Unaweza kufanya biashara haramu. Utafungwa Pia unaweza kubaki ukiomba Mungu. Ama ukaamua kuchukua sheria mkononi na kutengeneza maisha yako, na mwenyezi Mungu atakujaalia. Njia sahihi ya kuyafikia maisha unayotaka ni: Kuwekeza kwako na kuwa bora zaidi ya jana. Jifunze ujuzi mpya utakaokusaidia kuingiza kipato. Simaanishi Learning a skill, Namaanisha Acquiring a skill, Kuna utofauti mkubwa hapa... Acquiring is more than Learning a skill. Tatizo kubwa la mfumo wa elimu ni kuwafunza watu bila ku-acquire skills. Yaani mtu anasoma Comp. Sc lakini hawezi kutengeneneza hata landing page. Mtu anasoma lugha mpya lakini hawezi kuongea fluently hata kwa dakika moja tu. Hii ni Learning na sio Skill Acquisition. Skill Acquisition inahitaji: Mazoezi . Mazoezi. Mazoezi. Tena kwenye mazingira halisi. Kama unajifunza Kichina hakikisha unapata sehemu za kuongea na Wchina wenyewe. Kufanya mazoezi kwenye mazingira halisi until autonomous stage - Hapo uta-acquire skill. Tutoke huko. Jifunze tabia mpya zitakazokusaidia kuweza kuwa mtu bora: Kuamka mapema. . Kuishi kwa malengo. . Acha kuamua kwa kutumia hisia. . Wajibika kwenye maisha yako. . Anzisha biashara mpya. Ingiza kipato. . Wekeza. Nunua hisa. Nunua vipande. Nunua ardhi. Wekeza kwenye real estate. . Usikae tu kulalamika, do something. . Unapoweka malengo, jiheshimu na uyafate kikamilifu. . Kuwa na mwendelezo kwenye kile unafanya. . Sow-up kila siku. Italipa in the long run. Acha tabia zinazokurudisha nyuma: -Acha porn -Acha betting -Acha masturbation -Acha kufanya fanya ngono - Live more mindfully... Kataa kuwa normal💪 Dunia sio ya watu wa kawaida. Duniani ili uweze kufanikiwa lazima kufanya mambo yasiyo ya kawaida kwako. -Lazima uanze kuwaza tofauti, -uanze kuishi kwa kusudi, -uanze kufuata njia yenye tumaini mbele yako. Inawezekana. Wewe ni #JeshiLAM2M1 Bookmark & Repost! Ili kujifunza zaidi kwenye Bio Hacking, Personal Development na Expert Business: FOLLOW ME: @millambo_ Join our Telegram Channel: t.me/+3I0ktQ-iZkkzYTQ0 Subscribe to our YouTube: youtu.be/MgNciMpSSmk?si=8OI7…
19
123
1
253
27,333
Dion The Insider retweeted
Kama Unaamini Kuna siku Utatoboa, basi wewe ni Komando Mwenzangu!☠️
303
520
38
4,759
165,468
Ukiacha hizi Tabia 5, Baada ya miezi 6, utakuwa umejipata: 1. Kusoma vitabu na huchukui hatua 2. Kufaya mambo kwa mzuka 3. Kuogopa macho ya watu 4. Kusema utaanza kesho 5. Kuwa na visingizio vingi 6. Kuahirisha mambo 7. Kuamini huwezi #Jeshilam2m1
2
43
2
191
8,420
Kama unasumbuka na consistency, Hii itakusaikia kujiokoa: 1. Jua kusudi lako 2. Weka na fuata malengo 3. Usianze siku bila kuwa na mpango 4. Kuwa na vipaumbele 5. Jifunze kusema hapana 6. Jifunze kutumia pomodoro 7. Jenga tabia ya kumaliza kazi 8. Zoea kufanya mambo yanayokuchallenge 9. Kila siku jitathimini #Tutoboewote
