Shans Mainer. (@shansmainer) header
Shans Mainer. (@shansmainer) profile picture

Mzalendo toka nazaliwa

Dar es Salaam, Tanzania
Joined September 2017
Photo by Shans Mainer. (@shansmainer)Photo by Shans Mainer. (@shansmainer)Photo by Shans Mainer. (@shansmainer)Photo by Shans Mainer. (@shansmainer)Photo by Shans Mainer. (@shansmainer)Photo by Shans Mainer. (@shansmainer)Photo by Shans Mainer. (@shansmainer)Photo by Shans Mainer. (@shansmainer)Photo by Shans Mainer. (@shansmainer)Photo by Shans Mainer. (@shansmainer)
Hatuutaki ushoga lakini ushoga wenyewe mbona unakua Kwa Kasi ya kutisha hivi?
Replying to @Mwabuk2Boniface
Bunge la ulaya halijatusemea wanachi wa Tanzania hakuna mtanzania anaetaka ushoga,
22
Replying to @Mwabuk2Boniface
Bunge la ulaya halijatusemea wanachi wa Tanzania hakuna mtanzania anaetaka ushoga,
18
1
3
1
2,216
Wanaume wote hao wameapishwa na Mwanamke. Tatizo liko wapi?
Nembo ya Taifa letu la Tanzania ina picha ya mwanaume na mwanamke kuashiria kwamba nchi yetu itajengwa kutokana na mchango wa wanaume na wanawake. Hiyo picha hapo chini ni viongozi walioteuliwa wiki hii kuongoza nafasi mbali mbali. Je wanawake wako wapi?
1
1
44
Nembo ya Taifa letu la Tanzania ina picha ya mwanaume na mwanamke kuashiria kwamba nchi yetu itajengwa kutokana na mchango wa wanaume na wanawake. Hiyo picha hapo chini ni viongozi walioteuliwa wiki hii kuongoza nafasi mbali mbali. Je wanawake wako wapi?
402
57
36
426
65,996
Style nyingine hii ya kujitafuta.
SERIKALI YA AWAMU YA SITA INAWAPENDA SANA NDUGU ZANGU NIKIWA KAMA MWENYEKITU WENU TUSHIRIKIANE NA SERIKALI HII YA DKT. SAMIA SULUHU HASSAN NGORONGORO IPO SALAMA KUNA WATU WANAPITA NGORONGORO KUWAMBIA SERIKALI INAWACHUKIA WAMASAI HAO WATU NI WAONGO WAKUBWA HAO WATU NI CHADEMA
12
Dah Shabiby huyu huwa namuelewa sana.
Shabiby ameamua kumchana @mwigulunchemba1 😂, kwenye hotuba ya bajeti kila sentensi mbili “Mama Anaupiga Mwingi” Rais naye anajaa sifa kumbe watu wanatumia mapambio kama pazia la ujambazi. Hii serikali ina vibaka wengi sana!!
10
Haki na Batili Huwa havikai pamoja. Kama unataka kumtumikia Allah basi mtumikia moja Kwa moja bila ya unafki. Mara Kwa Allah mara Kwa Kiba mara Kwa Harmonize.
AL-Hamdulillah - Nimepata mialiko mingi kuudhuria sala ya ijumaa katika baadhi ya misikiti mikubwa Dar na nnje ya Dar . Asanteni saana mashekhe wangu . Nisema tu kufikisha ujumbe wa Allah kwa jamii yetu inataka UJASIRI mkubwa saana . Ila inshaalah nitatoa muongozo wapi nitasali IJUMAA HII.
25
Sasa akina Roma na Ney wa mitego huyu mtu si ndio wakati wenu wa kumpa makavu yake maana anatamba sana. Sio kuwaimba viongozi wetu tu ambao hawawezi kuwajibu Kwa Hip Hop.
28
Umewatukana Wakenya wote badala ya kumtusi aliye wadiss Tanzanian Artists.
Nawakumbusha tu mnavyo tukanana na kuaibishana na wenyewe kwa wenyewe . Kesho mkikosa wanaume wa kuwaoa msimtafute mchawi wenu . PUMBAVU ZENU WOOTE NYINYI
26
Ukocha umeusomea wapi?
Ila wanetu mna mzaha 🤣🤣 Anyways shauri yenu
1
53
Kukata umeme. Si unajua Twiga alivyo mrefu?
This quoted post is unavailable.
14
Kizazi cha lawama bado hakijapata nafuu.
Hii ni aibu ..! Mpira unasimama sababu ya baadhi za TAA haziwaki ipasavyo uwanjani . Manager wa uwanja anapaswa kuwajibukaa
11
Tatizo sio kwenye mchakato tatizo lenu lipo mwishoni kwenye maamuzi kila mmoja atakapotaka maslahi ya chama chake yaingie kwenye Katiba.
Ninasoma Mpango wa Bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria na ninaona kipaumbele cha kwanza katika vipaumbele vya Bajeti ya 2023/24 ni “kuratibu mchakato wa Katiba Mpya”. Ni hatua inatia matumaini kwamba sote, Upinzani na Serikali, tunaongea lugha moja ya kukwamua mchakato wa #KatibaMpya
1
31
Tumalize Utata like kwa manara Retweet kwa MO Retweet Like
30
330
3
1,028
51,377
wana simba tupate followers kidogo weka handle yako retweet na like tuinuke wote 👇
63
68
1
176
15,253
Hali ni mbaya sana na viongozi hawakemei hadharani
Warning: EXPLICIT CONTENT Wameanza na POLISI, watafika mpaka serikali kuu, endeleeni kukaa kimya kwenye USHOGA. Huyu TARIQ, anajitangaza kuwa ni SHOGA, na pia wanasema "POLISI HAKAI, NA KWAMBA POLISI HUSHIRIKI MATENDO YAO YA USHOGA" kama sababu ya wao kutoshikiliwa popote!
14
C.C.M B loading.......
7
Soccer Propaganda inazidi kutamalaki
🚨 Kuna umuhimu wa kutoa taarifa leoleo au tusubiri kesho ..!! Kuna watu wataunguruma kwa furaha 😁
1
17
Wazee wa Pilau punguzeni alooo