ruvuma_basin (@ruvuma_b) header
ruvuma_basin (@ruvuma_b) profile picture

Ruvuma and Southern Coast Basin Water Board (RSCBWB) for Water Resources Management. Tᴜʟɪɴᴅᴇ ɴᴀ ᴋᴜᴛᴜɴᴢᴀ ᴠʏᴀɴᴢᴏ ᴠʏᴀ ᴍᴀᴊɪ

Mtwara, Tanzania
Joined February 2022
Photo by ruvuma_basin (@ruvuma_b)Photo by ruvuma_basin (@ruvuma_b)
Bodi ya Maji Bonde la Ruvuma na Pwani ya Kusini, Mamlaka ya Maji Mtwara (MTUWASA) pamoja na Maabara ya Maji Mtwara zimepata mafunzo ya Usalama mahala pa Kazi na Utoaji wa huduma bora kwa Wananchi. . . . instagram.com/p/CtqcJToNo57/…
16
Kikao cha Jukwaa la Pili la wadau wa Bonde la Ruvuma na Pwani ya kusini kilihudhuriwa na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mh.Brigedia Gaguti ambae alikuwa mgeni rasmi, Mwenyekiti wa Bodi ya maji Taifa Inj. Mbogo Futakamba pamoja na Mwenyekiti wa jukwaa hilo Mohamedali Mohamedali. – at Mtwara, Tanzania
1
1
3
Regional Nile day!💧