7
56
196
13,796
SIRI 7 ZA KUFANIKIWA KWENYE JAMBO LOLOTE 🧠 Repost Iwafikie Wana #TUISHIHUMO 1. Kataa kuishi na waliokata tamaa. Ukizungukwa na walalamikaji na wewe unakuwa mlalamikaji. Watu wanaokuzunguka wanapanda mbegu kwenye maisha yako. Unakuwa wastani wa watu 5 unaokuwa nao kila siku. Pambana kuhakikisha unazungukwa na watu wanaokomaa kukuvusha. Sio kila siku ni shida na kuwaza kuponda raha tu. 2. Kataa kufanya mambo kwa kujisikia. Hapa duniani, ni aidha ushinde au upigwe. Hakuna sare. Usipotoboa, utatoboka. Mambo ya kufanya kazi kwa mzuka yatakufanya wa kawaida. Matokeo makubwa yanataka consistency ya hali ya juu. Iwe unajisikia, hujisikii – Nenda kapige kazi. 3. Kataa raha nyepesi. Hizi zinakupa cheap dopamine na kujisia vizuri. Kumbe uko pale pale. Kuangalia porn, punyeto, kucheza gemu, kula vibaya kila mtu anaweza. Ni vitu vya kipuuzi ambavyo akili huvikimbilia kila, Unapokuwa unakwepa kufanya majukumu yako. Zoea delayed gratification, mambo yanayokupa ustahimilivu na Kukufanya mgumu kwenye maisha. 4. Weka malengo yako na tekeleza bayana. Kila siku kazi yako ni kukimbiza tu ndoto. Kila siku fanya jambo linalokusogeza kwenye ndoto yako. Usikubali kupitiwa na mkumbo. Kelele ziko nyingi. Daima kumbuka kusukuma malengo yako. 5. Jiendeleze na kuwa bora kila siku. Watu wanaweza kukuzingua kwa mengi. Lakini ukiwa bora kuliko wao, hakuna kitu watafanya. Hakikisha kwenye eneo ulilochagua basi unakuwa bora zaidi. Kuwa bora mpaka haters wakikaa chemba wanakubali mziki wako. Hii itakupa thamani zaidi. 6. Jenga nidhamu na jiheshimu. Futa kabisa tabia ya kuweka mipango na kushindwa kuifata. Kila malengo unayojiwekea basi hakikisha unayatekeleza kikamilifu. Ukisema kila siku utasoma na kujifunza jambo jipya. Hakikisha umetekeleza na kufikia kiwango stahiki. Usikabie macho. Tenda na kuwa serious na maisha yako. 7. Jenga positive mindset. Kuwa na abundant mindset. Kila jambo jema linaanzia kichwani. Unakuwa na mawazo bora. Ukiwaza ujinga unakuwa ujinga. Ni jukumu lako kuhakikisha akili yako iko focused na kile unafanya kila siku. Kwa sababu unakuwa kile unawaza. Yote kwa yote: MUNGU KWANZA Timiza yako 100%, mengine mwachie Mola. Repost Wengi Wajifunze! Ili kujifunza zaidi kwenye Bio Hacking, Personal Development na Expert Business: FOLLOW ME: @millambo_ Join our Telegram Channel: t.me/+3I0ktQ-iZkkzYTQ0 Subscribe to our YouTube: youtu.be/MgNciMpSSmk?si=8OI7…
20
129
2
228
24,197
Dion The Insider retweeted
Wenye Yanga yenu jitambulisheni kwa RT moja yenye hadhi ya nyota tano tafadhali..
