Seedco Tanzania (@seedcotz) header
Seedco Tanzania (@seedcotz) profile picture

SeedCo Tanzania, kampuni inayoongoza kwa uzalishaji na uuzaji wa mbegu za mahindi na mbogamboga. Mavuno bora huanza na mbegu bora.

Arusha, Tanzania
Joined April 2022
Photo by Seedco Tanzania (@seedcotz)Photo by Seedco Tanzania (@seedcotz)Photo by Seedco Tanzania (@seedcotz)Photo by Seedco Tanzania (@seedcotz)Photo by Seedco Tanzania (@seedcotz)Photo by Seedco Tanzania (@seedcotz)Photo by Seedco Tanzania (@seedcotz)Photo by Seedco Tanzania (@seedcotz)Photo by Seedco Tanzania (@seedcotz)Photo by Seedco Tanzania (@seedcotz)
Trellising ni ufungaji wa nyanya kwa kutumia miti , waya na kamba. Zoezi hili hufanyika wiki tatu mpaka nne baada ya kupandikiza kabla maua hayajaanza  hayajaanza kuchomoza.
5
5
29
2,652
Faida za trellising: 1.kupata mavuno mengi 2.kuvuna kwa muda mrefu 3.upigaji wa sumu kirahisi bila kuathiri mimea kwa kuikanyaga 4.uwekaji wa mbolea kirahisi 5.mzunguko wa hewa  mzuri 6.kuepuka maambukizi ya magonjwa mbalimbali 7.kupata matunda yenye ubora na muonekano mzuri
1
1
276
Tembelea Maduka yote ya wakala wa mbegu aliyesajiliwa karibu yako kupata mbegu bora kutoka Seed Co.
233
Tunakutakia Heri na furaha Siku ya Africa.
1
7
375
"Upendo wa Mama Ni wa hali ya juu na wenye thamani". Tunawatakia Kheri siku ya Mama Duniani.
1
4
624
Seedco Tanzania retweeted
Start with @seedcotz Start with right seed
9
1
60
2,752
Tunawatakia maadhimisho mema ya siku ya wafanyakazi duniani.
1
1
5
335
Tunapenda kuwatakia watanzania wote heri na maadhimisho mema ya miaka 59 ya Muuungano. Tuendelee Kudumisha Amani na Upendo.
2
269
Tunawatakia Pasaka Njema yenye furaha, baraka na upendo.
1
4
507
Heri ya siku ya Ijumaa Kuu.
1
260
Makovu Meusi kwenye kitako cha Tunda (Blossom Rot) Ugonjwa huu ni hatari na dalili zake hufanana na zile za mnyauko unaosababishwa na fangasi. Unashauriwa kutumia mbolea zenye madini ya kalsiamu kupunguza tatizo hili mara tu mmea unapoanza kutoa maua.
9
544
Mulching (Kutandaza Nyasi) - Husaidia kukinga mabadiliko ya joto la udongo. - Hutunza kiwango kizuri cha unyevu kwenye udongo. - Inazuia ukuaji wa magugu na mimea isiyohitajika. #mbegubora #kilimonibiashara #seedcotanzania #seedcotz #homeofbumperharvesttz #mavunobora
2
295
Heri ya Siku ya Wanawake Duniani #EmbraceEquity #IWD2023 #sikuyawanawakeduniani
1
197
MBEGU YA MUDA MFUPI - Inakomaa kati ya siku 60-75. - Mavuno yake ni wastani wa gunia 18-24 kwa ekari. - Inavumilia magonjwa ya virusi vya milia na madoa ya majani. - Ni chaguo sahihi kwa maeneo makame kama pwani na kanda ya kati. - Ina punje ngumu.
1
5
410
Happy Valentines from Home of Bumper Harvest. – at Arusha, Tanzania
5
292
Wasambazaji wa Mbegu Bora kutoka Seed Co. #mbegubora #kilimonibiashara #seedcotanzania #seedcotz #mavunobora – at Arusha, Tanzania
1
227
MKOMBOZI F1 Mbegu bora za mboga mboga kutoka Seed Co -Inaustahimilivu wa magonjwa ya mnyauko na ukame -Uzito wa tunda ni wastani wa gram 150 -Hukomaa ndani ya siku 75 mpaka 80 baada ya kupandikiza - Mavuno kwa ekari ni tani 48 mpaka 55 - Kiasi cha mbegu kwa ekari ni gram 25 – at Arusha, Tanzania
3
259
Happy Boxing Day – at Arusha, Tanzania
1
275