Shafii Shefar 🦅 (@shefartdc) header
Shafii Shefar 🦅 (@shefartdc) profile picture

Founder & Owner shefar Trading And General Supply @machesterunited&⚽⚽ @Wizkid Fan

Mwanza, Tanzania
Joined February 2016
Photo by Shafii Shefar 🦅 (@shefartdc)Photo by Shafii Shefar 🦅 (@shefartdc)Photo by Shafii Shefar 🦅 (@shefartdc)Photo by Shafii Shefar 🦅 (@shefartdc)Photo by Shafii Shefar 🦅 (@shefartdc)Photo by Shafii Shefar 🦅 (@shefartdc)Photo by Shafii Shefar 🦅 (@shefartdc)Photo by Shafii Shefar 🦅 (@shefartdc)Photo by Shafii Shefar 🦅 (@shefartdc)
Keep it real or keep Your Distance #ShefarTdc 🦁🦁🦁 – at Mwanza, Tanzania
5
4
23
Shafii Shefar 🦅 retweeted
Mwamba katulia anaimba Mvua ya Baraka huku anadaiwa kodi 😇
1
1
12
360
Shafii Shefar 🦅 retweeted
Siku moja, Mungu ana matumizi nayo balaa. It can change everything. Keep grinding, keep your hopes.
3
32
1
198
3,947
Shafii Shefar 🦅 retweeted
Mpaka saivi maparod yapo kwani nisije nikajichanganya huko Dm😮‍💨😮‍💨😁😁
3
12
22
582
Unakuwa fair na hisia zake same time na maisha yako pia 😅😂
Kuna mtoto wa watu kila nikikutana na lifestyle yake najua kabisa “pangu pakavu” ningekuwa namchelewesha sana bora alinitua 🤣🤣🤣
21
Shafii Shefar 🦅 retweeted
Waliopoteza Vitambulisho vya Nida, ambao hawana Vitambulisho na ambao Vitambulisho vyao vilifutika saiv watapewa Vitambulisho vipya hizi vitakuwa tofauti na mwanzo. Mtendaji Mkuu Nida. Itv News, Utv News
12
26
1
242
9,872
Shafii Shefar 🦅 retweeted
Hakuna kikao cha darasa kilichowahi fanyika kikaisha bila mtu kusema "Tatizo hili darasa hatuna ushirikiano" 😂
31
55
1
561
15,771
Shafii Shefar 🦅 retweeted
Maoni ambayo yana sikika sana baada ya timu wenyeji kucheza. “Wamefungwa ila timu imeonesha uhai” Wakuu hakuna timu inatoboa makundi hapa
3
8
75
2,352
😂😂😂
Nikapata Dem anaitwa Shirleen siwezi acha Hao hukuaga warembo tu uwezi Pata Caicedo Na hiyo jina
1
3
29
Shafii Shefar 🦅 retweeted
Nikapata Dem anaitwa Shirleen siwezi acha Hao hukuaga warembo tu uwezi Pata Caicedo Na hiyo jina
2
24
1
40
394
Shafii Shefar 🦅 retweeted
Moshi wanakuambia December hii bila 5M mfukoni au kwenye Account usikanyage Moshi.🙌🙌
7
8
1
84
3,301
Shafii Shefar 🦅 retweeted
Washikaji wengi wanapoteza marafiki wengi wakike kwa tamaa ya kuwa kwenye mahusiano nao. Sio kila binti anaependa kuwa karibu na wewe anakutaka, wengine wanahitaji rafiki wa jinsia tofauti wa kubonga nae.
37
33
2
199
7,074
Shafii Shefar 🦅 retweeted
Good evening 𝕏 family ✌🏾
14
33
47
450
Shafii Shefar 🦅 retweeted
Japo umasikini ni mbaya, Dunia ni katili sana kwa mwanaume masikini lakini bado kuna namna nzuri ya kukabiliana nayo bila kupoteza ubingwa au kuwa CHAWA. Unaweza kuwa CHAWA, ukawa na hela nyingi ila ni aibu sana kwa watoto wako kujua mzee bila UCHAWA hatuli 💔
14
29
181
4,212
Shafii Shefar 🦅 retweeted
“Usitumie simu ya mtu mwingine kupigia simu mtu aliye ku-block”
21
63
6
690
33,062
Shafii Shefar 🦅 retweeted
Tunapambana sana kwenye maisha ambayo yanaweza kuisha dakika moja, Mungu atupe Mwisho Mwema🙏
32
110
6
594
12,333
Shafii Shefar 🦅 retweeted
Not every successful person is hardworking, and not every hardworking person becomes successful.
4
9
1
32
868
Shafii Shefar 🦅 retweeted
Learn to make money your servant, never your master.
2
4
146
Shafii Shefar 🦅 retweeted
Ivi Inakuwaje Mtu Anakosa Hamu ya Kula na kama Akila Bas ni Usku Tu Inabidi Afanye nin ili Kupata hamu ya kula
23
33
1
63
1,589
Shafii Shefar 🦅 retweeted
Kulikuwa na umihimu gani wa kumwita Fadlu El nino. Sasa hivi timu yangu inarudi nyuma sana.
7
6
2
39
3,496
Ijumaa ya Leo ikawe yenye Kherii. Good Morning Champ.
12
11
1
59
2,510