156
458
20
3,636
148,348
Dion The Insider retweeted
12,851
76,130
3,906
749,496
54,533,668
Dion The Insider retweeted
Waziri wa Elimu Prof Adolf Mkenda okoa mstakabali wa maisha ya binti huyu. "Kaka pole na Majukumu, Naomba kaka nisaidie, mtoto huyu kwenye picha anaitwa SIFIKA DANIELY RUBEN, naomba apate Haki zake, Ipo hivi kaka, Nilikuwa natafuta binti wa kazi za ndani, Nikapata binti kutoka Hedaru, alipofika nikamuhoji ili kujua ametoka wapi hasa, na familia yake ipoje. Akaniambia amemaliza Form Four, Ana Division One ya 10, Nikamuuliza Kwanini hujaenda shule, Akasema shule aliyopangiwa wameuza jina lake, Alipoenda kuripoti aliambiwa nafasi yake haipo. Nimeumia Kiukweli naomba nisaidie kwa wahusika binti apate haki yake, Mimi sina kipato kikubwa lakini kwa shule ya serikali nitamsomesha, lakini anapataje haki yake maana mimi kumpeleka shule binafsi uwezo sina. Shule aliyomalizia Form Four ni MKOMBOZI SECONDARY SCHOOL ipo Hedaru Wilaya Ya Same. Shule aliyopangiwa aripoti Form Five Inaitwa NAMWAI HIGH SCHOOL Ipo Mkoa wa Kilimanjaro Sanya Juu, Na Mchepuo aliopangiwa ni PCM Namba yake ya Mtihani ni S.P. 0708/0136 Naomba Nisaidie Huyu Mtoto apate haki Yake Arudi shule Mimi nilitaka mfanyakazi ndo nimeletewa Huyo na Moyo wangu Umekosa Amani Nafasi yake Imeuzwa Kisa Alichelewa Kurepoti shule Wazazi wake Hawana Msaada Tena Maana Baba yake ni masini kabisa, na Mama Yake mzazi kwa sasa ni Mgojwa. Naomba Nisaidie apate hake yake Mimi Nitamsomesha Kwa hikihili kipato changu kidogo Nilichojaliwa"
341
804
93
3,177
339,976
Dion The Insider retweeted
Video & audio calls coming to X: - Works on iOS, Android, Mac & PC - No phone number needed - X is the effective global address book That set of factors is unique.
26,318
46,849
23,998
345,283
110,033,112
Dion The Insider retweeted
This is undoubtedly the pic of the day!
349
3,501
187
28,407
1,129,796
Dion The Insider retweeted
Nchi imejaaaa rahaaa na upendo mpaka basi! Sasa kuna wale wanaolala wanaota u PM mara hivi mara vile Tulieni jamani acheni watu hawa wafanye kazi eeeh 🙌
1
26
1
197
31,700
Dion The Insider retweeted
Je wajua tozo zimepunguzwa na #MPesaImeitika? Fanya miamala mbalimbali kwa TOZO ZILIZOPUNGUZWA kupitia M-Pesa App au piga *150*00# ujishindie boda boda kila siku, wese full tenki, bajaji na MJENGO MPYA wenye fanicha kutoka GSM Home. #PesaniMpesa @VodacomTanzania
7
9
13
Je wajua tozo zimepunguzwa na #MPesaImeitika? Fanya miamala mbalimbali kwa TOZO ZILIZOPUNGUZWA kupitia M-Pesa App au piga *150*00# ujishindie boda boda kila siku, wese full tenki, bajaji na MJENGO MPYA wenye fanicha kutoka GSM Home. #PesaniMpesa @Vodacomtanzania
1
8
10
Dion The Insider retweeted
Jenga na mwalimu bank ni mkopo nafuu wa vifaa vya ujenzi wakishirikiana na FMJ hardware ili kufikia malengo ya mfanyakazi kumiliki nyumba kwa bei nafuu.Kwa msaada zaidi tupigie 0800750033 au fika katika ofisi zetu karibu nawe #Jenganamwalimubank #Mwalimubank @MwalimuBank
3
11
14
Dion The Insider retweeted
Jenga na Mwalimu Bank ni mkopo unaowasaidia wafanyakazi kukopeshwa vifaa vya ujenzi. Mkopo huu unatolewa na Mwalimu Commercial Bank kwa kushirikiana na FMJ Hardware LTD. Njoo ujenge na Mwalimu Bank. #mwalimubank #jenganamwalimubank @MwalimuBank
3
13
17