fake friend retweeted
Haijalishi Unapitia Magumu Kiasi Gani Usijaribu Kujiua , Kuwa Mpole Ipo Siku Utakufa Tu 👊🙏
fake friend retweeted
Replying to @__sheriii
Cheti cha kuzaliwa kiwe kina data za wazazi wote, barua ya M.kiti/mtendaji vyote visomane na NIDA uikienda mbali ni taarifa zako zinasomana.
Muda wa kukaza ndio huu fanya profiling kali sanaa kiasi siku wakianza kukaza kuwe hakuna mtu wa kuruka.
fake friend retweeted
Yeah, sex is great, but have you ever passed that one subject which nearly ruined your life 🥹....
fake friend retweeted
Pamoja na kuwa tunamkosea mkali wa MBINGU na NCHI lakini tukiwa na mda tuwe tunamuomba atuepushe na aibu ndogo ndogo..!🙏🏻
Jana usiku Boda kapata ajali na kuvunjika mguu (paja)😭
Kufika hospital ‘madokita’ wanachana jeans tunakuta mwamba kafunga ‘KILEMBA’ 🙌🏻🙌🏻😂😂
fake friend retweeted
Behind every stupid woman, there’s another stupid woman encouraging her to be stupid.
Kwenye harakati zetu vijana tujitahidi wana wenye roho kama ya brother hapa tuwaepuke
Kama wanapenda madaraja ya kulipia si wayajenge dodoma
Toll daraja la Tanzanite? Kuna nafasi ya kuweka payment booths za kutosha au mnataka kuleta foleni isiyo na sababu? Lile daraja la njia nne halikusanifiwa kwa lengo hilo. Hizi ziara ziwe na wawezeshaji wataalamu wawe wanawajibu wanakamati papo hapo kabla hawajaongea na media.
1
36





















